Orodha ya wateuliwa wote wa Rais wa Tanzania

makatibu wakuu, na wasaidizi wao, manaibu waziri, wakuu wa vyuo, mkuu wa tasisis ya elimu kibaha, wakurugenzi wa TBS, TFDA, TRA, BoT, mKUU WA MAJESHI YA ULINZI, POLISI, katibu mkuu ikulu, mabalozi wa nchi za nje, ndani ya ccm pia huteua watu wake... nafasi ni nyingi sana rais anazoteua

Na kwa jinsi hii anaweza vipi kujitoa katika poor performance ya serikali yake?!
 
hahahahahaaaaaaaaa, Hapa hachomoki mtu, atafukuza wote atajikuta anatakiwa kujivua gamba mwenyewe
 
Kwa hali hii nafikiri watanzania lazima tumedanganyika kwa mda mrefu, Ahsante kwa chadema kwa kutufungua macho na kudai katiba mpya na rais wetu kukubali kama hakitakuwa kiinimacho.. Haya lazima yajadiliwe na ifike rais awe ceremonial leader kama Kenya walivyofanya katika katiba yao. Kwa nini haya mambo hayakuwekwa wazi tangu siku nyingi. Nafikiri Nyerere baba wa Taifa hakututendea haki. Wakati akiondoka kwenye urais angetakiwa aone haya na kubadilisha katiba Maana haya yametugharimu sana na hata raisi anakuwa confused kwa ajili ya haya madaraka makubwa. Yote haya ndiyo yameleta mafisadi maana vyeo vyote vilvyotajwa hapo juu mkuu peke yake wa kuwaadhibu na unategemea hatawaona wangapi.
 
Hii katiba kama ilifaa enzi za Mwalimu, kwa kizazi hiki haifai kabisa!
 
Uzi huu ni muhimu sana, na ikiwezekana hebu wateule wote wawekwe vizuri kwa ngazi na marupurupu yao, tuone ambavyo wanaweza shawishika kumkana huyu mfalme kwa uzito wa marupurupu. Kimsingi hilo ni dhahiri hawawezi, sasa kama nilivyopata andika humu siku za nyuma. Katiba iliyopo kwa tabasamu ama kwa kununa lazima iondoe ufalme na kuleta utawala wa kidemokrasia ya kweli ambapo tutaweza wawajibisha wanaotuudhi na kututesa.
 
Mawaziri na manaibu waziri
Wakuu wa mikoa
Wakuu wa wilaya
wakurugenzi wa wilaya
wakuu wa mashirika ya uma
wanabodi mbalimbali
wabunge wa JK
wakuu wa majeshi
makatibu wakuu wa wizara
majaji
raisi anateua nusu ya wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini huu ni upuuuzi
upuuuzi PLUS
 
Je ORODHA IMEISHIA HAPO? Hatuja sahau wateule wengine kweli....
 
Kuna miongozo inayofuatwa katika uteuzi. Mheshimiwa Rais anastahili kuwa na madaraka hayo ili kupanga safu. Suala la uadilifu wa Mwalimu halipingiki; ila napenda kuwaarifu kuwa viongozi wote waliopata Urais wa Tanzania ni waadilifu na wana weledi mkubwa wa uoingozi. Tatizo kubwa la Tanzania ni RUSHWA, ambayo ilikuwepo tangu zama za Mwalimu; haikuanza rushwa baada ya Mwalimu; Rushwa ilitolewa na Yuda Iskarioti zamani hizo.

MISHAHARA MIDOGO NAYO INAWAPA MTIHANI WATUMISHI

Polisi wanaishi kwenye majumba ya ajabu.

Daktari anapewa 10,000 on call; anatoka Tegeta kwenda Muhimbili Usiku.

Mwalimu analipwa laki mbili; na hizo zenyewe amekopwa; ana malimbikizo ya mishahara ya miaka mitano. The list is endless.

Muasisi wa CHADEMA, Mheshimiwa Edwin Mtei alikuwa Gavana na Waziri; na wakati akiwa katika nafasi hizo; rushwa ilikuwepo, na economic perfomance ilikuwa ya ovyo.

Siku hizi watu wanapenda kusema ZAMA ZA MWALIMU ZAMA ZA MWALIMU; as though ilikuwa ni ZAMA ZA PEPO

Ukweli ni huu hapa wa zama za mwalimu.

1. No Freedom of Speech (Actually there was freedom of Speech, but not after the speech).

2. No Freedom of Press - Actually Media ilikuwa ni Uhuru Mzalendo, RTD, Daily News ilikuwa hakuna TV; save in Zanzibar Kulikuwa na TVZ na Sauti ya ZNZ ambayo ilikuwa inatangaza kuanzia saa 9 hadi saa 4 .

3. Centrally Planned Economy.

4. Operation Vijiji - Several people died during implementation na hakuna aliyediriki kuhoji

After Nyerere

TRANSITION PERIOD OF MWINYI

1. Economic Liberalization

2. Press Liberalization

3. Multi Party

MKAPA

1. Stabilization Policies
2. Focus on Growth
3. Strengthened democracy

JK

On going

Milestone achievement expected

KATIBA

WAKATI WA NYERERE ILIKUWA HAKUNA JAMII FORUM YA WATU KUPOST WATAKAYO, kumtusi Rais na Baraza na kuhoji madaraka ya Rais

endelezeni kudadavua
 
Makame, kwa hiyo unaona rais aachwe aendelee kuteua utitiri wote huu wa viongozi?
 
Back
Top Bottom