Padri Kitima: Serikali iweke wazi matumizi ya miradi ili kudhibiti Rushwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,501
8,379
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee.

Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi wanapaswa kujua matumizi ya miradi yote kwa ngazi mbalimbali ili kudhibiti wizi na ubadhirifu wa fedha za umma.

Ripoti ya Transparency International ya mwaka 2021 iliiweka Tanzania kwenye nafasi ya 39 kati ya 100 zenye viwango vikubwa vya Rushwa kwenye sekta ya umma, na nafasi ya 87 kati nchi 180 duniani kote.

===========================

Serikali imeshauriwa kuweka wazi ripoti za mapato na matumizi ya miradi yake kwa ngazi mbalimbali ili kudhibiti wizi na ubadhirifu wa fedha umma. Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Dk Charles Kitima alisema ili taifa likabiliane na vitendo vya ubadhirifu wa fedha za umma linahitaji kujenga uadilifu.

Dk Kitima alisema serikali inapaswa kuweka wazi taarifa za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu kwa kuwa jambo hilo litawezesha wananchi kupima na kuiwajibisha serikali na si wabadhirifu pekee. Mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara, David Kafulila, alisema vita dhidi ya rushwa na ufisadi siku ni endelevu na hakuna nchi duniani iliyomaliza rushwa.

Kafulila alisema ili kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma njia ya uhakika ni kuongeza uwazi katika mapato na matumizi katika utekelezaji wa miradi ili kuongeza wigo wa wananchi na jumuiya za kiraia kusimamia uwajibikaji wa serikali.

“Bunge, mabaraza ya madiwani na mamlaka za uchunguzi zinazomsaidia rais ni sehemu moja, lakini uimara wa vyombo vya habari na jumuiya za kiraia ni msingi pia katika kushiriki ujenzi wa uwajibikaji,”alisema Kafulila Alisema Ripoti ya Transparency International ya January 25 mwaka huu inaonesha kiwango cha rushwa hapa nchini kupungua kutoka nafasi ya 94 mpaka 87 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa tathimini kwa vigezo 180.

Kafulila alisema ripoti hiyo ya mwaka ni tathimini ya mwaka jana ambao kwa sehemu kubwa ni awamu ya sita na ripoti ya mwaka jana ni tathimini ya mwaka juzi ambayo ni awamu ya tano, hivyo inaonesha Taifa kupiga hatua japo sio kubwa.

Katibu Mkuu wa Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO), Bonaventura Mwalongo, alisema ni kweli wimbi la ubadhirifu wa fedha za umma lipo na kusababisha malalamiko kwa wananchi. Ili kudhibiti vitendo hivyo, alisema kuna haja ya kuongezeka kwa uwazi katika shughuli za serikali kwa kuwa mahali ambapo kuna usiri vitu vingi vinafichwa na viovu pia hupata fursa ya kufichwa.

“Panapokuwepo uwazi na elimu ikatolewa kwa umma kama ambvyo gazeti hili la serikali linavyofanya, itasaidia kujua nafasi ya wananchi katika usimamizi wa rasilimali zao na kuhoji pale mambo yanapokuwa hayaendi sawa, hii itasaidia kutia hofu kwamba wananchi wako macho dhidi ya rasilimali zao,”alisema Mwalongo

Alisema baadhi ya watu hushiriki vitendo vya ubadhirifu wa fedha na mali za umma kwa lengo la kutaka kuhujumu jitihada na dhamira ya kiongozi mkuu wa nchi na serikali kwa ujumla lakini pia ni ubinafsi wa baadhi ya watu wa kutaka kujilimbikizia mali kwa kukosa uzalendo na kuwanyonya masikini kwa kujipatia mali zisizohalali.

Alisema jambo hilo linaathiri uchumi, amani ya nchi kwa kuwa manung’uniko yapozidi yanaweza kuibua matatizo zikiwemo vurugu, wizi na ujambazi katika jamii pamoja na kudidimiza juhudi za kujikomboa na kujitegemea kama nchi.

HABARI LEO
 
Mfano ni makusanyo ya tozo, kila siku wanakusanya tozo kwenye miamala simu lakini hatuambiwi kwa mwezi wanakusanya ngapi, na matumizi yake yatakwenda wapi.

Huo ukimya unasababisha tunaanza kusikia waziri husika anahusishwa na uagizaji mabasi makubwa ya abiria, na kumiliki timu ya mpira wa miguu, naona hili taifa bado halina kiongozi mpaka sasa.
 
Atajitokeza bwana tozo kujibu
 
Rasilimali mfano fedha na madini zilipaswa kuwa wazi sana na kuwadhibiti sana waliopewa dhamana kusimamia. Lakini katiba inawalinda na kuwaficha wanaopewa dhamana kusimamia. Mfano rais hashitakiwi alafu ndiye aliyepewa dhamana kuu akiwa mtakatifu sawa lkn watakatifu walikuwa mababa wa taifa walioleta uhuru kwa sasa hakuna. Sasa inahitajika dhamana na macho ya wote. Mihimili yote na watu wote yapasa kuwa waangalizi. Hii inahitaji reformation yaani katiba mpya ya kizalendo na kidemokrasia itakayo ruhusu kudhibitiana sio mmoja kudhibiti laa kudhibitiana kama kenya katiba yao.
 
Hatukuwasikia wakati uleeee, ila nini,mama akimaliza salama 2030, ndio tunaanza awamu ya waislamu kwa sababu tulikuwa tunamalizia awamu ya mkatoliki🤣

Povu ruksa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hatukuwasikia wakati uleeee, ila nini,mama akimaliza salama 2030, ndio tunaanza awamu ya waislamu kwa sababu tulikuwa tunamalizia awamu ya mkatoliki

Povu ruksa
ujinga ni mzigo hukuwasikia kina Askofu Niwemugizi,?Askofu Bagonza hukuwasikia?

Ama kweli nchi hii ina ombwe la vijana wajinga...nani kakwambia tunataka dini iongoze?

Kwa taarifa yako ni heri hata kumpata mpagani mwenye busara na maono ya kiuongozi kuliko muislamu au mkristo mbinafsi asiye na sifa ya kuongoza
 
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee.

Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi wanapaswa kujua matumizi ya miradi yote kwa ngazi mbalimbali ili kudhibiti wizi na ubadhirifu wa fedha za umma.

Ripoti ya Transparency International ya mwaka 2021 iliiweka Tanzania kwenye nafasi ya 39 kati ya 100 zenye viwango vikubwa vya Rushwa kwenye sekta ya umma, na nafasi ya 87 kati nchi 180 duniani kote.

===========================

Serikali imeshauriwa kuweka wazi ripoti za mapato na matumizi ya miradi yake kwa ngazi mbalimbali ili kudhibiti wizi na ubadhirifu wa fedha umma. Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Dk Charles Kitima alisema ili taifa likabiliane na vitendo vya ubadhirifu wa fedha za umma linahitaji kujenga uadilifu.

Dk Kitima alisema serikali inapaswa kuweka wazi taarifa za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu kwa kuwa jambo hilo litawezesha wananchi kupima na kuiwajibisha serikali na si wabadhirifu pekee. Mchambuzi wa masuala ya uchumi na biashara, David Kafulila, alisema vita dhidi ya rushwa na ufisadi siku ni endelevu na hakuna nchi duniani iliyomaliza rushwa.

Kafulila alisema ili kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma njia ya uhakika ni kuongeza uwazi katika mapato na matumizi katika utekelezaji wa miradi ili kuongeza wigo wa wananchi na jumuiya za kiraia kusimamia uwajibikaji wa serikali.

“Bunge, mabaraza ya madiwani na mamlaka za uchunguzi zinazomsaidia rais ni sehemu moja, lakini uimara wa vyombo vya habari na jumuiya za kiraia ni msingi pia katika kushiriki ujenzi wa uwajibikaji,”alisema Kafulila Alisema Ripoti ya Transparency International ya January 25 mwaka huu inaonesha kiwango cha rushwa hapa nchini kupungua kutoka nafasi ya 94 mpaka 87 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa tathimini kwa vigezo 180.

Kafulila alisema ripoti hiyo ya mwaka ni tathimini ya mwaka jana ambao kwa sehemu kubwa ni awamu ya sita na ripoti ya mwaka jana ni tathimini ya mwaka juzi ambayo ni awamu ya tano, hivyo inaonesha Taifa kupiga hatua japo sio kubwa.

Katibu Mkuu wa Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO), Bonaventura Mwalongo, alisema ni kweli wimbi la ubadhirifu wa fedha za umma lipo na kusababisha malalamiko kwa wananchi. Ili kudhibiti vitendo hivyo, alisema kuna haja ya kuongezeka kwa uwazi katika shughuli za serikali kwa kuwa mahali ambapo kuna usiri vitu vingi vinafichwa na viovu pia hupata fursa ya kufichwa.

“Panapokuwepo uwazi na elimu ikatolewa kwa umma kama ambvyo gazeti hili la serikali linavyofanya, itasaidia kujua nafasi ya wananchi katika usimamizi wa rasilimali zao na kuhoji pale mambo yanapokuwa hayaendi sawa, hii itasaidia kutia hofu kwamba wananchi wako macho dhidi ya rasilimali zao,”alisema Mwalongo

Alisema baadhi ya watu hushiriki vitendo vya ubadhirifu wa fedha na mali za umma kwa lengo la kutaka kuhujumu jitihada na dhamira ya kiongozi mkuu wa nchi na serikali kwa ujumla lakini pia ni ubinafsi wa baadhi ya watu wa kutaka kujilimbikizia mali kwa kukosa uzalendo na kuwanyonya masikini kwa kujipatia mali zisizohalali.

Alisema jambo hilo linaathiri uchumi, amani ya nchi kwa kuwa manung’uniko yapozidi yanaweza kuibua matatizo zikiwemo vurugu, wizi na ujambazi katika jamii pamoja na kudidimiza juhudi za kujikomboa na kujitegemea kama nchi.

HABARI LEO
Poa tu
 
Mfano kwenye mitandao inasemekana serikali iliagiza ma v. 8.jumla yake 180 lakini yaliyopokelewa ni 154 hivyo 36 haijulikani yalipo Sasa serikali itoke hadharani ilitolee ufafanuzi.
 
Mbona Serikali inaweka wazi ripoti za mapato au Dkt anataka ziwekwe wapi? Ripoti ya CAG pia huwa inakuwa wazi.
Miradi mingi Wananchi huko walipo wanajua matumizi yake, Miradi mingi inayotekelezwa kwa sasa ni kwa njia ya Force account ambapo Wananchi kwenye eneo husika wanakuwa na Wawakilishi kama wajumbe wa Kamati.
Kwa Halmashauri, Sheria ipo inayotaka kila hela inayoingia Taarifa ibandikwe ubaoni.
 
alisema Kafulila Alisema Ripoti ya Transparency International ya January 25 mwaka huu inaonesha kiwango cha rushwa hapa nchini kupungua kutoka nafasi ya 94 mpaka 87 kati ya nchi 180 zilizofanyiwa tathimini kwa vigezo 180
Tumbili ni opportunist, akiondoka Samia atamgeuzia kibao
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
How naive of you padre! Your innocence is admirable.

Ukiona mambo yanafanyika gizani ujue anayeyafanya hataki baadhi ya vitu vijulikane. Vitu kama 10%.

Sasa unapendekeza mwizi aweke wazi mbinu zake za wizi??
 
Katoliki hawawezi kuuvumilia Utawala wa huyo mama ni suala la mda tu.
Huyo Padre Kitima toka enzi za Magufuli alikuwa anakemea utendaji wa serikali usio sahihi. Hao Romani si ndio walitoa hadi waraka wakati wa Magufuli wakapewa vitisho vya hatari. Kisha wakaambiwa wakitaka kukosoa wamuone rais ikulu maana wanaruhusiwa? Askofu Niwemugizi alichunguzwa hadi uraia wake kisa kuwa mkosoaji mkubwa wa Magufuli?

Nyie ndio wale bendera fuata upepo, ukisikia jambo linasemasemwa,na we unalirukia ili uonekane unaenda na wakati, au unajua mambo.
 
Back
Top Bottom