Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #101
Bobuk, kwa vile muungano ni Tanganyika na Zanzibar, ratification ni Tanganyika na Zanzibar. Ratification ilifanyika Tanganyika tuu na Zanzibar ilisemwa tuu kuwa imefanyika, lakini in actual haikufanyika!. Hao majasusi wa Marekani CIA, ile kusikia tuu ratification imefanyika, wao ni mbio wakapeleka maumbea kwao kuwa ratification imefanyika na ndio wenzetu wanawaaminia sana hao wamarekani, na wewe unaweza kuwa uu mmoja wao, leo namaliza kazi!.Hivi wewe serikali ya USA na Serikali ya TZ vikatolea tamko jambo fulani utaamini tamko ya serikali gani? Be sincere. Kama USA ndiyo ilishinikiza na kusimamia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa nini tusiamini amneno yao kwamba Muungano ulikuwa ratified Zanzibar.
BTW, hivi SMZ inasemaje? sio maneno yako? Tunataka SMZ isema kama Muungano ulikuwa ratified ZNZ au hapana. Kama watakaa kimya as expected tutawaamini Wamarekani.
Pamoja na chuki zako dhidi ya USA lakini USA hawana longolongo kama sisi (Watanzania)!
On the other way, sina chuku na Marekani, nimeishi huko, wife wangu na sehemu ya familia yangu ni residents huko, kila mara nakwenda huko hivyo sina chuki!.
Sipendi kitendo cha wazalendo wenzetu kuwaaminia sana mabeberu hawa kuwa wanachosema wao ndicho!. Hili la ratification nimelitaja mimi humu, hata sijauluzwa ukweli wangu ni upi, nineitwa muongo na mzushi na kushushiwa uthibitisho wa ma CIA wa Marekani waliokuwepo Zanzibar ambao walithibitisha ratification ilifanyika!.
Lengo la thread hii ni kuwatolea angalizo hao wategenea CIA wasije kuwa ni puppets wa Wamarekani dhidi ya nchi yao!.
Muungano wowote ni jambo jema japo una matatizo. Kama zilivyo ndoa, ikiingia kwenye migogoro juhudi za kwanza ni kujaribu kuutatua mgogoro ili ndoa hiyo idumu. Ukiona mtu anashadidia kuivunja ndoa badala ya kuinusuru, juilize malengo yake ni nini ndoa ikishavunjika!.
Hivyo ndivyo ulivyo sasa kwa muungano, jee ndoa hii imeishafikia stage ya "irreperable demage" beyond controll ambayo ni lazima ndoa hii sasa ivunjike? au ni kazi ya puppets tuu kutaka ivunjike kwa manufaa ya hao wanaowafanyia huo u- puppet?!.