Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

Status
Not open for further replies.
Shame on him...lakini ni wakati sasa Katoliki kubadilika na kuwaruhusu mapadri waoe
Habari Wadau wa JF,

Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference, TEC), Padri Anatoly Salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya gari yake yenye namba T 674 ADA, na dada mmoja ambaye inadaiwa nae ni mfanyakazi wa baraza la maaskofu.!

View attachment 252053

View attachment 252054

MY TAKE.!
Nadhani Kanisa Katoliki lijitafakari upya na ifike mahali Mapadri waruhusiwe kuoa. Hakuna sababu ya kuendelea kumdanyanya Mungu kiasi hiki. Shame.!!

View attachment 252055
 
Bora kabisa sheria ya uhalifu mtandaoni ilivyosainiwa, hakukuwa na sababu za kumpiga picha na kuzisambaza mitandaoni, huyunae binadamu, ni wangapi hufanya haya ktk magari, vichochoro na vichaka, upadri cheo tu na nielimu alioipata darasani. Huyu mleta mada sheria itakufanyia uzinduzi.
 
bora kabisa sheria ya uhalifu mtandaoni ilivyosainiwa, hakukuwa na sababu za kumpiga picha na kuzisambaza mitandaoni, huyunae binadamu, ni wangapi hufanya haya ktk magari, vichochoro na vichaka, upadri cheo tu na nielimu alioipata darasani. Huyu mleta mada sheria itakufanyia uzinduzi.

ha ha ha poleni sana eti sheria ya mtandao...kwahiyo alichokifanya huyo kiongozi wenu wa dini ni sahihi?
 
Tafsiri yako huwezi kuilazimisha kwangu. The fact ni kwamba padre kuzini, kama mleta mada alivyoileta, ni tatizo la kijamii na si tatizo la Kanisa Katoliki. Kwa maneno mengine, tatizo la mtu au kiongozi fulani si tatizo la taasisi. Ni kama baba au mama akizini na mtoto wake si tatizo la familia au ndoa ni tatizo la mzazi mhusika.

Jamii ya Kanisa au siyo? maana madudu ya kanisa si huyo oadri kuzini tu, kuna Father Kit Cunningham akilawiti watoto na kulawitiwa kwa halaiki hapo Soni, umesahau, jikumbushe: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Guardian

Na si Tanzania tu kwenye huu uozo wa Kanisa, dunia nzima, huyajuwi? Ntakukumbusha kidogo kidogo kila unapojibu ili yakuingie kuwa huu ni uozo wa jamii ya Kanisa.
 
Hii ya kula mizigo kwenye gari TEC hawajaiweka kwenye waraka wa kanisa?
 
Bora kabisa sheria ya uhalifu mtandaoni ilivyosainiwa, hakukuwa na sababu za kumpiga picha na kuzisambaza mitandaoni, huyunae binadamu, ni wangapi hufanya haya ktk magari, vichochoro na vichaka, upadri cheo tu na nielimu alioipata darasani. Huyu mleta mada sheria itakufanyia uzinduzi.

Ulitaka afichwe ili aendelee kutafuna Kondoo wachanga sio?
Au huyu MZINIFU mna uhusiano.

Nyie wapambe nuksi sana.
Wacha Sheria Ije lkn Tutaendelea Kuwafichua hawa MAPADRI wazinifu mpaka Jela Ijae.
 
Hivi kuna kosa lolote kisheria linalonyima mtu kugegeda kwenye gari?Ni sheria gani hiyo?Hata kama ni polisi wakikushika unagegedea kwenye gari,je ni kosa kisheria,au ni sheria za mkononi ?......maana kuna scenario ya polisi kudaka watu....sehemu fidenge....naomba ufafanuzi tu!

cc: Watu8

Matendo yanayokiuka maadili kwa kiwango cha juu
Mtu yeyote ambaye katika hadhara au faragha au atashiriki katika utendaji wa kosa la matendo yanayokiuka maadili (ustaarabu) kwa kiwango cha juu, basi mtu huyo atahukumiwa kifungo kisichopungua mwaka mmoja na kisichozidi miaka 5 au faini isiyopungua shilingi 100,000/-na isiyozidi shilingi 300,000/-
 
Kuoa Binamu hata Kwa Waislam imezuiwa, isipokuwa Mohammad alilazimisha tu kwa sababu ya tamaa zake. Ukisoma hapo Pekundu inaonesha ni Mohammad tu alijiruhusu, yaani Waislam wengine hawaruhusiwi kula dada zao

Sura 33:50
O Prophet, indeed We have made lawful to you your wives to whom you have given their due compensation and those your right hand possesses from what Allah has returned to you [of captives] and the daughters of your paternal uncles and the daughters of your paternal aunts and the daughters of your maternal uncles and the daughters of your maternal aunts who emigrated with you and a believing woman if she gives herself to the Prophet [and] if the Prophet wishes to marry her, [this is] only for you, excluding the [other] believers. We certainly know what We have made obligatory upon them concerning their wives and those their right hands possess, [but this is for you] in order that there will be upon you no discomfort. And ever is Allah Forgiving and Merciful.

Unatahamu maana ya binamu??

Kwa kiarabu
Ibn = mtoto wa
Ammu/ammi = baba mdogo

Sio hii binamu yenu = mtoto wa shangazi
 
Unatahamu maana ya binamu??

Kwa kiarabu
Ibn = mtoto wa
Ammu/ammi = baba mdogo

Sio hii binamu yenu = mtoto wa shangazi

Maalim al mujtahid alibakari naona unajaribu kumsome Maluuni Kiarabu!
Kufanya hivyo ni sawa na Kumpigia mbuzi Gitaa ukitegemea atacheza!
Hapo utakesha akhui.

Hawa niachie mimi niwape bakora tu za makalio. Ndio kidooogo akilo zinawasogea.
 
Last edited by a moderator:
Jamii ya Kanisa au siyo? maana madudu ya kanisa si huyo oadri kuzini tu, kuna Father Kit Cunningham akilawiti watoto na kulawitiwa kwa halaiki hapo Soni, umesahau, jikumbushe: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Guardian

Na si Tanzania tu kwenye huu uozo wa Kanisa, dunia nzima, huyajuwi? Ntakukumbusha kidogo kidogo kila unapojibu ili yakuingie kuwa huu ni uozo wa jamii ya Kanisa.

Mbona mie naamini kuwa Waislamu ninao wajua ha kwetu Mtwara ni wema kuliko wanao chinja watu kama kuku, na kuteka watoto, wanawake na wazee?.

Sasa wewe unaamini kuwa kama ni mmoja ni mbaya, basi ni woote wabaya.
 
Sio wote lkn MAPADRI wamezidi mno Kubaka na Kutafuna Kondoo.
Hilo huwezi kukataa.
 
Jee huu si wakati kwa Kanisa kubadilika ? Katazo la Mapadri na wengine kukataliwa kufunga ndoa ni kwenda kinyume na maumbile ya mwanadamu.

Tumekua tukisikia kesi nyingi za kulawiti na kama hizi za aibu na hazitakoma kwani huwezi kwa mwanamme shababi kabisa kujizuia na matamanio ya mwanamke maisha wakati unashiba na nguvu unazo. Huku ni kujidanganya.

Kanisa lifanye mabadiliko liruhusu ndoa. Hili ndio jibu. Makanisa ambayo ya yanaruhusu ndoa hakuna matatizo haya isipokua Katoliki.
Badilikeni na haya maamuzi ya kutokuwa na ndoa. Bila ya shaka sio ya yesu ni kwenu wenyewe mlipokua mnajiundia sheria tofauti na amri 10.

BADILIKENI, FUNGENI NDOA.

Hivi hujawahi kusoma mtume aliyeoa wanawake 9 na bado alikuwa na mahawala lukuki?

Daudi alikuwa na wake wangapi na stories zake wazijua?
 
Kashfa ya kanisa au kashfa ya padre?

Kanisa katoliki ni zaidi ya Kadinali, sembuse padre??

Padre kuzini ni sawa na mwanaume aliye kwenye ndoa takatifu kuzini. Wote wanakuwa wametoka nje ya kiapo chao. Padre ni binadamu kama sisi.

Ni hayo tu kwa leo.

ukweli unabaki PALEPELEE!! mlinzi wa KONDOO amevunja amri ya .....
 
habari wadau wa jf,

katibu mtendaji wa idara ya mawasiliano wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki tanzania (tanzania episcopal conference, tec), padri anatoly salawa amefumaniwa akifanya ngono ndani ya gari yake yenye namba t 674 ada, na dada mmoja ambaye inadaiwa nae ni mfanyakazi wa baraza la maaskofu.!

View attachment 252053

View attachment 252054

my take.!
Nadhani kanisa katoliki lijitafakari upya na ifike mahali mapadri waruhusiwe kuoa. Hakuna sababu ya kuendelea kumdanyanya mungu kiasi hiki. Shame.!!

View attachment 252055

ushauri wa burrreeee!!!!! Waruhusuni mapadri waoe wakaijaze dunia
 
Jee huu si wakati kwa Kanisa kubadilika ? Katazo la Mapadri na wengine kukataliwa kufunga ndoa ni kwenda kinyume na maumbile ya mwanadamu.

Tumekua tukisikia kesi nyingi za kulawiti na kama hizi za aibu na hazitakoma kwani huwezi kwa mwanamme shababi kabisa kujizuia na matamanio ya mwanamke maisha wakati unashiba na nguvu unazo. Huku ni kujidanganya.

Kanisa lifanye mabadiliko liruhusu ndoa. Hili ndio jibu. Makanisa ambayo ya yanaruhusu ndoa hakuna matatizo haya isipokua Katoliki.
Badilikeni na haya maamuzi ya kutokuwa na ndoa. Bila ya shaka sio ya yesu ni kwenu wenyewe mlipokua mnajiundia sheria tofauti na amri 10.

BADILIKENI, FUNGENI NDOA.

Ivi walio kwenye ndoa hawafanyi haya? Je hao wake za watu wanaofunaniwa hawajolewa? au hai wanaume wa watu hawajaoa? Kutokuoa si chanzo cha padri kufanya ivi ni yeye tu maamuzi yake mana ingekua tatizo ni kuoa basi watu wasingekuwa wanafumaniwa na wake au waume za watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom