Pamoja na kuwa Uko Single....

i guess you've made me think otherwise already.....l.o.l

please don't
do u know that sometimes i wish i never find out
what i know now?
it makes things hard for me sometimes or boring...
like being able to read someone mind..u just lose interest in the end...
 
i want them them to learn that sex is good for them too...
they are not doing us any favor...lol

Nimekusoma mkuu, nafikiri hii kitu imekuwa inaleta wakati mgumu kutokana na misingi ya mapenzi yenu, hujawahi ona mwenza anamwambia mwenzake we nenda tuu wala sikuhitaji?
Wakati huohuo kuna mwingine analia siwezi ishi bila ya wewe.
 
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............

Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa (Na pengine wao wamekuwa wakipretend kunionyesha kuwa) Singles i.e. wale waliowahi kuwa na mahusiano na kisha wakakaraishwa na wenzi wao na wengine kuachiwa zawadi za watoto) kuwa wanayo amani now than kipindi walichokuwa na wenzi wao. Wengine tumediriki kuequate furaha ambayo tungeipata kutoka kwa wenzi wetu na ile tuipatayo toka kwa watoto wetu tulioachiwa= Utasikia Mtu akisema ............ah nina shida gani nikirudi nyumbani I just find my darling baby happy ananichangamsha and I am happy siku inapita (Hapa anarefer to mwanae kwa maana halisi ya mwanae----sio nick name ya husband or lover)

Nimekuwa nikisikia hadithi mbalimbali za arafiki (na ilipofika zamu yangu nikahisi kuwa it is the right decision) kuamua kuwa mwenyewe kwa kuwa nahisi sipati stress ambazo ningezipata wakati niko na mwenzi wangu. But I think it is not true...........There is something missing in the life of the loners/singles and the alike

I am not sure if it is true or its me ............. Ninaomba msaada wenu.

kamanda, issue ya loneliness ni very true, kumbuka kwamba hata tunaposafiri tu kwenda field huwa tunajisikia wapweke wakati wa kulala haswa (nimeangalia mda uliotuma hii thread nikaona iko relevant sana mazee)

Any human being aliyewahi kuwa exposed na co-habitation yoyote ile hapendi kuwa pekee, there is a sense of incompleteness around when you go to be alone or with a small baby tha needs your protection. I read somewhere kwamba a woman feel the need of protection more than a man na ukiona wewe kama woman ndio mtoa protection unahisi hakujakamilika.

Just to add a little thought hapo... they say kwamba a woman anakua more vulnerable pale anaposafiri kwenda mbali na alipozoea simply because that 80% of her life is out of the picture

USHAURI: Do what will make you complete and not lonely, whether transition, go back or lean to spiritual therapies... shule pia hupunguza stress and loneliness
 
sasa hivi ni saaa ngapi?

nadhani hili itabidi nilisemee kesho

And you are wrong kabisa, what u r missing is something 'constructed'.....

Kaizer!! Is it?? Who 'Construct' that something?? You or the society/world?

So what you are saying is that there is truth in that phrase ya Being Happly single??
 
una miss mtu wa kumlaumu na kumnunia....
wa kumkumbatia na kumgusagusa
wa kwenda nae mbele za watu,mfano harusi...

una miss pia vingi.....
Thanx Boss umenichekesha eti unakosa mtu wa kumnunia ah...............ila hapo kwa kwenda nae mbele ya watu mh!!
 
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............

Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa (Na pengine wao wamekuwa wakipretend kunionyesha kuwa) Singles i.e. wale waliowahi kuwa na mahusiano na kisha wakakaraishwa na wenzi wao na wengine kuachiwa zawadi za watoto) kuwa wanayo amani now than kipindi walichokuwa na wenzi wao. Wengine tumediriki kuequate furaha ambayo tungeipata kutoka kwa wenzi wetu na ile tuipatayo toka kwa watoto wetu tulioachiwa= Utasikia Mtu akisema ............ah nina shida gani nikirudi nyumbani I just find my darling baby happy ananichangamsha and I am happy siku inapita (Hapa anarefer to mwanae kwa maana halisi ya mwanae----sio nick name ya husband or lover)

Nimekuwa nikisikia hadithi mbalimbali za arafiki (na ilipofika zamu yangu nikahisi kuwa it is the right decision) kuamua kuwa mwenyewe kwa kuwa nahisi sipati stress ambazo ningezipata wakati niko na mwenzi wangu. But I think it is not true...........There is something missing in the life of the loners/singles and the alike

I am not sure if it is true or its me ............. Ninaomba msaada wenu.

Hupungukiwi na lolote ukiamua kuishi maisha ya peke yako. Angalia wangapi wapo ndani ya wawili wawili lakini shida mtindo mmoja stress maugomvi kila kukicha, kuibia nje kama kazi. Shosti ni heri tu kuwa mwenyewe huhitaji kununa bila sababu
 
Watu huwa wanasema i am living happily single sijui kama huwa ina ukweli ndani yake yes it might have some truth in it, any human ambaye ame experience co-habitation kukaa peke yake inakuwa ngumu, kifupi ni kwamba just do something that will make you not lonely.

By the way Mjukuu i have already started feeling lonely this morning sijui nifanyeje sasa lol!!!!!!
 
Hupungukiwi na lolote ukiamua kuishi maisha ya peke yako. Angalia wangapi wapo ndani ya wawili wawili lakini shida mtindo mmoja stress maugomvi kila kukicha, kuibia nje kama kazi. Shosti ni heri tu kuwa mwenyewe huhitaji kununa bila sababu

Yaani Pakawa ina maana tumefikia kiasi hiki ndio maana unataka kukaa peke yako lol!!!!!!!
 
Hapa naona umeongelea upande wa mwanamke tu kuna kina baba wameachana na wake/wapenzi wao na kuachiwa watoto na wanakwambia maisha yake ni raha mustarehe na watoto wake hataki tena kusikia mambo ya wanawake na nimeongea na mtoto mmoja wa hawa jamaa anadai baba yao anawajali sana na walichoka vituko vya mama yao(ni mtoto wa kike 15yrs).

Ni kweli Uporoto01 hapa nimeongelea upande wa wanawake kwa kuwa hawa ndio ambao mara nyingi nimewasikia wakisifia uzuri wa kuwa single....kwa wanaume nadhani hili wanalikiri mbele za wanaume wenzao na hivyo siwezi kulisemea lakini pia nafikiri Living Single ya wanawake ni/au inatakiwa kuwa tofauti na ile ya kina kaka au ni mimi tu na ukishoka wa kichwa?? Coz nawaza mwanaume ambaye yuko au ameamua kuwa single inamaanisha ameamua kutooa kwani sina uhakika kama hata akionekana na demu/mademu wasio permanent atashangawa ilhali kwa mwanamke anayetangaza kuwa single hatarajiwi kuwa na man/men ambao si permanent kwani hataeleweka au??

But nakubaliana na wewe kuwa inawezekana wapo wanaume pia ambao hata wao wanaona ni heri kuishi single na wanayafurahia maisha ya aina hiyo
 
Hata kama unamtoto kipenzi utakayemwita ,honey ,darling ,sweeteheart na mengineyo lazima kuna kitu kitakuwa kinamiss
Hata mungu aliahidi atatupatia msaidizi wa kusaidizana katika maisha
Kwa hiyo basi ni lazima kuna vitu vitapungua latika maisha ya kuwa single ,kwani kuna mengine mwanao kipenzi hawezi kutimiza
Nakuja Dear
 
Mj1.....naomba nitoe mawazo yangu kwa cm, unaweza nipatia namba yako ya tigo? Tafaadhali
 
Of course there is nothing better in the world than being with the one you love, sharing and cherishing every moment…. BUT

Does having someone for the sake of having someone better than having no one?, Definitely not…, if you are with someone who does not value you, you had rather be alone.., To be happy comes from within you can create your own happiness…, you can still have friends with no attachments…,

So its all about weighing the pros and cons..., if the guy was not worth it..., just someone you share a bed and nothing else, just adding stresses in your head then you are better off right now.. We Make Our Own Happiness...

Kaka.......................cant add anything more. Thanx

By the way kumbe nlichosikia jana usiku kama bunduki ilikuwa ni risasi za moto zilizokuwa zikipigwa kutuliza ghasia maeneo ya Mwenge Oilcom..........
 
Back
Top Bottom