voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Marais saba wa nchi saba za Afrika ambao wamedumu kwa muda mrefu,Madarakani mpaka sasa.
1-Teodoro Obiang Nguema Mbasogo (Miaka-44 )Equatorial Guinea .
2-Paul Biya (Miaka-42 )
Cameroon .
3-Denis Sassou Nguesso (Miaka-36)
Congo Brazzaville
4-Mfalme Mswati III
(Miaka- 36)
Lesotho .
5-Yoweri Museveni (Miaka35)
Uganda .
6-Isaias Afwerki (Miaka-30)Eritrea .
7-Paul Kagame (Miaka-23)
Rwanda
Ndio sababu wananchi wanaingia mabarabarani huko west Africa pale linapotokea la kutokea mfano hai ni
Gabon Ambapo familia ya Omari Bongo (R.I.P) imekuwa ikitawala kwa kupokezana kwa jumla ya miaka- 56.
Hadi leo ambapo wameua iwe mbwai.
Wamemtoa Rais Ally Bongo mtoto wa Marehemu Omar Bongo Aliyekuwa Rais wa nchi hiyo .
Kabla ya mwanae kuchukua nafasi yake, ni baada ya kifo cha baba yake.