Original Komedi wamefulia

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Yani hawa OK sikuhizi hawana jipya.... unaweza ukaangalia vipind 10 mfululizo ukabaki umekunja sura. Hawachekeshi. Mi naona wachekeshaji watakao kimbiza mpaka mwisho ni Mizengwe. RIP Orijino Komedi.
 
Hapo ITV, mkurugenzi wake na mwenyekiti watafanya party, maana kazi yao ni kuharibu vipaji vya new and up coming wakati wao hawana capacity ya kutengeneza vipaji, hebu kumbukeni habari ya kiti moto ba Pascal Mayala, si mmewaona walivyoingili kufanya midahalo wakati nasikia kile kipindi sio chao walipelekewa wakafanya na wenye nacho sasa naona wanaende kukiiba. ITV na UDASa mnakumbuka habari ya Makonda kumpiga Warioba? hawa watoto leo wangekua mbali kisa hawakutaka kuwaramba miguu
 
Ninaona title yako inaonyesha kicheko!. Sasa hapa unafurahia nini? Kwamba watu wakipata shida wwe unafurahia? Kwamba wamefulia kwa hiyo kwako ni kicheko?

Wewe si umetoka kusema uko sawa na Mungu kwamba mna dini moja. Dini yako hiyo inakufundisha kufurahia matatizo ya watu? kwa hiyo na huyo mungu wako unayesema anadni kama yako anafurahia mateso ya watu?

Nimesema usabato ni unafiki na upagani uliokithiri. Umekubali sasa? eti Mungu na wewe ni mates!. Ninadhani waliokuwa hawakuelewi kwamba usabato ni upagani wa kinafiki, lakini hakuna uchaji wa Mungu, watakuelewa hapa.

Ungelikuwa na Mungu wewe, ungekuwa na huruma kwa wanaokwama ama kuteseka na hivo usingeangua kicheko kwa kuwa Origional komedi wamefulia.

Biblia inasema, ..Mungu hapendi kuwatesa wanadamu na wala hapendi kuwasikitisha. Wewe mate wako ni mungu wa wapi?

Sasa ujione namna ulivyo m'pumbavu unayefanya imani kama haya manguo yako unayojifunika nayo wakati wa baridi na unayavua waakti wa joto.
Mjue Mungu uache unafiki, wivu, hila majungu, umbea uchawi, uwongo, uzinzi na uchonganishi. Pu.mbavu sana wewe.

Hili ni jukwaa gani?
 
mbona povu sana, wewe ni Seki? Mimi siwezi kuwahurumia kwa anguko lao kwakweli coz wao walipokuwa juu walikuwa wanawacheka wenzao kwenye ile segment ya 'ALIYE FULIA' au umesahau? Hata hilo neno 'kufulia' wameliintroduce wao
 
Nikwelimkuu. Hapo tunapata funzo la kuto dharau watu maana kuna leo na kesho.
 
Nimekuambia usabato ni upagani na unafiki usiokuwa na hata chembe ya Neno la Mungu. Wewe uliona wapi mtu wa Mungu anabadilika na mazingira. Eti kama hayuko kanisani dhambi ruksa kama kawa. Na hii ndiyo tabia yenu wasabato. Mnajidai kusema eti mnatunza sheria ambazo zimewashinda na dhambi mnaswaga kama kawa maadamu hamko kanisani. Huu ni upagani murua!.

Ungelikuwa na hofu ya Mungu, ungejishtukia kusema maneno ya kishetani eti kwa kuwa hauko jukwaa la dini. Up.mbavu tu!.

Hili ni jukwaa gani?
 
Sorry mimi sina affiliations zozote na makundi ya sanaa. Kuna huyu mtu anayejiita sijuti, ametoka kuanzisha thread ya makufuru eti Mungu ni msabato. Wasabato wenyewe including huyu jimama, wamejaa maisha ya dhambi hadi utosini. Halafu anajilinganisha na Mungu!.

Na hili kalithibitisha hapa hapa hata siku haijapita. Kweli kuwacheka watu wanaofail, ni tabia za Mungu? Ndiyo maana nikasema asije akarudia tena kumfnya Mungu ni mwanadini mwenzie wakati li dinil lenyewe analolisema limejaa michawi, migomvi, mitukanajai, mijizi, misingiziaji, minafidi isiyomithirika.

Mungu ni Mungu, hana dini na wala halinganishwi wala kufananishwa na kitu chochote mahala popote. Huyu sijuti ni mpu.bavu tu.

mbona povu sana, wewe ni Seki? Mimi siwezi kuwahurumia kwa anguko lao kwakweli coz wao walipokuwa juu walikuwa wanawacheka wenzao kwenye ile segment ya 'ALIYE FULIA' au umesahau? Hata hilo neno 'kufulia' wameliintroduce wao
 
Nimekuambia usabato ni upagani na unafiki usiokuwa na hata chembe ya Neno la Mungu. Wewe uliona wapi mtu wa Mungu anabadilika na mazingira. Eti kama hayuko kanisani dhambi ruksa kama kawa. Na hii ndiyo tabia yenu wasabato. Mnajidai kusema eti mnatunza sheria ambazo zimewashinda na dhambi mnaswaga kama kawa maadamu hamko kanisani. Huu ni upagani murua!.

Ungelikuwa na hofu ya Mungu, ungejishtukia kusema maneno ya kishetani eti kwa kuwa hauko jukwaa la dini. Up.mbavu tu!.

Wapi pamebadilika? Enhe mbona kule hutupi maandiko? umekaririshwa mipasho.
 
Sorry mimi sina affiliations zozote na makundi ya sanaa. Kuna huyu mtu anayejiita sijuti, ametoka kuanzisha thread ya makufuru eti Mungu ni msabato. Wasabato wenyewe including huyu jimama, wamejaa maisha ya dhambi hadi utosini. Halafu anajilinganisha na Mungu!.

Na hili kalithibitisha hapa hapa hata siku haijapita. Kweli kuwacheka watu wanaofail, ni tabia za Mungu? Ndiyo maana nikasema asije akarudia tena kumfnya Mungu ni mwanadini mwenzie wakati li dinil lenyewe analolisema limejaa michawi, migomvi, mitukanajai, mijizi, misingiziaji, minafidi isiyomithirika.

Mungu ni Mungu, hana dini na wala halinganishwi wala kufananishwa na kitu chochote mahala popote. Huyu sijuti ni mpu.bavu tu.

Biblia inasema Watu wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Pia yakobo 2:10 inaonesha dhahiri kuwa dhambi zote ni sawa. Pia biblia inasema Dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu. Sheria ya Mungu inapatikana ktk kitabu cha Kutoka 20:1-17. So kama hutunzi sabato ya Bwana unakuwa sawa na mzinzi rejea Yakobo 2:10
 
Hao mizengwe unaowataja airtime yao robo saa,wape saa nzima uone kama watakuchekesha.
 
Hapo ITV, mkurugenzi wake na mwenyekiti watafanya party, maana kazi yao ni kuharibu vipaji vya new and up coming wakati wao hawana capacity ya kutengeneza vipaji, hebu kumbukeni habari ya kiti moto ba Pascal Mayala, si mmewaona walivyoingili kufanya midahalo wakati nasikia kile kipindi sio chao walipelekewa wakafanya na wenye nacho sasa naona wanaende kukiiba. ITV na UDASa mnakumbuka habari ya Makonda kumpiga Warioba? hawa watoto leo wangekua mbali kisa hawakutaka kuwaramba miguu

ITV inahusikaje na anguko la OK?
 
Ninaona title yako inaonyesha kicheko!. Sasa hapa unafurahia nini? Kwamba watu wakipata shida wwe unafurahia? Kwamba wamefulia kwa hiyo kwako ni kicheko?

Wewe si umetoka kusema uko sawa na Mungu kwamba mna dini moja. Dini yako hiyo inakufundisha kufurahia matatizo ya watu? kwa hiyo na huyo mungu wako unayesema anadni kama yako anafurahia mateso ya watu?

Nimesema usabato ni unafiki na upagani uliokithiri. Umekubali sasa? eti Mungu na wewe ni mates!. Ninadhani waliokuwa hawakuelewi kwamba usabato ni upagani wa kinafiki, lakini hakuna uchaji wa Mungu, watakuelewa hapa.

Ungelikuwa na Mungu wewe, ungekuwa na huruma kwa wanaokwama ama kuteseka na hivo usingeangua kicheko kwa kuwa Origional komedi wamefulia.

Biblia inasema, ..Mungu hapendi kuwatesa wanadamu na wala hapendi kuwasikitisha. Wewe mate wako ni mungu wa wapi?

Sasa ujione namna ulivyo m'pumbavu unayefanya imani kama haya manguo yako unayojifunika nayo wakati wa baridi na unayavua waakti wa joto.
Mjue Mungu uache unafiki, wivu, hila majungu, umbea uchawi, uwongo, uzinzi na uchonganishi. Pu.mbavu sana wewe.

Mna mkimbia kiranga na Yesu wenu, mnakuja kutuletea Upuuzi wa IMANI zenu hapa :mad:

Nenda jukwaa LA walokole kaeneze injili ya Mtundikwaji
 
Wewe huna andiko la kunihubiri mimi. Kawahubiri wasabato wenzako mnaofanya imani kama joho la kuvaa wakati fulani na kulivua mkisingizia eti "watu wote wametenda dhambi", pumbff. kabisa. Hata neema ya Mungu halijui halafu linajidai kuleta upumb.vu hapa. Acha dhambi wewe, mwamini Bwana Yesu, upate kufunguliwa. Huo unafiki wako wa kisabato ulijaa upagani ni upu.bavu bele za Mungu. Tena nakuonnya usirudie kusema Mungu ni mwana dini mwenzako. Pumbavu kabisa. Na ukirudia, yatakayokkuta hutasabau. Mwehu.

Biblia inasema Watu wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Pia yakobo 2:10 inaonesha dhahiri kuwa dhambi zote ni sawa. Pia biblia inasema Dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu. Sheria ya Mungu inapatikana ktk kitabu cha Kutoka 20:1-17. So kama hutunzi sabato ya Bwana unakuwa sawa na mzinzi rejea Yakobo 2:10
 
Nawewe peleka huko ushatani wako, hakuna unachoelewa zaidi ya ushabiki wa mirindimo ya pwani unaouita dini. Mwehu.

Mna mkimbia kiranga na Yesu wenu, mnakuja kutuletea Upuuzi wa IMANI zenu hapa :mad:

Nenda jukwaa LA walokole kaeneze injili ya Mtundikwaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom