Oparesheni 255 yarejea tena, huu hapa ni Mkutano wa CHADEMA Moshi Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,332
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema hivi, nanukuu "CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAA" mwisho wa kunukuu.

Kauli hii ya Nyerere ilimaanisha kwamba ili chama cha siasa kiwe imara kinapaswa kuwa karibu na wananchi kwa kuwepo miongoni mwao, yaani kuwe na mikutano ya hadhara mara kwa mara kwa lengo la kuwakumbusha wananchi kushiriki kwenye mambo yote muhimu ya maendeleo, ikiwemo kupigania haki zao, Chama cha siasa kinapaswa kufanya maandamano ya kupinga mambo yote machafu ndani ya nchi.

Angalia japo kwa macho yaliyojiri Moshi Mjini, Kata ya Mawenzi, kwenye viwanja vya Posta.

Screenshot_2024-03-26-19-16-11-1.png
Screenshot_2024-03-26-19-15-57-1.png
Screenshot_2024-03-26-19-15-46-1.png
Screenshot_2024-03-26-19-15-25-1.png
 
Ingelikuwa zamani kidogo TRA wangetumwa kesho yake baada ya Mkutano na kuanza kubambika vitu vyao.

Asante Bi Mkubwa kwa kuiheshimu Katiba.
 
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema hivi, nanukuu "CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAA" mwisho wa kunukuu.

Kauli hii ya Nyerere ilimaanisha kwamba ili chama cha siasa kiwe imara kinapaswa kuwa karibu na wananchi kwa kuwepo miongoni mwao, yaani kuwe na mikutano ya hadhara mara kwa mara kwa lengo la kuwakumbusha wananchi kushiriki kwenye mambo yote muhimu ya maendeleo, ikiwemo kupigania haki zao, Chama cha siasa kinapaswa kufanya maandamano ya kupinga mambo yote machafu ndani ya nchi.

Angalia japo kwa macho yaliyojiri Moshi Mjini, Kata ya Mawenzi, kwenye viwanja vya Posta.

View attachment 2945341View attachment 2945343View attachment 2945344View attachment 2945345
Utasikia wakisema ni Nyomi ya 2015
😂😂😂
 
Chadema inakubalika sana hapa nchini, na ndiyo tumaini la watanzania, tatizo ni ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.
Tume wenyewe wako safi tu hawana shida.....wamekosa nani wa kuwaongoza kwenye Uhuru.

They have family to feed not Public to impress
 
Back
Top Bottom