padre na jogoo

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
Padre mmoja alipoteza jogoo wake, akaona aulize kanisani baada ya ibada kama kuna muumin kamuona jogoo wake, basi padre akuliza jaman kuna mtu ana jogoo wanaume wote wakasimama, padre akasema naona hamjanielewa nauliza hivi kuna mtu ameona jogoo, wanawake wote wakasimama, padre akasema jaman simaanishi hivyo nauliza kuna mtu yeyote aliyenionea jogoo wangu, masister wote wakasimama, padre kuona hvyo akazimia.
 
Inaleta maana kwa English tu ambako uume waitwa 'cock' --ukitafsiri hainogi labda kwa kulazimisha.
 
sana sasa hapo kasheshe coz inawezekana walikuwa hawajui kama wote wametembezewa hapo tena ana kesi ya kujibu kwa masista
 
Back
Top Bottom