Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Don't trust Americans, they are freaks! Including their Prez, hawa si ndio watu wenye Hollywood? Fake, faking, faked and we gotta sing to the tune!
 
Tanzania should rejoice. Tanzania was the first victim of OBL's high profile terrorist campaign.
 
Kifo cha Osama hakimaanishi kifo cha Al-Qaida wala Ugaidi.Moto ndio kwanza umewashwa.Kwanza Osama kitambo tu alikuwa si kiongozi tena wa Al-Qaida,wapo akina Al-Zawahir na wengineo.Halafu,Osama kama hajafa hivi.........

wataka kutuambia nini?
 
Kawa ulize wa Pakistani alipokuwa amejificha jirani na Army Academy ndio watakwambia ukweli. Osama is no more!!
 
kama waislamu wajinga wamefundishwa ujinga na wewe na mkeo" acha upuuzi wako kamjaribio mkeo au yeyote ulie juu yake" tena maada ya kutukana waislamu uwache nakuapia kwa yule ambae anaimiliki nafsi yangu ungeongea maneno haya tumekaribiana ningekufundisha adabu na ungeondoa najisi zako mdomoni mwako.

..nini jamani ...ugomvi wa nini..... tulizeni jazba... kaeni kwenu na familia zenu kuleni ugali maharage.... Vip nyie..?
 
Atasomewa Dua na hitma hiyo huko Abbottabad Pakistan na Mazar el-Sharif Afghanistan. KARIBU SANA
 
mkuyat og, yaap nipo sirias kwani kuna ubaya gani kwa shekh Osama kulala karibu na Mtume?
Sheikh Osama alikua ni Muislam na amekufa akiwa Muislam je kuna ubaya gani kumuombea kheri? au kuna mabaya gani ambayo kayafanya mpaka uniulize kama nipo sirias? au ndio ule msemo wa mkuki kwa nguruwe ila kwa binadam mchungu?

ivi wewe ni kichaaa.. ivi ungekua na ndugu yako.. baba ,mama , au mkeo/mmeo amefariki kutokana na ugaidi wa osama .. kweli unatoa wapi ujasiri wa kumsifia huyu mwanaharamu Osama
 
Hivi toka usiku mkali hadi wasaa huu kinachoendelea kwenye media za nje kuhusu osama ni propaganda? Chunguza tena halmashauri ya ubongo wako mkuu
 
WASHINGTON (Reuters) – U.S. forces finally found al Qaeda leader Osama bin Laden not in a mountain cave on Afghanistan's border, but with his youngest wife in a million-dollar compound in a summer resort just over an hour's drive from Pakistan's capital, U.S. officials said.
A small U.S. team conducted a night-time helicopter raid on the compound early on Monday. After 40 minutes of fighting, bin Laden and an adult son, one unidentified woman and two men were dead, the officials said.

U.S. forces were led to the fortress-like three-story building after more than four years tracking one of bin Laden's most trusted couriers, whom U.S. officials said was identified by men captured after the September 11, 2001 attacks. "Detainees also identified this man as one of the few al Qaeda couriers trusted by bin Laden. They indicated he might be living with or protected by bin Laden," a senior administration official said in a briefing for reporters.

Bin Laden was finally found -- more than 9-1/2 years after the 2001 attacks on the United States -- after authorities discovered in August 2010 that the courier lived with his brother and their families in an unusual and extremely high-security building, officials said. They said the courier and his brother were among those killed in the raid. "When we saw the compound where the brothers lived, we were shocked by what we saw: an extraordinarily unique compound," a senior administration official said. "The bottom line of our collection and our analysis was that we had high confidence that the compound harbored a high-value terrorist target. The experts who worked this issue for years assessed that there was a strong probability that the terrorist who was hiding there was Osama bin Laden," another administration official said.

The home is in Abbottabad, a town about 35 miles north of Islamabad, that is relatively affluent and home to many retired members of Pakistan's military. It was a far cry from the popular notion of bin Laden hiding in some mountain cave on the rugged and inaccessible Afghan-Pakistan border -- an image often evoked by officials up to and including former President George W. Bush. The building, about eight times the size of other nearby houses, sat on a large plot of land that was relatively secluded when it was built in 2005. When it was constructed, it was on the outskirts of Abbottabad's center, at the end of a dirt road, but some other homes have been built nearby in the six years since it went up, officials said.

WALLS TOPPED WITH BARBED WIRE
Intense security measures included 12- to 18-foot outer walls topped with barbed wire and internal walls that sectioned off different parts of the compound, officials said. Two security gates restricted access, and residents burned their trash, rather than leaving it for collection as did their neighbors, officials said.

Few windows of the three-story home faced the outside of the compound, and a terrace had a seven-foot (2.1 meter) privacy wall, officials said.
"It is also noteworthy that the property is valued at approximately $1 million but has no telephone or Internet service connected to it," an administration official said. "The brothers had no explainable source of wealth."

U.S. analysts realized that a third family lived there in addition to the two brothers, and the age and makeup of the third family matched those of the relatives -- including his youngest wife -- they believed would be living with bin Laden. "Everything we saw, the extremely elaborate operational security, the brothers' background and their behavior and the location of the compound itself was perfectly consistent with what our experts expected bin Laden's hide-out to look like," another Obama administration official said.

Abbottabad is a popular summer resort, located in a valley surrounded by green hills near Pakistani Kashmir. Islamist militants, particularly those fighting in Indian-controlled Kashmir, used to have training camps near the town.
 
Hata wewe unatudanganya. Kama yupo hai, tuambie yuko wapi na anafanya nini.
 
Ndugu wadau;

Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.

Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.

We need to receive it with intensive care!!!


Hata Al jazeera inamilikiwa na wa-usa?
 
He was not real, waliomtengeneza na kumuweka katika historia ndio waliomuondoa na kumfuta kama walivyomleta!!
 
Hata Al jazeera inamilikiwa na wa-usa?
kama ana access aangalie channel za pakistan kama express 24/7 n.k ataona then,aulize nani anazimiliki maana mchakato umefanyika pakistani
NASHANGAA WATU WANAOKUWA AGAINST THE WORLD
 
Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.

According to Obama speech ni kuwa hawajamzika na mwili wake uko under US custody sasa huko baharini nani kaupeleka????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom