Online Puppets: Kumbe Tunao "Puppets" Wengi Kuliko Tunavyojidhania!

Another government puppet@ work!

Huu ndio uzalendo unaoimbwa na CCM na Watawala??

Kusema uongo kwa kuwa tu ni Mtanzania!!??

Historia ya nchi hii imefichwa sana tutaitafuta popote vivyo hivyo maovu ya viongozi tutayatafuta popote!

I always fall short of words when I read article from Tanzania's pawnbroker journalists!

Tumelaaniwa!
 
Pasco, bila Zanzibar kuridhia muungano kwa maandishi Umoja wa mataifa ungeweka bayana ili Zanzibar ipate kiti pale. Kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muungano ni halali kimataifa.
 
@ pasco
Kabla sijasahau maadam kuna wengine waliokita mwana sheria na kama Ni kweli basi najua utakuwa umekutana na kitu kinaitwa Pacta sunt servanda, utagundua kwamba ratification inategemea taifa na taifa na mikataba yote huwa inafanywa kwa good faith ! Soma link hii hapa chini
Incorporation of international law - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mimi hapa naona ishu si muungano uliundwaje, sijui ratification, suala ni kwamba zanz wanataka nchi yao, na kama big potatoes hawataki basi kuwe na makubaliano mengine ystakayo hudidha wananchi wote. Habari za hisyoria tuziache.
 
Kuna sheria inasema wapenzi wawili wakikaa nyumba moja kwa muda fulani (miezi sita), wanatambulika kuwa ni wanandoa. Kwenye sheria za kimataifa ukisoma utakuta hiyo provision/exception. Sasa hivi kama Zanzibar wanataka kujitoa, waseme tu hawahutaki Muungano lakini sio kusema Muungano sio halali. Umeshawahi kuona ndoa watu wanaishi miaka zaidi ya arobaini, wanahudhuria shughuli mbalimbali za kijamii pamoja n.k halafu ghafla mmoja wao anasema kuwa hiyo ndoa haikuwa halali! huyo hataonekana amepungukiwa!!! Swala siyo uhalali, swala ni utayari...
 
ritz, Ni kweli Pasco ametoa angalizo juu ya kutotaja mtu bali ijadiliwe mada, lakini kwa yeyote ambaye anajua ulipoanzia huu uzi, direct atakuwa kashapata jibu kuwa hata yeye Pasco kashamtaja mtu tayari. Huu mjadala haujaanzia hapa, kuna sehemu ambapo ulianzia na Pasco kaamua kuuleta huku kivingine ndo maana kuna mchangiaji mmoja hapo juu anaitwa FJM ameandika ''kwa nini tuamini unayosema wewe na sio hayo yaliyosemwa na 'mwana JF' ambaye wewe unampinga? Lakini pia unaweza kuweka wazi uzi unaopinga badala ya ku-assume kila mtu yuko kichwani mwako?''. Ni vyema Pasco akaweka huo uzi ili watu wajue ni kitu gani huyo anayeitwa pupppet amezungumza na kama ni kweli anastahili kuitwa hivyo au kaonewa kuitwa hivyo. kwa mtazamo wangu jamaa siyo puppet bali wametofautiana tu msimamo na Pasco, pia sio lazima lile unaloona wewe ni sahihi mwenzio nae alichukulie hivyo hivyo.
major buyoya, Pasco anatuhimiza na kubaliana naye kabisa kwamba hatujadili mtu ila hoja, lakini wakati huo huo analeta post inayohusu 'puppets JF'! Nimepitia thread moja ya Mwanakijiji, interestingly, nimekuta Pasco ka-post hii hoja yake huko. Nadhani nyongo ya Pasco imetubuka baada ya Mwanakijiji kuweka document alizopata toka CIA zikionesha kuwa BLM "waliridhia' muungano.

Sasa, ningetegemea Pasco alete document zake zinazonesha otherwise, badala ya kutupa 'personal view' zake. Kwa sababu kama issue ni ku-play down docs za CIA tunafanya hivyo kwa kutumia nyenzo gani, uwezo wa kufikiri wa Pasco?
 
Mimi hapa naona ishu si muungano uliundwaje, sijui ratification, suala ni kwamba zanz wanataka nchi yao, na kama big potatoes hawataki basi kuwe na makubaliano mengine ystakayo hudidha wananchi wote. Habari za hisyoria tuziache.

Remmy ndoa si ndoano kama wanzibar hawautambui au hawautaki muungano Ni simple sana kutoka!

Step 1
Walipinge au walikatae baraza la mapinduzi na kiongozi Wa baraza Hilo maana Ni yeye aliye waingiza kwenye choo cha kike!

Step 2

Waiondoe SMZ kwa mtutu, kura au SMZ ijiudhuru yenyewe na kuitishwa uchaguzi mwingine

Step 3

Wafanye marekibisho ya katika kutamka kwamba muungano Ni batili na hautambuki kwa sababu ifanywa na baraza la mapinduzi

Step 4

Hayo yote ya juu hayawahusu tanganyika na sioni Ni kwa vipi tanganyika inskuwa na kidomodomo kea pili isiyo wahusu'

Hayo yakifanukiwa basi muungano waweza kujadiliwa upya uwepo au la
 
Kujadili muungano kwa sasa maana yake Ni kujadili uhalali Wa baraza la mapinduzi ambalo bado lipo hai, Lina kiongozi wake , linalindwa na kurambuliwa kwa yote lililoyafanya jana, Leo hata siku za usoni
 
Simple is fulani puppet wa wamarekani kaja na vikabrasha kuhalalisha muungano, na wewe Pasco puppet wa UAMSHO umekuja kutushawishi bila kithibitisho kuwa hakukuwa na any ratification huko Zanzibar.

Sasa na wewe PUPPET wa UAMSHO basi tuletee hata voice record ya wajumbe wa MBZ wa wakati huko wakithibitisha kutokuwepo na kupinga hiyo ya PUPPET wa Marekani. Member wa MBZ wa wakati huo ambao najua mpaka sasa wako hai ni Nassoro Moyo na Aboud Jumbe, kawahoji utuletee maongezi yenu ya kukanusha.
 
Tanganyika ilipatana na baraza la mapinduzi na viongozi wake. Tanganyika bado inatambua uhalali ears BLM na watu Wa Zanzibar pia wanalutambua BLM sasa ya nini kujadili kuvuja muungano au ndoa na mtu ambayo hukufunga naye ndio hiyo?
 
Hoja yenyewe sikubaliani nayo kwani anachokisema kiko relative,naweza nikaamini mmarekani kuliko mbongo kwa vigezo vya mada yenyewe na kuupima ukweli,na pia naweza pia kumuamini Mtz kwa mantiki hiyo hiyo.

Kwa hiyo sio kila linalokanushwa hapa kwetu lina ukweli kwa mkanushaji,yapo mengi yalikanushwa mwanzo ukweli ulipojulikana watu wakakaa kimya.
Kumbuka kuwa puppet wapo pande zote na ukweli pia upo pande zote ndo maana tunahitaji jicho la tatu kupata hitimisho.
 
Ukisema ni u puppet kuamini kuwa Rais alihongwa suti na fedha ya kampeni eti tu kwa kuwa Ikulu imekanusha na sisi tutakuita wewe Puppet wa Ikulu. Tumeona makanusho kibao ya Ikulu ya kukurupuka na kuongeza utata badala ya kuondoa. Kwangu mimi bora kuwa Puppet wa wazungu ambao akili na maendeleo yao yako wazi kuliko hawa weusi wenzetu ambao uwezo wao wa kuongoza na kufikiri unatia shaka. But njia nzuri hapa duniani ni kuwa mwenyewe na simamia unachokiamini bila kufuata mkumbo eti kwa kuwa Ikulu au Wazungu wamesema
 
Kwa hiyo wewe Pasco watu wakitofautiana na wewe kwa misingi ya kuwa na facts kuhusu topic ambazo pengine wewe huzijui au umeshindwa kuzitafuta for one reason or the other watu hao wanakuwa PUPPETS, MENTAL SLAVES?!
Sikubaliani na wewe kwa hilo; usiwe mvivu wa kusoma na kuanza kuvurumisha kebehi; kaza buti ARGUE dont SHOUT, wakinzani wako wakiona una facts solid watakubaliana na wewe; usipende wakinzani wako wafe ili wewe ushinde hoja.
sababu ya yote haya ni UAMSHO, hadi JF tunaambiwa kuna puppets,
hivi nikitoa documents from somewhere na kuiweka hapa mimi nitaitwa puppet wa JF?
aisee LET THEM GO...

 
Tunateswa na historia yetu, mara nyingi viongozi wetu wamesema uongo na mara nyingi wazungu na wamarekani wamesema ukweli japo kwa mambo ambayo viongozi wetu ndo walipaswa kutuambia a to z; ndo maana leo hii benefit of doubt tunawapa wao. Unakumbuka fedha za RADA, Ndege ya Rais etc;

Wakati mwingine wanaamua kusema kama ambavyo viongozi wetu wanataka wasema lakini ukweli wanaujua, na wakiamua kusema inakuwa kweli. Kwenye madini viongozi wetu wanatidanganya, nao kama wawekezaji inabidi wasema mwenyezi ambavyo anataka.
 
Mimi nadhani muungano sio amri ya mungu, wazanzibar wanaweza kutoka bila kutoa sababu kwa mtanganyika. kitu kinaitwa withdrawn consent.

Cha msingi ni kuangalia sheria za kimataifa, je umbali kilipo kisiwa cha unguja na then from unguja to pemba unaruhusu zanzibar kutokuwa sehemu ya tanganyika??? kama hairuhusu tuwakamate kwa nguvu zote za kijeshi, kama inaruhusu waachwe wasepe.
 
Pasco,
Ulikuwa umeanza kunikonga mpaka pale uliposema Kikwete kununuliwa suti ni uwongo. Mbona hilo mimi nimelifahamu siku nyingi kabla hata ya Wikileaks kulitaja? Top management wote pale Kempiski wanalijua hilo na wala si siri.
Mkuu.....Pasco ametoa angalizo tusijadili suti wala muungano....tujadili tu kama tunawaamini wamerekani kuliko tunavyojiamini wenyewe
 
majorbuyoya, Pasco anatuhimiza na kubaliana naye kabisa kwamba hatujadili mtu ila hoja, lakini wakati huo huo analeta post inayohusu 'puppets JF'! Nimepitia thread moja ya Mwanakijiji, interestingly, nimekuta Pasco ka-post hii hoja yake huko. Nadhani nyongo ya Pasco imetubuka baada ya Mwanakijiji kuweka document alizopata toka CIA zikionesha kuwa BLM "waliridhia' muungano. Sasa, ningetegemea Pasco alete document zake zinazonesha otherwise, badala ya kutupa 'personal view' zake. Kwa sababu kama issue ni ku-play down docs za CIA tunafanya hivyo kwa kutumia nyenzo gani, uwezo wa kufikiri wa Pasco?
FJM, nadhani Pasco aliamua kuuleta huu uzi huku ili apate uungwaji mkono na watu ambao hawajapata muda wa kupitia ile thread ya Mwanakijiji inayosema: ''Kinyume na Ulaghai: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliridhiwa na chombo halali cha Zanzibar!'' ambayo ndio chanzo cha Pasco kumuona Mwanakijiji kuwa ni puppet baada ya kumbana kwa documents za CIA. Kama mtu unataka ujue nani anayeongelewa hapa kama puppet nenda kwenye huo uzi wa Mwanakijiji. Pia sijaona ulazima wa Pasco kuja kuanzisha huu mjadala mpya wakati kule angeweza kuongelea tu hivi vitu.
 
Back
Top Bottom