Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
Kikojozi una uhakika? usiwe sceptical sana Mdau mwenzangu na ukawa unaangalia kila kitu kwa kupitia kioo cha 2010,hili la wenzetu kutafuta ardhi kwa ajili ya kulisha watu wao litaendelea kuwepo hata baada ya 2010.Duniani binadamu tunaongezeka kwa kasi na wapo wanaohisi kuwa nchi zao kuna siku zitashindwa kulisha watu wao na matokeo yake ndo haya ya kutafuta ardhi kwingine. Hivi unajua kwa nini kenya,uganda,rwanda na burundi wanalilia ardhi iwe kwenye protocals za EAC? hata wasaudia,wakorea,wajapan etc kwa mtaji wa ardhi ya Tanzania given a chance si ajabu wangekuwa tayari kujiunga na jumuia! Its all about land and water resources na si ajabu vita kuu ya dunia ijayo ugomvi ukaanzia kwenye chakula na maji!Hiyo ardhi ndo itakayolipia kapelo, khanga, vitenge, t-shirts, pilau, maandazi, handset za bei poa na burudani ya kwaya/bendi 2010.
Kaazi kweli kweli.....