Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 7,732
Why people are so hung up on homosexuality is beyond me!
David Cameron anazungumzia haki za binadamu kuhusiana na ushoga watu wanatoa mapovu. Lakini kila mara tunasikia jinsi albinos wanavyonyanyaswa na kufanyiwa ukatili lakini hata tone la povu hakuna.
Vipaumbele vyetu vikoje sisi? Kwa jinsi watu walivyokomalia kumpinga Cameron kama wangeukomalia ukatili dhidi ya ndugu zetu albinos nadhani tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Na kwa jinsi ambavyo tulimkomalia Cameron kama tungeukomalia ufisadi, umaskini, na uongozi mbovu mbona tungekuwa mbali. Watu mipovu hiyo utadhani sabuni ya erio kisa Cameron kasema msiwanyanyase mashoga.
Hivi kati ya ushoga na ukatili dhidi ya albinos kipi cha muhimu zaidi?
Mkuu hapo umenena.