Oparesheni 255 yatikisa Ukumbi, Bwana Harusi amzawadia Bi Harusi Kadi na Bendera ya Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,812
218,469
Hii ndio Taarifa inayotamba ndani ya masaa 24 yanayoendelea hadi hivi sasa, kwamba Bwana Harusi Godlisten Mmbando, week end hii, ndani ya ukumbi wa Sherehe amemkabidhi Bi Harusi zawadi kabambe iliyowashangaza Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana.

Zawadi zilizotikisa Ukumbi wa Harusi hiyo na kuamsha Shangwe ni Kadi, Katiba na Bendera ya Chadema.

FB_IMG_1685450000407.jpg
FB_IMG_1685449994947.jpg
FB_IMG_1685449987290.jpg
 
Hii ndio Taarifa inayotamba ndani ya masaa 24 yanayoendelea hadi hivi sasa, kwamba Bwana Harusi Godlisten Mmbando, week end hii, ndani ya ukumbi wa Sherehe amemkabidhi Bi Harusi zawadi kabambe iliyowashangaza Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana.

Zawadi zilizotikisa Ukumbi wa Harusi hiyo na kuamsha Shangwe ni Kadi, Katiba na Bendera ya Chadema.

View attachment 2640391View attachment 2640392View attachment 2640393
Hajitambu huyu bwana harusi maana hapo anahalalisha bibi harusi kuwa asusa ya akina Tundu Lissu
 
Iyo zawadi tutembelee upepo huo huo wakuu,tuwachakaze na izo katiba,bendera ya chadema kabla hawajasanuka .

Life imekuwa tough
 
Sio lazima upewe makabati ,au vyombo

Hata kadi ya chama au ya yanga sc inatosha

Mmesikia dada zangu ?
 
Mwanamke:(hapa anawaza)Huyu fala wenzake wanatoa milioni mia tatu kama zawadi,yeye ananipa makaratasi,sijui ya nn haya ngoja nicheke kinafki ila kaniboa kishenzi.

Back
Top Bottom