Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyojidhania!

The Vienna Convention on the Law of Treaties (or VCLT) is a treaty concerning the international law on treaties between states. It was adopted on 22 May 1969 and opened for signature on 23 May 1969.The Convention entered into force on 27 January 1980. The VCLT has been ratified by 111 states as of November 2010.(source:http://en.wikipedia.org/wiki/Vienna_Convention_on_the_Law_of_Treaties):
Yes...Tanzania ratified the treaty too...and it does work retrospectively....not for Tanzania only but for all other countries which ratified it....

Mkuu...please usiwe MUONGO. Article 4 inasema ivi:
Article 4
Non-retroactivity of the present Convention
Without prejudice to the application of any rules set forth in the present Convention to which treaties would be subject under international law independently of the Convention, the Convention applies only to treaties which are concluded by States after the entry into force of the present Convention with regard to such States.

Sasa sijui hiyo retrospectivity yako umeitoa wapi? Ningependa kujua tu...
 
Mkuu...please usiwe MUONGO. Article 4 inasema ivi:
Article 4
Non-retroactivity of the present Convention
Without prejudice to the application of any rules set forth in the present Convention to which treaties would be subject under international law independently of the Convention, the Convention applies only to treaties which are concluded by States after the entry into force of the present Convention with regard to such States.

Sasa sijui hiyo retrospectivity yako umeitoa wapi? Ningependa kujua tu...

Mbona mnawahi sana jamani; waacheni waje kumalizia tuone kama historia inaweza kubadilishwa.
 
Kuhangaika na kutafuta sababu za kwa nini nchi hizi mbili ziliungana ni kupoteza muda. Kutafuta ushahidi wa nani alimshawishi mwenzake ni ujinga. Kutafuta hati ya muungano iko wapi keo ni upuuzi, hata vitabu vinavyohusu historia ya muungano vilikiletwa hapa bado hakuna la maana linalofanyika. Zaidi tutaonyeshana umahiri wa kuongea kiswakinge, nayo haina faida yoyote kwetu. Cha msingi kwa sasa, tayari tupo ndani ya ndoa ya muungano, je tutafute majibu ya kina, kwa nini wenzetu wanataka kujitenga sasa? Je ni athari gani wanayoiona sasa ambayo haikuwepo wakati ule tulipokuwa tunaungana? Je ukivunjika leo, una madhara gani kwetu? Nadhani hicho ndicho kitu kikubwa kinachoumiza watu hivi sasa. Ikiwa taifa kubwa kama Urusi lilisambaratika. Kuna maajabu gani kwa Zanzibar kujitenga? Historia ya muungano tunaisikia tangu enzi za utoto wetu, vitabu tumesoma sana, mahubiri ya kuutukuza na kuudumisha yamefanywa sana, nyimbo zimeimbwa nyingi. Wanaojua siri ya kuungana kwao na sababu zake Nyerere na Karume wote hawapo. Ni nani mwenye uwezo wa kuingia katika fikra zao leo? Hata aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar Okello historia inayofundishwa imefichwa, haijamtaja. Itakuwa undani kuhusu sababu za muungano? Leo kuna watu, tena jumuiya ya kidini inayoungwa mkono na wazanzibari wengi wanataka kujitenga. Kwa nini? Kama tunaupenda muungano tuanzie hapo kuchimbua na kutafuta sababu ya hawa jamaa kutaka kujitenga, tujiulize mbona wanataka sasa na isiwe wakati wa mwalimu?
 
Serikali ya mapinduzi Zanzibar itakuwa inawasindikiza wana wa UAMSHO kwa mlango wa nyuma. Huo ndiyo ukweli, mbele ya watanzania itasimama hadhara na kutangaza hawa wako sahihi, hawa wahuni. Lakini ukweli uko wazi, hakuna Mzanzibari hata mmoja anayetaka muungano, ukimsikia huyo ni mnafiki. Huo ndioyo ukweli, sisi tunajadili. Mwisho wa siku, wenzetu madai yao watayageuza kuwa vita vya jihadi. Kwa sababu ndani ya nafsi zao wanaamini kuwa wao ni kondoo waliochanganywa kwenye kundi la chui.
 
Mkuu...please usiwe MUONGO. Article 4 inasema ivi:
Article 4
Non-retroactivity of the present Convention
Without prejudice to the application of any rules set forth in the present Convention to which treaties would be subject under international law independently of the Convention, the Convention applies only to treaties which are concluded by States after the entry into force of the present Convention with regard to such States.

Sasa sijui hiyo retrospectivity yako umeitoa wapi? Ningependa kujua tu...

Read carefully and understand this: "While the Vienna Convention does not apply retrospectively to treaties entered into
before this time, it seems generally agreed that both these articles are codifications of the customary rules of international law that would be applicable in any event. The customary rules (as reflected in articles 31 and 32) will therefore apply to the interpretation of the provisions of the Berne Convention, the latest version of which (Paris, 1971) entered into force before January 1980.The same appears to be true of the TRIPS Agreement, as under article 3(2) of the Understanding on Dispute Settlement to which the TRIPS Agreement is subject, it is provided that dispute panels are to construe the TRIPS Agreement "in accordance with the customary rules of interpretation of public international law".


Refer to this carefully: http://www.copyright.com.au/assets/documents/CCS0202Berne.pdf and here:UNTC

The Tanganyika/Zanzibar union treaty is subject to international law on treaties...independent of the Vienna convention....


Btw...my post is based on opinions from the reference material (not me)...everybody is open to his/her own conclusion on the matter....based on the available references.....I will not further comment on the matter........
 
inaboa kuona kuna watu wanapost kitu kwa kuanza kwa kujifagilia kwa si biased,hawaufuati ukoloni mamboleo...halafu ghafla wanakuacha na fikra kibao..ni kuwa aliyepost hajui definition ya baadhi ya keywords..au deliberately anaamua danganya kila mtu..
 
inaboa kuona kuna watu wanapost kitu kwa kuanza kwa kujifagilia kwa si biased,hawaufuati ukoloni mamboleo...halafu ghafla wanakuacha na fikra kibao..ni kuwa aliyepost hajui definition ya baadhi ya keywords..au deliberately anaamua danganya kila mtu..huku akionyesha kuwa mfano hai zaidi kwa kile anachokipinga.The only difference kachagua kambi ingine
 
Utanisoma ile kesho, naomba nisi priempty somo la kesho.

Juzi uliahidi kuwa jana utatoa somo.Jana iliisha bila jipya kuonekana!Jana tena umejitapa hapa kuwa leo utaleta somo hilo la ratification.Unatudisappoint wanafunzi wako mwl Pasco!Anyways let's hope for the good may be finally you will come with a cake.
 
tusiwe watumwa wa USA tujiamini tunaweza tusimfuate huyu jk anajikomba komba kwa kuwa hajiamini katika uongozi wake
 
Although not with authorities at my fingertips, I know state is made up of four things as a general rule.

1. Sovereign (Free to make its own decision without interference from external world.

2. Having definite territory

3.Exercising control over such territory

4. And is recognized as such!

Now recognition is the acceptance by the international community that definite group of people with its leadership and

territory are having status of state and shall be so recognized. Recognition can be by law (de jure) i.e. Formal procdures

for recognition are followed or by fact (de facto) that the state is in fact existing and relations extended to it by other

states gives it full status of a state.

What is my point?? Suppose Zanzibar and Tanganyika did not conclude a valid union treaty. Lets say it is illegal and

illegitimate. Still for 46 yrs Tanzania has been recognized a state comprising territory of the then Tanganyika and

Zanzibar. It has a seat in UN, AU, SADC and EAC. That makes any claim from zanzibar devoid of substance. The only

way is to move the whole state to re-think of its constitution (how it is constituted) and not otherwise. Any move from

Zanzibar, a small part of union, without following accepted legal premisses amounts to treason!
 
Inashangaza sana kama aina ya wanaCDM tuliokuwa nao ni kama wewe Mzee Mwanakijiji . Sawa, hukupenda Lowassa awe mgombea kwa tiketi ya UKAWA, lakini viongozi wa UKAWA na wananchama wa UKAWA wengi wamemwamini. Wapo wachache hawajamwamini kama wewe!.

Pasco msaidie huyu mzee wako wa kijijini huko!

Tunaendelea kupambana hadi dakika ya mwisho! Angalia mbele wewe!
Kumbe wengi wenu ndio mnashitukia hili sasa?!. wenzenu tulishtuka zamani na tukalisema hili wazi humu humu!.

Tafuta muda, pitia hizi nyuzi!.

[h=3]Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyo jifikiria![/h][h=3]Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either[/h][h=3]Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani?, [/h][h=3]Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyo jifikiria![/h][h=3]Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either[/h][h=3]Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetan[/h][h=3]CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! [/h]Pasco
 
Wanabodi,

Ukoloni mbaya kabisa kuliko hata ukoloni wenyewe, ni ukoloni wa fikra!. Ukoloni huu, ni ule wa kufikiri na kuamini kila kisemachwo na Wamarekani ndicho sahihi!. Watanzania wenzetu ambao mnajidhania kuwa ni wazalendo wa kweli wa nchi hii, lakini mnawaaminia sana Wamarekani kila wasemacho wao ndio right, mnijue bado mnaishi kwenye ukoloni wa ki fikra na you are not better than "American Puppets"!.

Nimeyasema haya kufuatia baadhi ya wenzetu kuwaaminia sana Wamarekani na kuwa kila kinachosemwa na Wamarekani kwao ndio uthibitisho wa ukweli wao!. Hali hii ya kuwaaminia Wamarekani kuliko hata vyombo vyetu wenyewe, iliwahi kujitokeza huko nyuma, pale Wamarekani walipodai, Rais Jakaya Kikwete, alihongwa suti na tajiri fulani, na uwongo mwingine mwingi, ikiwemo kuhongwa pesa za kampeni na kuitumia hoteli fulani jijini kwa mapumziko mafupi "short time"!.

Japo Ikulu, iliukanusha vikali uwongo huo, lakini kuna wenzetu wengi tuu ambao wanajiaminisha wao ni wazalendo zaidi wa taifa hili, bado wanaamini ukweli ni ule waliosema Wamarekani na uwongo ni lile kanusho la Ikulu!. Hawa ni puppets!. Hivi sasa kuna mjadala mkubwa kuhusu Wanzanzibari kujitoa katika muungano, ndani ya mjadala huo, mimi nimesema mahali, "Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar, uliridhiwa (ratified), na upande mmoja tuu wa muungano, upande wa Tanganyika, lakini kwa Zanzibar, haukuwa ridhiwa!".

Tena nikasema kuridhia (ratification), ni process na hufanywa kwa maandishi (in writings) na sio kwa kauli!. Nikasisitiza, msingi wa muungano ni kauli za Nyerere na Karume, lakini kauli hizo, haziwezi kusimama bila maandishi!, ndipo zikaandaliwa "Articles of Union" aizombalo ndilo andishi au msahafu wa muungano!. Baada ya Articles hizo za muungano kusainiwa, sheria za "international treaties", zisisitiza, lazima ziwe "ratified" kwenye nchi husika ili zipate uhalali wa kisheria (legitimacy). Articles zile kwa Tanganyika, zilipitia "ratification process yote ili kuziridhia, na ziliridhiwa kwa maandishi na kutangazwa kwenye GN!. Kwa upande wa Zanzibar, hakuna kilichofanyika zaidi ya kauli ya Karume kuwa BLM limeridhia!. Ratification haifanyiki kwa kauli bali kwa maandishi!. Nikasisitiza, hakuna maandiko yoyote popote yanayothibitisha kuwa muungano ulikuwa ratified Zanzibar!.

Mwana jf mwenzetu leo amekuja na maandiko ya Wamarekani eti huo ndio uthibitisho muungano uliridhiwa Zanzibar!. Kama mtu anaambiwa "ratification ni nini" na hufanyika kwa maandishi na kuelezwa kuwa hakuna any ratification process iliyofanyika Zanzibar, lakini analazimisha kwa kuwaaminia Wamarekani, jee,huu ndio ule ukoloni wa kifkra aliousema mwalimu Nyerere?.

Jee wewe mwana jf mwenzangu, unawaaminia zaidi Wamarekani na kila wasemacho, au angalau unauminia ukweli halisi ambao ndio ukweli wa mambo!.

"Seek the Truth, and the Truth Set You Free"!.

"Emancipate Yourself From Mental Slavery"-Bob Marley!.

Angalizo: "Great Minds" don't discuss people!, hiyo ni kazi ya "Simple Mind" hii thread, hatu discuss watu, tuna discuss idea ya wenzetu humu kuwa puppets chini ya mental slavery ya kuwaaminia sana Wamarekani!, hivyo nawaombeni sana tusianze kutaja taja majina nani ni puppet na nani sio!. Jadili tuu kama unawaamini Wamarekani kuliko tunavyojiamini wenyewe!

Natanguliza shukrani.

Pasco.
Leo tunapo adhimisha miaka 60 ya huu muungano wetu adhimu, nafanya tafakuri, niliwahi kuandika nini humu kuhusu muungano wetu.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya muungano wetu adhimu.
Ujumbe wangu ni muungano wetu adhimu udumu milele, na sasa ni muda muafaka tuachane na huu muungano wa kimaghumashi, wa union na federation, sasa twende kwenye muungano wa kweli wa union wa nchi moja, serikali moja, na rais mmoja!.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Tusaidie
P
 
Back
Top Bottom