Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Dah! kazi kweli kweli! mwanafunzi wa chuo anamzidi babake kipato! makubwa hapa, baba anafanya kazi ya usafi kwenye wizara fulani, anapokea kima cha chini, mtoto yupo chuo kikuu anapokea 7,500 kwa siku, hapo kutakuwa na heshima nyumbani! bora kuhama tanzani. plz kuanzia sasa nakana uraia wangu, naamia rwanda kwa muda wa miaka 4 then ntarejea.