ampojoter4
Member
- Jul 19, 2015
- 12
- 4
Wadau naomba kufaham japo kwa uchache kuhusu uanzishwaji wa online tv ambayo labda kwa kuanzia itafanya kazi Dar es salaam tu! Nifaham kuhusu vibali vya TCRA, gharama za camera, mic na nyenzo nyingne!
Asanteni
Asanteni