Openbox mpeg4 hd receiver

Mliga

Senior Member
Oct 4, 2011
101
16
waungwana naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya ubora wa hizi receiver za openbox mpeg4 hd. maana nliskia ziko poa na zinakubali mautundu ya kufungua scrambled channels! Naomba taarifa kutoka kwenu nisije nikaingia chaka maana nna mpango wa kuinunua!
 
Mkuu inauzwa bei gani na weka model yake

Mkuu jamaa kaomba msaada wakujua ni ipi receiver ya mpeg 4 nzuri, ww tena unamuuliza swali alilouliza yeye. mimi mwenyewe nasubiri watalam waje watupe mambo.
 
Mkuu kunaaina nyingi zinatofautiana
juzi jumanne nilipita duka fulani maeneo ya mtaa wa Rwagasore mkoani Mwanza nikakuta mpeg4 hd receiver inaitwa Premium inauzwa Tsh.170,000 na hapo kabla nlishapitia maduka mawili Dar, mwanzo nilienda kwa Levi nikazikuta mpeg4 hd receiver bei ni kuanzia 160,000 na kuendelea, mfano StarTrack HD nilikuta kwa bei hiyo na baadae nkaenda duka moja lipo karibu na mzunguko wa msimbazi(sio mwenyeji wa mji ila jamaa yangu anapajua vizuri!) nako nkazikuta zinaanzia Tsh.140,000 kama Wiz na kwa Humax ir 1020 kwa ajili ya abudhab sports ni 500,000! sasa kinanchontatiza ni ufanisi wa hivi vitu maana kununua kila wakati inakera na nimatumizi mabaya ya pesa. Na kinanichanganya zaidi hata wauzaj hawajanipa maelezo ya kutosha, yani kwa kifupi hakuna wanachojua ndo mana nkaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya hivi vitu! Nawasilisha wakuu.
 
Mkuu OPENBOX mpeg4 HD atakama ni mpeg2 ni mwisho wa matatizo
 
Enhee! Huo utamu wake ndio nataka niujue, maana hata mimi naskia ivo kuwa ni mwisho wa matatizo. Tafadhali naomba msaada juu ya uwezo wake kama vile ku unlock scrambled channels(sio lazima dstv). Ugonjwa wangu ni movie!
 
Mkuu inaonekana una utundu na hivi vitu, mimi nahitaji kununua mpeg4 hd ila sijajua kampuni gani na model gani ndiyo nzuri yenye uwezo wa kuifanyia mautundu. nataka niagize maana huku hazipo. nasubiri msaada wako ndugu.
 
Mkuu ina uwezo CCcam clien sehemu ya net kiujumula inauwezo mukubwa
 
Mkuu inaonekana una utundu na hivi vitu, mimi nahitaji kununua mpeg4 hd ila sijajua kampuni gani na model gani ndiyo nzuri yenye uwezo wa kuifanyia mautundu. nataka niagize maana huku hazipo. nasubiri msaada wako ndugu.

Unapatikana wapi

Jalibu Strong Mpeg4 HD au OPENBOX mpeg4 HD
 
Nashkuru sana mkuu kwa maelekezo yako, ni kweli hizi receiver mbili ulizotaja hata mimi naskia ni kali hasa. Mfano strong ambayo nimeambiwa na fundi mmoja kuwa ina uwezo wa kutumia kadi.vipi kuhusu bei na maduka kama ikiwezekana, hata kwa Dar maana mi niko Arusha. Yani nikipata na msaada huo ntashkuru sana na naamini tatizo langu juu ya hivi vitu ndo litakuwa baaaaasi!
 
waungwana naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya ubora wa hizi receiver za openbox mpeg4 hd. maana nliskia ziko poa na zinakubali mautundu ya kufungua scrambled channels! Naomba taarifa kutoka kwenu nisije nikaingia chaka maana nna mpango wa kuinunua!

Kama unao uwezo wa kununua bidhaa online ni far far better kutafuta receiver inayoitwa DreemBox, hizi box zinatumia Linux Operating System,
ingia hapa ili kusoma maelezo zaidi.
 
Nimeiona mkuu! Inauzwa(Pound) £146.18! Sijui ni madafu mangapi ya kibongo hapo! Na inatumwa ndani ya siku 3-5 kwa njia ya DHL! Ila process za malipo na kuagiza ndo nimeona nyota! Maana overseas biznes mi ni zuzu wa kutosha! Si ndo hii?
 
Attachments

  • DM500HD.jpg
    DM500HD.jpg
    2.9 KB · Views: 346
Nimeiona mkuu! Inauzwa(Pound) £146.18! Sijui ni madafu mangapi ya kibongo hapo! Na inatumwa ndani ya siku 3-5 kwa njia ya DHL! Ila process za malipo na kuagiza ndo nimeona nyota! Maana overseas biznes mi ni zuzu wa kutosha! Si ndo hii?
Wasiliana na huyu mtu renatus mwanisenga kwa wakati wako, nakiri kwamba simfahamu, ila niliwahi kuwasiliana naye kuhusiana na habari kama hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom