Operesheni Sangara ya CHADEMA Ifakara Kijana achangia YAI la kuchemsha

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Ndugu zao WanaJF nimeshangazwa na moyo wa kutaka mabadiliko aliounyesha Kijana mmoja hapa Mjini Ifakara ambaye baada ya kukosa hela ya kuchangia wakati kikapu kinapitishwa kwenye Mkutano aliamua kuchangia YAI la kuchemsha ambalo lilikuwa ni bidhaa yake aliyokuwa akiuza kwenye mkutano ule. Pia uwanja ulibadilishwa Jina na kuwa CHADEMA SQUARE, Wananchi walimkumbuka Marehemu Regia Mtema; It was very wonderful
 
Last edited by a moderator:
duhhh hiki chama kinazidi kuwa tishio, ukiona akina mama wanatoa support kubwa hivi elewa hali ni ya hatari ngoja nimtaarifu baba mwanaasha
 
zito nakushauri urudi ccm na ukagombee ubunge kwa kupitia huko au vyama nipya vilivyoanzishwa na ccm kwa ajili ya kuikabili chadema ambavyo ni chauma ,adc na vingine wanavyovijua wao.
nasema hayo sababu nyingi lakini nitasema chache.
1.wakati viongozi wa juu wote wa chadema wanapambana kwa kutumia m4c zito haujaonekana hata kwenye mkutano mmoja ikiwa kama ni kutotaka kutamka maneno ya kuwaudhi waliokutuma kuichafua chadema.
2.zito unapopeleka hoja yoyote bungeni inakuwa ya kujijenga binafsi na si kwa maslahi ya wanyonge wengi na wabunge wa upinzani hususani chama chako na hii ni pamoja na kutokutoka nje ya ukumbi wa bunge pale chadema wanapofanya hivyo kwa maslahi ya chama chao.
3.umejisifu sana kuwa wewe ni muadilifu na unao uwezo wa kuwa rais wa nchi 2015 kwa hili umekosea maana njia uliyoitumia ni mbovu sana maana kuna vikao vya chama ambavyo ungevitumia kueleza hoja yako lakini kwa kutumia waandishi wa habari na bunge na vijana wako wa kigoma halitakusaidia kufika huko maana nyuma yake inaoonekana kuna baraka za bwana mkubwa ili muivuruge chadema.
4.taarifa zisizo rasmi zinaonyesha urafiki wako wa karibu na jakaya na ridhiwani ni mashaka makubwa sana maana hakuna sehemu yoyote ambayo umemlaumu rais wa nchi kwa udhaifu wake bali amekutumia kumdhalilisha waziri mkuu kwa maslahi ya ikulu na si kwa upinzani unaposema serikali haiko makini bado unaficha kumtaja jakaya moja kwa moja sababu ya agenda zenu za siri ambazo wana ccm na wanachadema wengi wameliona.
Umeingizwa kwenye orodha ya wala rushwa wabunge kwa makusudi tu kuichafua chadema na si vinginevyo na hili unalijua vizuri.sidhani kama kupitia chadema utafanikiwa ndoto zako maana chadema wako makini ndio maana hakuna kiongozi wa juu wa chama aliyejibu hoja zako za kuutaka uraisi kiurahisi ushauri wangu kwako utangaze adharani kujiunga kwako na kundi la shibuda nakutakia safari njema.m4c daima.
 
Mkuu Tabia za kimbeya ni Tabia za kike Umeona Ule Uzi Ulioanzisha Hautoshi umekuja Kujamba hapa kwenye Uzi wa M4C

Mkuu Lumumba wanakulipa Shilingi Ngapi Kufitinisha CDM?

M4C Haina Huruma
 
Achana na atalila nani mdau jaribu kujiuliza huyu kijana alikuwa na dhamira gani ndani ya moyo wake bila shaka anasukumwa na moyo wa mabadiliko
 
Atalila nani hilo yai?Slaa au mbowe? Topic zingine ni rubbish kweli
Ni rubbish kwa watu wasiojua kufikiri. Hapa ina maanisha kuwa watu hata masikini wamepata moyo wa kuchangia chama hata kama ni kitu kidogo. Unajua yai shilingi ngapi? Kwa mtu wa Kijijini uwezo wake ni huo
 
nepi atakuja na kusema lile yai lilipiwa na slaa, maana yule jamaa naye kwa ukatumni simwezi
 
Wananchi wanawahurumia kina lema,wameona bora wasaidie msosi, imebaki mwingine atoe muhogo wa kuchemsha ili kina lema waache tabia ya kwenda kuomba pilau kwa wabunge wa ccm.
 
Nafikiri aliona aibu iliyopata viongozi wa M4Chaga kule Lindi wakaishia kula kwenye majumba ya watu wakasimangwa.
 
Ndugu zao WanaJF nimeshangazwa na moyo wa kutaka mabadiliko aliounyesha Kijana mmoja hapa Mjini Ifakara ambaye baada ya kukosa hela ya kuchangia wakati kikapu kinapitishwa kwenye Mkutano aliamua kuchangia YAI la kuchemsha ambalo lilikuwa ni bidhaa yake aliyokuwa akiuza kwenye mkutano ule. Pia uwanja ulibadilishwa Jina na kuwa CHADEMA SQUARE, Wananchi walimkumbuka Marehemu Regia Mtema; It was very wonderful

safi sanaa vijana tusilale mpk kieleweke
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tabia za kimbeya ni Tabia za kike Umeona Ule Uzi Ulioanzisha Hautoshi umekuja Kujamba hapa kwenye Uzi wa M4C

Mkuu Lumumba wanakulipa Shilingi Ngapi Kufitinisha CDM?

M4C Haina Huruma

Japo u mshirika mzuri,ila watake radhi mama zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom