Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
He is luck of coincidence, Bush alishamaliza yeye kakuta tayari mtego wa kumnasa Osama uko vizuri.
 
Tatizo la bush alikuwa anatangaza kwamba tutaenda kuvamia ,hakujua hao wakuu wa uko ndio wanaomlinda osama,Obama yeye alimtafuta kimya kimya bila kutangaza,ata rais wa pakistan hakuambiwa.Osama alikuwa anaishi karibu na kambi ya jeshi ata akiumwa alikuwa anatibiwa kwenye hospitali ya jeshi.

Wakati mwingine usiri una baraka ' Diamond Platinum'
 
American have only one vision, but different ideas and philosophies....thread hii ni nzuri ila haiwapendezi baadhi ya watu walimpenda sana mzee O.bin L.
 
Kama vile 2Pac Shakur, OBL atarudi baada ya miaka 7.............Makaveli is a Don Kiluminati:majani7:
 
Wajuzi wa mambo tulisikia kuwa Osama bin Laden kauawa na wanajeshi wa Marekani.Kukawa na taarifa nyingine kuwa hajauawa je ni kweli aliuawa?Je kuna uthibitisho umepatikana wa kuuawa kwake?Kwa mfano sehemu alipouawa,alipozikwa na kadhalika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom