Open Letter to His Exclence JMK-Is it a Carrot and Stick Land Deal?

Your Excellence JMK
President of the United Republic of Tanzania
Dar Es Salaam, Tanzania.

Your Excellence Mr. President

Shalom, As-Salāmu `Alaykum

Re:Saudis Request For 500,000 Hectares: A Carrot and Stick Deal?
It is my humble gratitude to write you this open letter as I believe it is an effective way of reaching you.

I would also want to say ‘pole ya safari'.

Mr. President, the reason I am writing this open letter to you is to raise my concern regarding the potential leasing of our land for farming. On the face of it, it sounds to be a good deal for Tanzanian economy. But, my worry is basically on the amount and location of the land in question plus the "credibility" of the potential investors.

I am not attacking the personality of the potential investor but questioning the motives behind this matter as you may note that recently, we have seen Middle East ‘shakers and movers' visiting East Africa region looking for ‘potential investment opportunities'.

To derive my point home, are these Saudis, really interested in farming or they are using ‘back door' to gain access to our ‘potential oil reserves'? Why seek your audience after being told by TIC to wait? Naturally, Saudis are oil oriented investors and luxurious staff; therefore there is rebuttable presumption that ‘they are not serious investors in farming". Are we going to audit them before give such vast land for their investment? Moreover it is a 99 years? Past corruption acts during the signing such contacts have also raised my red flag too.

Mr. President, those potential investors were supposed to contact tic directly, why did they choose a "lobbying approach". It has been reported that TIC told them to wait for feasibility study of the project.

Mr. President, [the Citizen] Qatar plans to lease 40,000 hectares along Kenya's coast to grow fruit and vegetables for its own citizens in return for building a 2.4 billion (Sh3 trillion) port close to the Indian Ocean tourist island of Lamu. The plan has, however, met with stiff opposition from activists. This is a sign that wananchi also are tired with some of these deals as a reasonable person will not rush to commit himself/herself.

Mr. President, as it has been dubbed that this is a new ‘scramble' for East Africa. We should do our homework before rushing and lease our land. I am calling for a cautious approach as I am sure they (Saudis) had upper hand on you and you should note that always they bring a ‘carrot and stick".

I kindly remain to hear from you.

My country first,

God bless Tanzania.

Shadow. April 20, 2009


I condemn such leasing of the Tanzania Land with strongest possible terms.

What do we really expect to get out of this deal?
is it money? is it kindness of heart?
 
Naanza kuamini mtu mweusi ni laana. Genesis 9:12

Ulegevu angamizi wa kimawazo huu uambatanao na kujifunga magoli wenyewe unatafutwa na wengi miongoni mwa mabeberu mamboleo wakileo.

Kuona kwamba wanaweza kuweka mitego yao tukanasa wenyewe bila wao kutumia nguvu za ziada kunawafurahisha haiyumkiniki!

Mtu asiyeelewa historia, theolojia na sayansi tu ndiye anayeweza kukubali upumbavu huu wa ki-Aria, upumbavu ambao hata weupe wenye akili wameuonyesha kuwa unatokana na ugoigoi wa mawazo na uharaka wa inda iso bashasha wala ilmu.
 
Last edited:
Jamani Kwetu Morogoro tunataka wawekezaji waje. Maisha yalikuwa mazuri tu wakati mashamba makubwa yanafanya kazi.

Kwenu msikotaka wawezaji kataeni. Hile msije kwetu kutafuta malisho tu.
 
Who is JK?

Ingelifaa afe mapemaaa kabla ya balaa hili.

Eee Mungu hiki kiumbe(jk) ni kero kwetu,kifundishe adabu.
 
Mkuu huu unafaa ukawa mtiririko mzuri wa wa kusaidia kuona iwapo jambo hili litakuwa la manufaa kwetu au la.
Hizi post za kiubaguzi na kidini hazitusaidii katika kuangalia kipi cha faida kwetu. Nadhani na tuanzie na kutathmini Pros ana cos ya mkataba huu.

Kwa upande wangu naamini kabisa kua Wasaudi wana haja kweli ya mpunga na ngano kwani mtikishiko wa kupanda bei ya mafuta na kupunguwa uzalishaji wa mpunga kule far East kuliwapa wakati mgumu kwani ngano na mchele vilipanda kwa hali ya juu mbali ya subsidies za Serikali. Wanahisi uzalishaji ambao wao wataumiliki utawapa usalama kwa chakula chao.
Kuhusu kuwa na interest na mafuta kama ilivyodaiwa na baadhi yetu hilo halipo kwa Wasaudi kwani ni hivi karibuni tu waligunduwa visima nvengine vipya na Mfalme ameagiza visichimwe na badala yake viwekwe kwa vizazi vijavyo. Ama hili la direct contact kati ya Mfalme na Kikwete ndio utaratibu wao wa kufanya shughuli nchini Saudi Arabia. Kujaribu kufuata proper channels hutofanikiwa kitu chochote na lolote analoliamuwa Mfalme linakuwa ni la priority ya mwanzo kabisa. Tanzania tulikuwa tukijaribu kufanya mawasiliano ya kiserikali na Saudi Arabia kwa muda mrefu kwa kupitia channel za kawaida tulishindwa hadi pale tulipochukuwa njia wanayoiafiki wao.
Kuhusu fedha wanazo na wao si watu wanaopenda kufanya kazi, hivyo ajira ya mradi huu itakuwa kwa kiasi kikubwa kwetu wa Tanzania.
Hata hivyo bado tuna wajibu wa kuangalia kuwa mradi huo hauleti madhara makubwa kwetu na badala yake faida ziwe za kiwango kikubwa kwetu.

...Kumbe wao wanajua kutunza rasilimali zao kwa ajili ya Vizazi vyao vijavyo eh? kwa nini na sisi tusiwaambie hizo ekari zetu 500,000 hatuwezi kuwapa kwa sababu ni kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo?????
 
Last edited:
Zungu Pule,

Thank you for your response.

Zungu, the issue raised in my letter does not need any quantification as it is a simple math. You need 50 Saudis to aquire such urge land under the proposal from the President who happen to be the trustee of the wole land in Tanzania.

He has the power as a trustee to dispose that land even though the land belongs to the people. We have seen that these 'deals' are not for the best interest of the Tanzania( Past experience shows that).

That being said, we still hold the President accountable to make sure that he give first priority to the national interest. Take not that: Ardhi haiongezeki bali population uongezeka. Land is very sensitive and I suggest that land matters and teh policy thereto should be discussed by the wananchi through their representatives and not a single person as suggested by the Land Act (1998).

Laslty but not least, so far the deal does not show any sign of benefits to an ordinary Tanzania( past deals also indicated that refer Loliondo gate et al)

Shadow.

Hili ni tatizo jingine. Ina maana njia ya kuhakikishia vizazi vijavyo ardhi ni kwa kutoitumia sasa? Hata tusipowapa wageni kutumia hiyo ardhi, how can you guarantee that the land will be available to the future generation? This doesn't fit my mind. Whether tunawapa wageni ardhi au la, uhaba wa ardhi ni kitu kinachotarajiwa. So, only innovations will make us survive with little we will have. And this is why people came up with family control policies to limit population growth. And are you implying that we care more about future generations than ourselves?

Nimewahi kuhudhuria majadiliano kati ya wanakijiji na mwekezaji. You will be surprised! Na kama wananchi ndio wasikilizwe, basi tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiria. Yaani wawekezaji kutoka Saudi Arabia wakajadili na wananchi wa Ngarambe kule Rufiji. Then, watakachokubaliana ndio kauli ya wananchi. Demokrasia au sio?
 
Zungu Pule,

Thank you for your response.

Zungu, the issue raised in my letter does not need any quantification as it is a simple math. You need 50 Saudis to aquire such urge land under the proposal from the President who happen to be the trustee of the wole land in Tanzania.

He has the power as a trustee to dispose that land even though the land belongs to the people. We have seen that these 'deals' are not for the best interest of the Tanzania( Past experience shows that).

That being said, we still hold the President accountable to make sure that he give first priority to the national interest. Take not that: Ardhi haiongezeki bali population uongezeka. Land is very sensitive and I suggest that land matters and teh policy thereto should be discussed by the wananchi through their representatives and not a single person as suggested by the Land Act (1998).

Laslty but not least, so far the deal does not show any sign of benefits to an ordinary Tanzania( past deals also indicated that refer Loliondo gate et al)

Shadow.

The math is not simple. What I mean is the quantification of cost and benefits as a basis for decision making. And not how many Saudis will be required to take 500,000 hectares.

Again, I suggest you withdraw your letter. Unasema hawa waarabu hawana uzoefu wa kulima, hivyo hawastahili hii ardhi. Ni kama vile watapewa bure, eti? Hata kama hawajui kulima, they can easily hire people with the required expertise. By the way, unatarajia kuwaona waarabu wakiendesha matrekta kwenye mashamba watakayopewa (kama wakipewa)? They may have more agricultural expertise than we do. Are you sure they lack the required expertise? Even if they do, why should we (landowners) be concerned with that?
 
Shadow,

About the Loliondo Hunting Block, what was the most beneficial alternative land use other than hunting? What was the opportunity costs [benefits forgone] of that deal?
 
Jamani ukubwa huo wa hekari 500,000 mbona ni sawa na mkoa wote wa Iringa?. Watapewa sehemeu gani ya ardhi katika nchi?. Wasije wakapewa mbuga za wanyama na pia wasije wakasababisha wananchi wahamishwe kuwapisha wawekezaji hawa.

500,000 Hectares = 5,000 km square, thats a big chunk of land by any standardsJust putting things in perspective.

However Iringa is about 58,936 km square, more than ten times the area discussed.


Lets do the math,

Tanzania has 945 090 Km2, of these 6.2 % is water. This leaves land (discounting water) at 886494 km square currently cultivated land is 4 % of total land area, that is 37803 km squared, and arable land is 4.23% that is 39977 km squared, take 39977 km squared minus 37803 km squared and you will see we are left with only about 2174 km squared, we dont even have that 5,000 km squared to lease

If we lease these 5,000 sq km to the Saudis (0.5 of all land including water) we will need to

1. Invade 0.27% of arable land currently used by farmers/ villages (2826)
2. Invade the same amount of land from national parks and reserves.

I am not even projecting the need of future generations.

Point to be taken, Watanzania wenyewe tutakosa ardhi katika kipindi kifupi kijacho, sembuse ndoto za kukodisha 5,000 km2 square, thats the size of a small country, half the size of Gambia in fact!
 
The math is not simple. What I mean is the quantification of cost and benefits as a basis for decision making. And not how many Saudis will be required to take 500,000 hectares.

Again, I suggest you withdraw your letter. Unasema hawa waarabu hawana uzoefu wa kulima, hivyo hawastahili hii ardhi. Ni kama vile watapewa bure, eti? Hata kama hawajui kulima, they can easily hire people with the required expertise. By the way, unatarajia kuwaona waarabu wakiendesha matrekta kwenye mashamba watakayopewa (kama wakipewa)? They may have more agricultural expertise than we do. Are you sure they lack the required expertise? Even if they do, why should we (landowners) be concerned with that?

Zungu Pule,

Huwezi kujua nini kilichofichika behind this land deal. Jifunze kuanzia kwao huwezi kupata ardhi unless unafanya mradi wako chini ya msaudi.

Sera zetu za kukurupukia mambo zimetuingiza kwenye matatizo mengi. Leo hii tusingekuwa tunapambana na kina Mramba kortini.

Hili suala la ardhi, sisi kama watanzania ni 'trustees' wa kizazi kijacho cha kitanzania. Hatuwezi kufanya maamuzi ya kufunga vizazi vitatu ( miaka 99). Suala hili la kukimbilia kusema sheria inasema hivi au vile (Kama January Makamba) si sahihi. It is more than that.

JMK kisha kwambia mwekezaji mmoja kutoka Saudia anaweza kupewa ekari 10,000 sasa je ni suala la kuumiza kichwa kuhusu ekari laki tano hatawapa wasaudia wangapi? Mzee, it is a matter of technicalities.

Kuna haja ya hili suala tuwe na hapa hand. Hizi lease agreement ziwe za muda mfupi. Kama mtu analima mazao ya muda mfupi mfupi kwa nini tumpe miaka 99? kwa nini tusimpe miaka 5 kumwangalia kwanza kabla ya kumpa mitano mengine? Ebu angalia ufisadi uliofanywa na aliyekuwa rasi wa Cuba kwa kuigawa Guantanamo Bay kwa marekani kwa dola 2000 ya pango kwa muda usiokweisha( perpetual agreement) soma hapa:[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Guantanamo_Bay"]Guantánamo Bay - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]

Suala hapa si mwekezaji, rangi yake, dini yake, kama analima au alimi? Tunachotaka kulinda hapa ni haki ya Mtanzania. Utawachukulia watanzania kila kitu lakini siyo ardhi yao.

Zungu pule, hili suala ni tete sana, na haliwezi kuamuliwa kirahisi rahisi huko Umangani. Tukifungua hii milango hovyo hovyo ya kupangisha ardhi yetu bila ya kuwepo na sera imara ni sawa na kutengeneza bomu la atomiki kwani maangamizi yake uwa ni makuu.

My take: In this time of calamity, I believe God will provide an oasis of good leadership and hope.

Country First!

God Bless Tanzania
 
Mkuu Ngekewa heshima mbele mzee,

Nakubaliana na wewe kuhusu uchambuzi wa kina wa hii miradi ufanyike lakini naomba kutofautiana na wewe kuhusiana na hili suala la 'udini'. Nafikiri ukichambua kwa kina suala hili tumejaribu ku cast doubt kwenye suala zima na kujaribu kuangalia upande a pili wa shilingi ( side effect etc).

Shadow.

Heshima urudi kwa unnyenyekevu lakini soma post ya BUSWELU.
 
Shadow,
Mkuu wangu kwanza nimeona makosa fulani humu ndnani ambayo inabidi niya address..
1. Sielewi sababu iliyokufanya ukatumia maneno haya mawili kusalimia - Shalom (Jewish) na Asalam Alaykum (Kiarabu)
2. Unapouliza sababu si vizuri kutunga dhana inayofikiria wewe kwa mfano:- are these Saudis, really interested in farming or they are using ‘back door' to gain access to our ‘potential oil reserves'? .
Jibu likiwa -They are really interested in farming.. hakuna haja ya maelezo zaidi,
Mkuu, Shirika la mafuta Saudia - Aramco hawatafuti mafuta (exploration) wala hawachimbi mafuta nje ya nchi yao na hili shirika ni state owned company sio ya mtu binafsi... na mwisho sio kila Msaudia anafanya biashara za mafuta!
Kuhusiana na TIC, Ni rais Kikwete aliyewaalika waarabu from day one na wakafuata utaratibu kupitia TIC lakini mwenye last say ni rais mwenyewe..Hivyo, kukumbushia uwezekano wa kuwekeza ktk ardhi yetu bado ni jukumu la rais kuuza nchi kama ilivyo mbiu ya chama CCM...
Kila rais anapotembelea nchi za nje huonyesha sehemu ambazo zinaweza kuwekeshwa na hata kweka sahihi ya mkataba wa Makubaliano ya mabadilishano ya Kibiashara baina ya nchi hizo, lakini ikumbukwe tu sahihi hiyo sio mwisho wa kufuata taratibu zote za uwekezaji nchini isipokuwa ni green light kama vile Mwinyi alipotoa RUKSA na kuweka sahihi nyadhifa zinazohusiana na mfumo huo..Haikuwa na maana wananchi wanaweza kuingiza vitu kiholela bila kufuata taasisi au sheria zinazoambatana na uagizaji wa mali hizo.

3. Mkuu kama nilivyosema awali kutumia jina la saudia au Qatar kama sababu ya kujenga Upinzani ni makosa makubwa ktk kujenga madai kwa sababu barua nzima inaonyesha hofu yako na nchi za Kiarabu na sababu ulizoziweka hazina nguvu kabisa..Utanisamehe.
Kwa mtu yeyote mwenye kusoma barua hii atafahamu kwamba hofu yako ni waarabu kuingia nchini au nchi jirani lakini unashindwa kujieleza why not them, since other nations tayari wameisha wekesha nchini.

Huko Kenya kuna mashamba makubwa sana yenye hekari zaidi ya 40,000 ya kahawa, Miwa na chai OWNED (not leased) by white settlers na with nothing in return zaidi ya tax ya mapato - Hawakusema kitu.. leo Quatar inataka kuwajengea hata Bandari in exchange for leasing the land wanaona ni wizi mkubwa...Sioni logic kabisa ktk hili zaidi ya kushangaa kwamba Wakenya wengi wanaopinga uwekeshaji wa Quatar ni kutoka Western Kenya ambako kuna Wakristu na main supporter wa uwekeshaji wa Quatar ni kutoka East Coast ambako kuna Waislaam zaidi..

One might think, kutokana na mfumo wa serikali za majimbo, Yawezekana kabisa West regions wanaona wivu mkubwa kuona Eastside ambayo imekuwa ikiwachwa nje ya maendeleo ya Kenya kwa miaka mingi inaanza kupata Miundombinu ya kuinua uchumi wao... Lamu na Malindi ni miji mikongwe Kenya ambayo hadi leo imeachwa nyuma Kiimaendeleo kiasi kwamba miji mipya kusini mashariki ya Kenya inapanuka kila mwaka kutokana na kilimo na uwekezaji wa mashirika makubwa ya kilimo..

Mwisho mkuu wangu ni muhimu uje na altenative, kwa mfano badala ya kukodisha ardhi kwa wageni ni bora sana kutumia mfumo wa kualika mashirika makubwa ya Ukulima na Usambazaji badala ya wafanya biashara binafsi...Kwa mfano kama ni Mchele tunaweza waalika Tilda au President's Choice.. Ngano mashika kama Robin Hood na mengineyo, Kahawa na Chai yote haya yapo amshirika ambayo huwatumia wananchi kwa kuwapa mbegu nzuri, mbolea, dawa, kuazimisha zana na vifaa vya kilimo na mavuno, wataaalam wa ku control Quality na standards zinazotakiwa - bila wananchi kupoteza milki ya ardhi inayotumika - kisha wananchi huwauzia mashirika haya mavuno ambayo tayari mashirika haya yanalo soko nchi za nje.. bei wanayotoa mashirika haya ni nzuri kwa mkulima kuliko ile ya walanguzi au watu binafsi wanaotaka kuingia biashara hii.. Saudi na nchi zote za Kiarabu wanaweza kuwa wateja wetu kwa kupitia mashirika hayo kwani si vizuri kuifanya nchi yetu iwe ya Majaribio.

Hao Wasaudia wakijaribu kulima Mpunga au ngano na wasipoweza kuzalisha kama walivyokusudia.. Je, hiyo ardhi watairudisha au ndio wanaweza jenga hemaya yao nyingine kwa sababu watakuwa ktk mkataba wa miaka 99...
Na kibaya zaidi ni kwamba kama hawa waarabu watapewa ruksa ya kulima mchele au ngano nchini tukumbuke tu wataweza tumia madawa, mbegu au mbolea ambayo ina maradha kwa wananchi au ardhi yenyewe kwa sababu wanachotaka wao ni mazao kama wachimba dhahabu..Kuna tofauti kubwa sana ya utaalam wa kilimo ktk hifadhi na Envirorment, kati ya Mkulima mwenyewe na Mfanyabiashara kuwa mkulima shambani..
 
Huyu Muungwana kwa wakati huu yuko kwenye ELECTIONEERING mode kwahiyo maamuzi yake yote ni ya kupata fedha za uchaguzi; sasa ni juu yetu wananchi wenye mwamko kuwa macho na kupiga mayowe mara tunapoona harufu ya uvundo kama hii dili ya SAUDIA!! Hizo ekari anazotaka kuwapa hao waarabu ziko wapi? Ingefaa kama angeanzia kuwapa kijijini kwao Msoga tuone kama shangazi zake watakubali kuhamishwa!

Kwani kule Singida wale si Watanzania na hapo Kigamboni jee?
 
Tatizo letu hapa ni kuamini kitu at face value. Maadam mtu ataamuwakuleta pumba yoyote ile maadam inakandia Serikali au JK basi tutayasema yote.
Hivyo katika akili zetu unatupitikia kuwa watu wa pande zote mbili watakuwa wapumbavu wa kuingia mikataba kichwa kichwa? Kwa upande wetu tutajaribu kulinda ardhi yetu na kwa upande wa wenzetu watajaribu kulinda fedha zao. Hili suala la kusainiwa mikataba bila ya kufanya utafiti kwa kila upande linawangia akilini? Ndio tunaingia mikataba mibovu lakini tunafanya hivyo baada ya kupitia taratibu zilizowekwa ingawa tunazipindisha hapa na pale mara nyingi.
Sasa hili la kikwete kutia saini mkataba linatoka wapi? Jee mkataba huo aliusaini nani kwa niaba yake au alisaini mwenyewe. Kikawaida wakuu wa nchi hufunguwa milango ya majadiliano juu ya masuala mbalimbali na siamini kuwa JK alipokwenda huko alikuwa anajuwa kuwa Vilemba wanataka ardhi,kwani angejua angemchukuwa waziri wa Kilimo.

Kilichojiri huko bila shaka itakuwa ni scratch my back and I will scratch yours.Tunaweza vkushangaa kuwa pengine JK aliomba mengi kwa niaba ya Watanzania kwani kwa Vilemba kama kiongozi unataka kwa binafsi yako cha kufanya ni kumsifu Mfalme tu na utapewa zako. Ukiona suala la miradi linazungumzwa na Waarabu basi aliyezungumza alizungumza kwa niaba ya nchi.
Hatuwa inayofuata sasa ni kwa Waarau kuleta Wataalamu kustudy huo mradi wa ubia na kwa upande wa Tanzania tutawajibika kufuata taratibu zetu zinazohusiana na masuala kama haya.
 
Mkuu Bishanga,

Kwa nini tusilime wenyewe na kuwauzia chakula? Je, Inaingia akilini kweli kwamba wanataka kulima kwa ajili ya kulisha wananchi wao? Sound to be a shady deal, mzee. Kumbuka kwamba sasa hivi teknolojia pia inabadilika mafuta ya ethanol nayo yanaanza kuchukua mkondo. Hawa jamaa wanaangalia mbali zaidi . Miaka 99 hata 33 si mchezo kwa mwekezaji. Tunaongelea mpaka vizaizi 3.

I will sticky to my position. This deal sound to be shady period.


Well tuna ardhi hatuitumii kutunufaisha kutokana na sababu nyingi ikiwa uvivu ni kubwa yao. Sasa wanakuja watu kuzalisha na kutuachia sehemu yetu ubaya uko wapi? Sisi si wageni na hawa wawekezaji lakini ukweli ni kuwa hatuwezi kuwaepuka kutokana na uvivu wetu. Ni wazuri kukaa mijini kuendeleza Usanii na kuwaacha walio wengi wakiumia kwa kilimo cha jihadi na njaa. Kazi yetu kuuza maneno lakini walio vijijini hufurahia uwekezaji pale unapofanywa kwa uadilifu. Hivyo hivyo mradi huu kama tutakuwa waangalifu utaweza kuleta manufaa makubwa kwetu.
 
Zungu Pule,

Thank you for your response.

Zungu, the issue raised in my letter does not need any quantification as it is a simple math. You need 50 Saudis to aquire such urge land under the proposal from the President who happen to be the trustee of the wole land in Tanzania.

He has the power as a trustee to dispose that land even though the land belongs to the people. We have seen that these 'deals' are not for the best interest of the Tanzania( Past experience shows that).

That being said, we still hold the President accountable to make sure that he give first priority to the national interest. Take not that: Ardhi haiongezeki bali population uongezeka. Land is very sensitive and I suggest that land matters and teh policy thereto should be discussed by the wananchi through their representatives and not a single person as suggested by the Land Act (1998).

Laslty but not least, so far the deal does not show any sign of benefits to an ordinary Tanzania( past deals also indicated that refer Loliondo gate et al)

Shadow.

From what Zungu wrote I came into conclussion that he was challenging you to admit that regardless all that had happened to us through investments contracts, we still need them.
I support him on this because during the journey one to fall is a normal thing and it is normal as well to check the casue of the fall for the purpose of progressing.
Peoples' representation has a wide meaning and it reaches as high as presidential post, didn't we elected him among all others? But in this issue we blame without concrete evidence that President has already signed the deal. What we should do is to advise on the issue and not to heap blames for something that has not been channelled yet to proper channels.
 
Well tuna ardhi hatuitumii kutunufaisha kutokana na sababu nyingi ikiwa uvivu ni kubwa yao. Sasa wanakuja watu kuzalisha na kutuachia sehemu yetu ubaya uko wapi? Sisi si wageni na hawa wawekezaji lakini ukweli ni kuwa hatuwezi kuwaepuka kutokana na uvivu wetu. Ni wazuri kukaa mijini kuendeleza Usanii na kuwaacha walio wengi wakiumia kwa kilimo cha jihadi na njaa. Kazi yetu kuuza maneno lakini walio vijijini hufurahia uwekezaji pale unapofanywa kwa uadilifu. Hivyo hivyo mradi huu kama tutakuwa waangalifu utaweza kuleta manufaa makubwa kwetu.

...Nakubaliana nawewe kwa kiasi kikubwa. Tatizo kama wanavyoongelea wenzangu ni urefu wa mkataba na kiasi bei iliyotolewa. Kama ni miaka 99 kama wengi wanavyosuggest... hii ni noma. Kwao na sisi.

...Ipo siku yaja ndani ya miaka 99 mambo ya ardhi yaliyoikumba Zimbabwe yatatufika nasi. Hasira kutoka kwa wananchi au mmoja wa viongozi. Mambo ya kuuza ardhi yakiwa hivi, itatokea siku 'kichaa' mmoja anauza eneo walilomo na maeneo yanayozunguka eneo hilo kwa miaka mingine 99!!

...Kiongozi wa awamu hii akiuza kata, awamu ijayo atauza tarafa, anayefatia atauza wilaya..... mwingine eneo loooooooote wanaouziwa hawa wakezaji hivi sasa na mkoa wote!!
 
Mungu wangu, Mkapa alitufunga kwenye mikataba ya ajabu. Na huyu Kikwete kwenye mikataba ya ajabu zaidi....tena kwa Waarabu? JK anajua kweli historia? Waarabu?.....ama 'miafrika ndovyo tulivyo'!

Kaniki hebu nipe tofauti ya historia ya Waarabu na hao wengine aliotufunga nao Mkapa?
 
Ulegevu angamizi wa kimawazo huu uambatanao na kujifunga magoli wenyewe unatafutwa na wengi miongoni mwa mabeberu mamboleo wakileo.

Kuona kwamba wanaweza kuweka mitego yao tukanasa wenyewe bila wao kutumia nguvu za ziada kunawafurahisha haiyumkiniki!

Mtu asiyeelewa historia, theolojia na sayansi tu ndiye anayeweza kukubali upumbavu huu wa ki-Aria, upumbavu ambao hata weupe wenye akili wameuonyesha kuwa unatokana na ugoigoi wa mawazo na uharaka wa inda iso bashasha wala ilmu.

Cheap talk!!!!!
 
Back
Top Bottom