Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini.
Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali.
Mambo kama haya ndo inafanya wananchi wanaikuchukia Serikali yao kwa ugumu wa maisha. Mhe. Rais anatakiwa kumbadili Mhe. Waziri aliyepo sasa hivi na kwa kiasi kikubwa sisi wananchi hatuna imani naye.