Ongezeko la Posho za Wabunge ni Wizi na Dhulma dhidi ya Wafanyakazi

inatia uchungu sana!na bado miaka minne ndio uchaguzi mwingine
muendelee kukichagua chama twawala
 
Hakuna "balance" kati ya wema na uovu na hakuna neutrality kati ya ubovu na uzuri. Kuogopa kuchukua upande kwa kisingizo cha uandishi ni sawasawa na kumtaka mwandishi akifika mahali anaona mwanamke anabakwa basi achukue kalamu na kuandika vizuri ili aweze kuripoti bila kuonekana anapendelea upande wowote (kati ya anaebakwa na anayebakwa). Ni sawa na kumtaka mwandishi wa aina hiyo ajivunie kusema kuwa "nilishuhudia msichana anabakwa na kwa kweli nilikuwa neutral!"

Kwenye ufisadi na utawala mbovu mtu anaitwa kuchukua upande. Mwandishi asiye na upande kwa sababu hataki kuudhi upande mmoja au kuonekana anapenda upande fulani basi amechukua nafasi ya udhaifu. Remember - neutrality is always a position of weakness. I for one ninao upande. Wengine wanaweza wasiwe na upande au wasitake kuwa wazi juu ya upande wao. Wengine wanafikiria kulaumu CDM na CCM sawasawa basi ndio balance! Well it is not.

Sasa mnawauliza "wapiganaji" ili wafanye nini? Well wangeuliza basi ingewaridhisha? Ni sawasawa na wengine waliotaka CDM wapinge mswada Bungeni kuwa angalau wanaonekane wamepinga. Ukweli ni kuwa jukumu la posho, utawala bora na usimamizi wa sheria linaangukia CCM na serikali yake peke yake. CDM hawana mteule hata mmoja, hajawatunga sheria hata moja, hawana Rais, hawana WAaziri Mkuu, watendaji wote tunaowaona wameteuliwa na viongozi wa CCM na wanasimamiwa na viongozi wa CCM. Sasa kuwauliza CDM wamefanya nini inasaidia nini? Tunatakiwa kuwabana walioko madarakani na katika hili ni CCM.

Watu watazunguka lakini ukweli utabakia pale pale - CCM ndio wanawajibika na kashaf hii - Spika wao, Naibu wa Spika wao, Rais wao, Waziri Mkuu wao, wana wingi mkuu (absolute majority) Bungeni na hawahitaji hata ushauri wa CDM kupitisha jambo lolote. They are soley responsible of what is happening in the country right now. Kuwaangalia CDM ni kupoteza muda unless tungewapa wao madaraka ndio tungeanza kuwabana.

"Remember - neutrality is always a position of weakness"-HILI NI NENO LA LEO KWANGU
TUNAOMBA MSIMAMO WA VITENDO WA WABUNGE WANAOPINGA HII KITU UNLESS NI LONGOLONGO WATAENDELEA KUTUKAMUA
 
Shukrani kwa majibu yako sitasema mengi ila nimeelewa nia na dhamira ya makala yako na kwa ufupi ujumbe umefika na ni matumaini yangu wahusika wataufanyia kazi.

Lakini awali ya yote itakuwa ni jambo la busara kama cdm watatoa tamko juu ya hili jambo wakikaa kimya ni dalili kuwa wamelikubali. Nina amini cdm hujipambanua na vyama vingine na kunadi sera sizizo kandamizi kwa mantiki hii ni wajubu wao kuweka msimamo kuhusu suala la posho na kuangalia uwezekano wa kwenye mapendkezo ya katiba kuwekwe kipengele cha kuliwezesha bunge liwe la kikabwela ili watakaoingia kule wawe na dhamira ya kuwatumikia wananchi tu na sio kuchuma!

Go futher mr ushauri wako kama mwandishi kwa cdm unamanufaa zaidi umesha wasema ccm walivyo hodhi mamlaka ni wajibu wako kuwashauri cdm wajipange vipi ili kuweza kulikabili tatizo husika.
 
Bungeni imekuwa ni baishara nyingine. Rais si kasema kama katiba itawekwa kipengele kwamba mawaziri wasiwe wabunge, basi watu wataacha kugombea ubunge?
Uzalendo ulikwisha siku nyingi. Siku hizi tuko ki maslahi zaidi.
 
Dah Lema nakukubali Mbunge wangu wa kweli uko juu kwa *mawazo,misimamo na upeo unaotuamsha watanzania na mafunzo utupayo.
Big up sana Kiongozi, tuko sambamba nawe daima milele.......
Peoples' Power..............
 
tanzania ya leo kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, pole eee mkulima na mfanyakazi ni nani atakutetea? bunge lako tukufu ndiyo kwanza limeamua kukufukia kabisa.
 
nawashangaa pale wanaposema .. wana michango ya kuchangia... yanifanya nijiulize "hivi kuna mtu alilazimishwa kuwa mbunge" ..?? kama mbunge anaona posho ni ndogo basi asigombee next time.. awaachie wazalendo "kina zito & J.makamba type"

mi ni CCM lakini limenikera kweli hili...
 
mwanakijjii makala yako inawauliza wanaccm na rais wao mie ningependa niwaulize makamanda je katika kikao cha ikulu waligusia kusikitishwa kwao na ongezeko hilo au waliuchuna? Mara nyingi nemekuwa nikisoma makala zako naona zinaegemea upande mmoja bila kuangania upande wapi nao wanamsukumo gani katika tatizo husika. Huwa nafurahi kusoma makala za maggid mjengwa jamaa huwa anasimamia ukweli yaani yupo balanced sana.

Kwa sasa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru tumekuwa na uhaba wa waandishi wa namna ya Maggid Mjengwa wengi wa waandishi ni "maslahi" wanaotetea makundi yanayowashibisha au yenye manufaa nao. Waandishi lazima wajue umuhimu wao wa kupasha habari jamii/hadhira na adhari zake pamoja na faidi katika maendeleo ya jamii kwa ujumla.
Haihitaji degree kujua kuwa makamanda walienda ikulu kwa shuhuli moja maalum na sio posho.
Kuhusu msimamo wa chama juu ya hili Mh. Zitto Zuberi Kabwe ameshanena, follow him on twitter.
 
..Lakini awali ya yote itakuwa ni jambo la busara kama cdm watatoa tamko juu ya hili jambo wakikaa kimya ni dalili kuwa wamelikubali. ..
Kama umemsoma vizuri MM, haitoshi kwa wabunge (including wale wa cdm) kutoa matamko ya kupinga tu au kukataa. Wanao wajibu na haki ya kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kurekebisha hali hiyo.
 
Go futher mr ushauri wako kama mwandishi kwa cdm unamanufaa zaidi umesha wasema ccm walivyo hodhi mamlaka ni wajibu wako kuwashauri cdm wajipange vipi ili kuweza kulikabili tatizo husika.

Shossi ushauri wangu kwa CDM is irrelevant and inconsequential. Fikiria nasema CDM wapinge posho hizi then what? au nasema CDM wapitishe sheria ya kupunguza posho, really? Labda we uniambie unafikiri niwashauri nini ambacho kitawafanya CCM wabadili au serikali ibadilike?
 
kwa kweli kwa hili posho ni shaka na wabunge wote unless aje mmoja ambaye atagomea kabisa hili ongezeko sihitaji longolongo ooh zijui zipite mfuko wa mbunge mara zitumikaje aahh hapa swala no posho tu
Kwenye suala hili wabunge wote wako "neutrality" si wa CCM wala CHADEMA na hapo ndio unaona true colours za wanasiasa
 
Back
Top Bottom