Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 631
Mh! el si alisema wako fit? Hivi mwenye hilo jukumu la kutamka hivyo ni nani?
Ni Rais Dr Silaha
Mh! el si alisema wako fit? Hivi mwenye hilo jukumu la kutamka hivyo ni nani?
Reuters ni wale wale waliomua Ghadafi majizi makubwa yanataka tupigane yauze silaha...stupid...Malawi tukiamua tunawapiga hata sekunde haifiki ila hatutaki...
Si waende, wanangoja nini? mbona wameondoa videge vyao ziwani, upande wa Tanzania
Ni lini Malawi imewahi kudai hata sentimeta moja ya eneo la nchi kavu la Tanzania ambako ndege zinaweza kutua?
kweli kabisami napenda waachwe waandelee na utafiti wao ili kutupunguzia gharama za utafiti kwa upande wetu, kimbembe ni pale gas/mafuta yamepatikana tena upande wa tanzania! Hapo ndo tunalianzisha. Naomba viongozi watulie tu jamaa watutafunie.
Reuters ni shirika la habari si jeshi. Ghadafi aliuwa na wajukuu zake wa Libya waliochoka kumuona sura yake miaka nenda rudi. Kabla ya kuuawa alikuwa amewaua maelfu ya wananchi wake walioandamana kumtaka aondoke madarakani kwa amani. Hata bila nchi za magharibi kuwepo kwa maovu ya Ghadafi wananchi wake mwenyewe wangemgawana endapo wangepata nafasi kama walivopata nafasi wakati wa vita alivosababisha yeye mwenyewe Ghadafi. Binadamu si mbwa ambaye anaridhika kupewa mfupa na tajiri yake hivo. Viongozi kama Ghadafi wanaofikiri wanadamu ni kama mbwa tu ambao hata ukiwanyima uhuru kwa kuwafungia ndani na kuwafungulia unapotaka hawafai hata kama wanagawa mifupa na minofu.Reuters ni wale wale waliomua Ghadafi majizi makubwa yanataka tupigane yauze silaha...stupid...Malawi tukiamua tunawapiga hata sekunde haifiki ila hatutaki...
Reuters ni shirika la habari si jeshi. Ghadafi aliuwa na wajukuu zake wa Libya waliochoka kumuona sura yake miaka nenda rudi. Kabla ya kuuawa alikuwa amewaua maelfu ya wananchi wake walioandamana kumtaka aondoke madarakani kwa amani. Hata bila nchi za magharibi kuwepo kwa maovu ya Ghadafi wananchi wake mwenyewe wangemgawana endapo wangepata nafasi kama walivopata nafasi wakati wa vita alivosababisha yeye mwenyewe Ghadafi. Binadamu si mbwa ambaye anaridhika kupewa mfupa na tajiri yake hivo. Viongozi kama Ghadafi wanaofikiri wanadamu ni kama mbwa tu ambao hata ukiwanyima uhuru kwa kuwafungia ndani na kuwafungulia unapotaka hawafai hata kama wanagawa mifupa na minofu.
Kuna ndege zinatuwa kwenye maji, na eneo la Tanzania si la nchi kavu pekee, rekebisha kauli yako. Maji yawepo kilomita kadhaa kwenye ufuko wa Tanzania halafu uwaambie Watanzania siyo maji yenu, unaakili sawa wewe?
Kama zilitua kwenye maji basi kesi imekwisha maana anayekataa authibitishie ulimwengu kwamba ni lini maji yalikuwa miliki yake.
Nyasa Times | August 15, 2012 |
Wala usifikirie uelwa wangu ni mdogo. Naelewa kila kitu. Ukisoma nililchoandika ungajua kwanini sikubaliani na wewe. Ili unielewe ni kuwa simply Ghadafi aliuawa na wananchi wa Libya wala si nchi za magharibi. Aliuawa kwa maovu kwa maovu aliyowatendea walibya. Kuwaua, kuwanyima uhuru,kujigeuza Mungu mtu badala ya kuwa kiongozi. Alichofanyiwa Ghadafi hawezi kufanyiwa Obama, Blair au Bush na wananchi wake. Kiongozi anatofautiana kimtazamo na wananchi wengi walio mrengo tofauti wa kisiasa lakini uhuru na haki ya mtu anaiheshimu na hawezi kuikiuka.Uelewa wako kwa masuala ya Dunia ni mdogo sana..ndio maana hujui nafasi ya Media kwenye vita yeyote ile na hiyo ni sababu unashindwa kuelewa Reuters na M16 wanafanya kazi kwa pamoja...