Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372

Siku moja baada ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA kujiunga rasmi na chama cha ACT, kuna wimbi kubwa la wafuasi na wanachama wa CHADEMA kukihama chama hicho na kumfuata Zitto. Hakika hili ni pigo kubwa sana kwa CHADEMA. Hatujui ni watu wangapi wamebadili fikra zao na kwenye uchaguzi ujao watakipigia kura ama CCM au ACT ambao walikuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Poleni sana Makamanda. Siasa si chuki.

Waliojiunga Act.JPG
 
Ubaguzi umeimaliza Chadema, mwisho watabaki Mbowe na mkwe wake Mtei peke yao.
 
Sasa naamini kuwa Chadema kilianza na Mungu na kinamalizia na Mungu.

Askofu Gerald Mpango, shemeji yake Gavana Daudi Balali, alinunua Kigoma Hotel kwa pesa ya Balali, akaikimbia baada ya mambo ya Balali kuharibika, sasa ndiye mbia wa Mccm Zitto, mtoto wa Kirundi.

Hongereni Chadema kwa kuachana na ndumilakuwili
 
ACT Ni chama..lazma kipate watu hyo ni kawaida..mbona kila ck ccm wanaamia chadema na vyama vingne..this is reversible reaction..going in either direction so kuna wanaoenda CHADEMA wengne from Chadema to ACT etc etc etc.....
 
Back
Top Bottom