Ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

Dah! kazi kweli kweli! mwanafunzi wa chuo anamzidi babake kipato! makubwa hapa, baba anafanya kazi ya usafi kwenye wizara fulani, anapokea kima cha chini, mtoto yupo chuo kikuu anapokea 7,500 kwa siku, hapo kutakuwa na heshima nyumbani! bora kuhama tanzani. plz kuanzia sasa nakana uraia wangu, naamia rwanda kwa muda wa miaka 4 then ntarejea.
 
Pole sana kwa mtazamo hasi uliokuwa nao juu ya watumishi wa serikali ambao nao wanalia njaa,hebu jaribu kufikiri ina maana hao watumishi uliowaita wezi,waomba rushwa n.k hawana mema wanayofanya??usipende kuzungumza kwa ujumla,wezi wapo na wala rushwa wapo lakini sio wote,na sidhani kama wangekuwa wote wezi kungekuwa na malalamiko.

Labda tusaidie waliowezi ni kiasi gani na wasio wezi ni kiasi gani? na nini kilio cha watanzania siku zote.
 
Pole sana kwa mtazamo hasi uliokuwa nao juu ya watumishi wa serikali ambao nao wanalia njaa,hebu jaribu kufikiri ina maana hao watumishi uliowaita wezi,waomba rushwa n.k hawana mema wanayofanya??usipende kuzungumza kwa ujumla,wezi wapo na wala rushwa wapo lakini sio wote,na sidhani kama wangekuwa wote wezi kungekuwa na malalamiko.
Mwelekeze huyo mkuu ajue nini maana ya reasoning!siyo kukurupuka tu eti wafanyakazi wote wala rushwa!
 
mawazo yako yanaweza kuwa kweli lakini tatizo siyo wafanyakazi ni serikali ilyoko madarakani

Ebu acha vituku Mkuu; Hao wote ni kitu kimoja, hakuna tofauti kati ya serikali na watumishi wa serikali, unaposema serikali imeshindwa ni lazima ujue ni pamoja na watumishi wake wote.
 
Ebu acha vituku Mkuu; Hao wote ni kitu kimoja, hakuna tofauti kati ta serikali na watumishi wa serikali, unaposema serikali imeshindwa ni lazima ujue ni pamoja na watumishi wake wote.
Nimeshagundua tatizo lako ni ufinyu wa mawazo!
 
weee arafat acha mbwembwe bwana, mkopo gani huu ambao ili udaiwe ni hadi aujiriwe serikalini? Na ninawafahamu jamaa zangu kibao walioajiriwa serikali hadi leo hawajawahi kukatwa huo mkopo. Nyie chekeleeni kupata hizo, lakini mkija mtaani lazima mlie. Ni vema muanze jitihada za kugoma kwa ajili ya kudai nyongeza za mishahara makazini

Mi siyo mwanafunzi Mkuu; nilikuwa naweka sawa rekodi maana kabla hajaongelea hilo lazima ajue huo ni mkopo, na hapa tuanongelea mshahara.

Nilimaliza siku nyingi sana Darasa la saba 1986 na baada ya hapo sikujaliwa tena kuendelea nafasi zilikuwa chache tunapiga jembe tu! Mkuu ila nyie watumishi hamtuonei huruma hata kidogo.

Mkuu ukweli kuwa ni mkopo unabaki pale pale, kama taratibu za kudai mkopo zinalegalega hilo ni swala lingine na haliwezi kufuta mkopo, cha muhimu hapa na cha maana nikujuwa kuwa mzazi kama mzazi ndie anayefaidika pale mtoto wake anapopata mkopo kwa maana ya nafuu ya kile kinachoitwa household school expenditure - nachapia kidogo; Naipenda hii kwasababu inafaidisha kada zote kuanzia mkulima hadi nyie mnaotunyonya damu huko kwenye ofisi zenu.
 
Nimepata habari za uhakika kutoka kwa Mkuu wangu wa kitengo cha rasilimali watu(Head of Human Resource-HHR) kuwa ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali ni asilimia kumi na moja(11%) kwa kima cha chini na asilimia nane nukta sita(8.6%) kwa wengine wote.

Kwa hiyo kama mtu alikuwa akipata mshahara wa Tsh 135,000 ataongezewa kwa 11% atapata Tsh 149,850 ikiwa ni ongezeko la Tsh 14,850 na yule aliyekuwa mathalani akipata mshahara wa Tsh 520,000 ataongezewa kwa 8.6% atapata Tsh 564,720 ikiwa ni ongezeko la Tsh 44,720.

My Take:
Habari ndiyo hiyo,naona serikali inafanya dhihaka,watu tumesubiri ongezeko la mishahara tukategemea tutapata angalau asilimia 30 lakini wameleta siasa.Kwa ongezeko hili maisha yetu yatazidi kuwa magumu ukizingatia kuwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli haishuki ,mafuta ya taa yameongezwa bei na umeme ndio huo wa mgao uuwwiiiiiiii!!!!
Well done serikali; hiyo ndiyo serikali sikivu iliyo na wafanyakazi wasio sikivu.
Kama mnafikiria mshahara huongezwa 'on a silver plate', hamkuwa sikivu kwa tuliyowaambia.
Mfanyakazi hudai mshahara na wala si kuomba!
 
... wewe hujajiweka kwenyekundi la wafanyakazi waliofoji vyeti maana hapo ulipo unakula mshahara usiostahili kwakuwa cheti nulichoombea kazi siyo chako umetengenezewa mtaani na kwakuwa uko taasisi binafsi si wafuatiliaji umesave kubaki na ajira sasa we huoni kuwa ndiyo mwizi nambari wani na unatakiwa ukamatwe nyambaffffff....
[/QUOTE]

Nashukuru kwa kuniita Nyambafffff; Mungu akusaidie uujue upumbavu wako, ila huo ndio ukweli jaribu kujibu hizo hoja acha kunishambulia mimi kama mimi ujue husimdharau husie mjuwa jifunze kumuheshimu kila mtu hata husiye mjue sioni kosa langu mpaka unitusi, nadhani umetumia tu tabia yenu ya ubinafsi na wizi maofisini wa kujiona ninye ndio zaidi ndio maana mnapoelezwa makosa yenu mnayatete hadi kwa matusi, thankx

Ila mimi sifanyi kazi za kuajiriwa na mtu kama unavyofiki na hata kama ninge kuwa nafanya haiwezi kuwa jibu ya hizo hoja nilizowawekea hapo, piasijawai kuforgy cheti chochote tokea nizaliwe hata cha hospitali, wala cha kununulia unga duka la ushirika, yote hayo ni matusi tu umeamuwa kunitukana baada ya kuona ukweli wako hapo katika list shame for civil servants, bado hamtaki kuacha rushwa kwa kisingizio kuwa ni rushwa ndogondo, kwa Maboss wenu wanakula kubwa zaidi ila ujue rushwa ni rushwa tu! Mnatuumiza sisi wanyonge kwa kushinda nyie na maboss wenu kutumaliza kuwa mnapata vishawishi na majaribu ila mjue wapo mnao waumiza na vishawishi vyenu vya kishetani.

Hamna bidii yeyote ya kazi mnayofanya na ndio maana taifa lina dorora kila kukicha.
 
Mimi sijasomea uchumi nilikuwa nakuweka sawa,huwezi kusema wafanyakazi wote wapunguziwe mshahara wakati machinga,mamantilie wanategemea na sisi tukawaungishe.Kingine kinachokusumbua ni generalization!huwezi ukafika kwa hivyo!eti unasema wafanyakazi wote si wazuri!kuna wafanyakazi wenye maadili kweli kweli na kuna wengine ni vihiyo kweli kweli!Nimeshaeleza watu wa namna gani nisiowapenda katika utendaji wao!mfano hao kina Kikwete,Samwel Sitta,Ngeleja,Bi Kiroboto,Edward Hosea,na wanafiki wengine woote unaojua wanaoangamiza taifa letu!

Sasa unaongea husicho kijuwa? jadili hii hoja achana na uchumi hata huijui hata kidogo.
 
Usipende kutafuniwa kila kitu,fanya utafiti na wewe!

Sioni unachongea hapa, you are a corrupt, unproffesional and unethical servant!

Kitugani umeambiwa utafune hapa, hata hujui ulichoulizwa ndio mmejaa kwenye ofisi za Umma nchni itaendelea hivi sasa kama ndio uwezo huo.
 
Nimeshagundua tatizo lako ni ufinyu wa mawazo!

Ahaa haa hakuna kitu hapa.

Ndio uwezo wako huo? sasa matatizo makubwa yanayoikabili hii serikali yatatauliwa vipi kama uwezo wako ni mdogo hivyo? jibu hoja hapa, kwanini mpo corrupt? kwanini mna uwa raia mahospitali? kwanini mliuwa raia Arusha na Nyamongo? kwanini kila ofisi mtu akiingia lazima mmuombe kitu kidogo?

Kwani mahakimu kila kona kesi haihukumiwi bila rushwa? na bado mnadai tukamuliwe muongezewe mshahara!
 
Hapo umelonga ila umewasahau polisi wanaotumiwa kuwapiga mabomu wananchi wanaokuwa wanadai ushindi

Mkuu nashukuru sana hawa jamaa wanataka kusahau mchango wao katika kudidimiza hili taifa, wao ndio walitobowa boti kabla hatuja vuka ngambo na ngalawa likazama, wanatabia kama ya panya leo nimewatolea uvivu wanatota jasho na matusi tu hapa.

Eti wanadai mishahara mikubwa wakati hatuoni tija hata kidogo.
 
Nimepata habari za uhakika kutoka kwa Mkuu wangu wa kitengo cha rasilimali watu(Head of Human Resource-HHR) kuwa ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali ni asilimia kumi na moja(11%) kwa kima cha chini na asilimia nane nukta sita(8.6%) kwa wengine wote.

Kwa hiyo kama mtu alikuwa akipata mshahara wa Tsh 135,000 ataongezewa kwa 11% atapata Tsh 149,850 ikiwa ni ongezeko la Tsh 14,850 na yule aliyekuwa mathalani akipata mshahara wa Tsh 520,000 ataongezewa kwa 8.6% atapata Tsh 564,720 ikiwa ni ongezeko la Tsh 44,720.

My Take:
Habari ndiyo hiyo,naona serikali inafanya dhihaka,watu tumesubiri ongezeko la mishahara tukategemea tutapata angalau asilimia 30 lakini wameleta siasa.Kwa ongezeko hili maisha yetu yatazidi kuwa magumu ukizingatia kuwa bei ya mafuta ya dizeli na petroli haishuki ,mafuta ya taa yameongezwa bei na umeme ndio huo wa mgao uuwwiiiiiiii!!!!
hakika huu ni MSIBA wa kitaifa, eeh Mola utusaidie!!
 
kama haya ni ya kweli, mfanyakazi wa kima cha chini (ambaye possibly ana familia inayomtegemea) atapata arround tsh. 5,000/- kwa siku wakati mwanafunzi wa elimu ya juu (ambaye possibly mzazi wake ni wa category ya kima cha chini cha mshahara na bado anawategemea wazazi/walezi wake) atapata 7,500/- kwa siku!

kwa kweli tanzania nchi ya ajabu sana!

Dada Judith hiyo kwenye bluu sasa inabidi iwe viceversa. Kwamba mwanafunzi wa elimu ya juu anayepata allowance ya Tshs. 7,500 kwa siku na anatoka familia ya kima cha chini inabidi awe na huruma asiwategemee wazazi wake tena, ajibane na achukue jukumu la kuwasaidia wazazi wake kwa namna fulani ikiwemo kusomesha wadogo zake.
 

Hicho ndicho mnacho zalisha Mkuu, maana nyie watumishi wa Serikali ni sehemu ya ku-fail kwa Serikali mbona mnajisahau sana, nyie ndio source ya matatizo yote yaliopo hapa Tanzania;

  • Nyie ndio kila kona mnatuomba rushwa katika ofisi za Umma.
  • Nyie ndio Waganga mliopo Mahospitalini ambao unatuibia dawa wagonjwa.
  • Nyie ndio TAKUKURU ambao Rushwa imewashinda kushugulikia
  • Nyie ndio waalimu na wakurugenzi mnaotumiwa kusaidia wizi za Kura nyakati za uchaguzi.
  • Nyie ndio Polisi mnao uwa raia kila kukicha!
  • Nyie wezi wa TRA
  • etc etc etc...........................
Myt:Nadhani mlipaswa kupunguziwa mishahara si kuongezewa kabisa.

Tunahitaji maboresho ya maisha kwa wakulima na wafanyabiasha ndogondogo ndio sehemu ya kupunguza Umaskini wa Mtanzania.

Aliyeweka quote kuwa some people are alive because its illegal to kill them alikuwa sawa kabisa.
 
Aliyeweka quote kuwa some people are alive because its illegal to kill them alikuwa sawa kabisa.

Ahaa haa; that is according to your imprudence, you are not a human being but a rare selfish inborn
 
Back
Top Bottom