Habari zenu?
Tafadhali mnisaidie. Mwanamke fulani huku Zanzibar anayejaribu kunitapeli alifungua kesi ya madai, lakini alishindwa kupinga majibu yangu na hati zangu, kwa hiyo alisema mahakamani kwamba halikuwa haupo tayari kusikiliza pingamizi za awali amua kuondosha shauri la kusikiliza pingamizi hizi awali kwa mujibu wa "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" ili aweze kuleta "fresh suit" katika mahakama. Baada miezi 7 alifungua kesi ile ile kwa kutoa maombi na madai yale yale bila kujali pingamizi zangu!
Ningependa kujua "Order XXVII r, i subr (1,2,3)" inasema nini na kwa nini huyu mtapeli aliweza kufungua kesi ile ile kwa mara ya kwanza.
Asanteni sana