hawa wa2 ni kuwanyima kura 2,me nawaza yan hpa ndo kwnz tunaanza awamu ya 2 ya JK,mambo ni mabaya na mabovu km haya!cjui km cabinet hii nayo itatek ol 5 yrz...!ngeleja kuficha uso co kaz xana km kwa mh prezoo
He is assisting his boss RA. Fisadi ni fisadi tu. Hawezi kuona aibu hata siku moja.
Ujasiri wa kifisadi, sasa hivi simsikii wa kumuona sijui what's happening torture huwa inaanza taratibu
Kide, please tumia maneno yanayoeleweka, hizi lugha za kwenye text messages za simu sio nzuri kuzitumia hapa JF, huna limit ya characters hapa so please usituharibie lugha yetu nzuri ya kiswahili. This shows that kuna wanafunzi wa sekondari humu JF, loh!!
Ngeleja alikuwa anafanya kazi Vodacom, kutokea hapo akawa Mbunge, na muda si mrefu akawa full minister. Nimefanya kazi na huyu bwana huko nyuma, he is a good guy, but he is not that smart kuweza kupewa full portfolio kwa muda mfupi kiasi hicho. Huwezi kumlinganisha na mtu kama Mwakyembe, but cha ajabu amepewa Full cabinet position, and that is why watu wanajiuliza JK alikuwa anafikiria nini. Ngeleja ni mwanasheria by profession, hana idea na madini wala umeme, why the hell he is there? alimuangusha mbunge wa zamani na mzoefu Dr William Shija, so guys you do the math!!! Ni mpango uliosukwa. Sijui kwa nini JK ameshindwa kujitoa kwenye kucha za RA, infact RA nadhani sasa yupo kwenye strategy ya kumuandaa Raisi wa 2015, JK keshamalizana naye, loh!!!
But one thing for sure, Watanzania waliona nini kwa JK, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu wa CCM waliona nini kwa JK? Why did he got elected in the first place, hakuwahi kufanya anything big kwa nchi hii kumpa dhima hiyo. So sisi tulioona mbali mwaka 2005 na kumpa kura yetu Mheshimiwa Mbowe, japo tulijua kuwa hatoshinda, dhamira zetu ziko swaafi sana, hatujashiriki dhambi hii ya kidhalimu kumchagua JK ambaye kweli ameshindwa kukidhi kiu ya watanzania wengi waliokuwa na imani naye na wanaoogelea kwenye umasikini mkubwa na wa kutupwa. Historia itamsuta ndugu huyu for the rest of his life. Kashfa ya EPA, Deep Green, Meremeta, DOWANS/RICHOMD, Uchaguzi wa 2010, mauaji ya Arusha etc, loh. Aone mwenzake Ben anavyosutika kwa kashfa ya kuuza nyumba za serekali. Ben hana raha, anajificha, amekosa mvuto, he is not a statemen, pitty!!!
angalau atakua ameonyesha msimamo,kwa kuwa Dowans, kwa nguvu ya umma haitalipwa na ikilipwa kutatokea mpasuko mkubwa katika serekali na nchi haitatawalikaNgeleja ataficha wapi uso wake akijiuzulu?
kweli aibu hii itakua kwao wote wafikirie upya, huu ni wizi wa wazi,pamoja na elimu duni ya shule za kata watanzania tumegundua wizi huu,watafute njia nyingine na wakati huu tutakua makini zaidi hivyo sidhani kama wataweza.Wa kujiuzulu si ngeleja pekee bali Serikali yote ya Kikwete. Katika Serikali hiyo waliotoa kauli ili kutetea maslahi ya Watanzania ni Sitta na Mwakyembe tu.
Wa kujiuzulu si ngeleja pekee bali Serikali yote ya Kikwete. Katika Serikali hiyo waliotoa kauli ili kutetea maslahi ya Watanzania ni Sitta na Mwakyembe tu.
hawa wa2 ni kuwanyima kura 2,me nawaza yan hpa ndo kwnz tunaanza awamu ya 2 ya JK,mambo ni mabaya na mabovu km haya!cjui km cabinet hii nayo itatek ol 5 yrz...!ngeleja kuficha uso co kaz xana km kwa mh prezoo