Kifo cha Osama hakimaanishi kifo cha Al-Qaida wala Ugaidi.Moto ndio kwanza umewashwa.Kwanza Osama kitambo tu alikuwa si kiongozi tena wa Al-Qaida,wapo akina Al-Zawahir na wengineo.Halafu,Osama kama hajafa hivi.........
kama waislamu wajinga wamefundishwa ujinga na wewe na mkeo" acha upuuzi wako kamjaribio mkeo au yeyote ulie juu yake" tena maada ya kutukana waislamu uwache nakuapia kwa yule ambae anaimiliki nafsi yangu ungeongea maneno haya tumekaribiana ningekufundisha adabu na ungeondoa najisi zako mdomoni mwako.
mkuyat og, yaap nipo sirias kwani kuna ubaya gani kwa shekh Osama kulala karibu na Mtume?
Sheikh Osama alikua ni Muislam na amekufa akiwa Muislam je kuna ubaya gani kumuombea kheri? au kuna mabaya gani ambayo kayafanya mpaka uniulize kama nipo sirias? au ndio ule msemo wa mkuki kwa nguruwe ila kwa binadam mchungu?
Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
kama ana access aangalie channel za pakistan kama express 24/7 n.k ataona then,aulize nani anazimiliki maana mchakato umefanyika pakistaniHata Al jazeera inamilikiwa na wa-usa?
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.