Operesheni Sangara ya CHADEMA Ifakara Kijana achangia YAI la kuchemsha

Aliye changia yai huyo Ndio mwana mapinduzi wa Nadhani ni zaidi ya Sabodo Hongera zake kijana kwa uzalendo wako na mapinduzi ya kimoyo na ki fikra viva Movement for change.
 
Atalila nani hilo yai?Slaa au mbowe? Topic zingine ni rubbish kweli
mkuu ninawasiwasi na ugreatest thinker wako juu ya tafsiri ya tukio hilo ukiwa unafikiri vizuri yai hilo lina maana kubwa kuliko unavyofikiri pili inaonyesha jinsi gani sasa watanzania wanavyojitoa kwa nchi yao kupitia chadema na hata kutoa kidogo kilichondani ya uwezo wao kuikomboa nchi nafikiri wewe ndio rubish kwa kutotambua uzalendo wa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom