Ona tabia yako ilivyo Sasa!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Wakuu humu ndani kila mmoja amekuwa kwa namna moja au nyingine akionyesha jinsi tabia yake kwa watu wengine ilivyo kwa kutumia keyboard.inawezekana vile ujionavyo ikawa kweli au ikawatofauti na anayekujuwa kiukweli.

naomba kwa kutumia hii attachment japo kwa upande wangu nimeonakila kitu kuwa ni kweli ndivyo nilivyo inaweza kutusaidia kujijua kuwa kumbe abia zetu zipo hivi.

Je wewe hivyo ndivyo ulivyo?

asanteni waku
Tumsifu yesu kristu!!
 
Attachments

  • Age___Character_Calculation.xls
    75 KB · Views: 128
Chaku nimetype my DOB,nikakutana na character zifuatazo
* Active and dynamic * Decisive and hateful but tends to regret* Attractive and affectionate to oneself * Strong mentality * Loves attention* Diplomatic * Consoling * Friendly and solves people's problems * Brave and fearless * Adventurous * Loving and caring * Suave and generous * Emotional * Revengeful * Aggressive * Hasty* Good memory * Moving * Motivate oneself and the others* Sickness usually of the head and chest * Easily get too jealous

lakini katika hizo character zingine sina.kuna ukweli wowote katika hii calculation?
 
Jamani hii inatofauti na nyota za shehe yahaya?

ikiwa ni sawa au siyo sawa si ujilinganisha na personal traits zako ili uone kuwa kuna jini limekwambia kuwa tabia hiyo kama Sheikh yahaya afanyavyo shost?

You just key your DOB then compare with your normal behavior.

Otherwise hata reference za masomo toyasomayo hayatakiwi kuaminika kwa kuwa aliyeyafanya kabla yetu hatujawahi kumwona ikiwa kila kitu tutakuwa tunakilinganisha na yotakanayo na horoscoper
 
Chaku nimetype my DOB,nikakutana na character zifuatazo
* Active and dynamic * Decisive and hateful but tends to regret* Attractive and affectionate to oneself * Strong mentality * Loves attention* Diplomatic * Consoling * Friendly and solves people's problems * Brave and fearless * Adventurous * Loving and caring * Suave and generous * Emotional * Revengeful * Aggressive * Hasty* Good memory * Moving * Motivate oneself and the others* Sickness usually of the head and chest * Easily get too jealous

lakini katika hizo character zingine sina.kuna ukweli wowote katika hii calculation?

mbona hizo hapo unazo angalia thread zako zote ulizokwisha post na kuchangia hujawahi kuchangia na kubaheve kihivyo jamani.

au umesahau.

Maana yake just look on the result and then compare na michango yako humu JF.

nawasubiria sana akina Nyamao,Pretty,Mwanajami,FL1,Fidel,Julius,masanilo,Zitto na matokeo yao yoo will see the truth.

Tumsifu yesu kristu
 
Hii Calculator vipi? Imesema eti mie ni Handsome.

Ukweli ni tofauti kabisa. Ukituweka na Dr. Remmy Ongala tunakuwa kama mapacha.

Utafikiri MJJ anacheza Thiller, halafu naambiwa 'good looking'.
 
Chaku sijakueewa hapo nilipohighlight na red,yaani hilo ni swali au?

swali hizo character ina maana watu wote wa huo mwezi ambao nilitype ndo wana hizo character?
 
yes if not all the characteristics basi some of them unazo.au uongo!!!

na hicho ulichohilght nilimaanisha hizo zenye rangi
 
Hii Calculator vipi? Imesema eti mie ni Handsome.

Ukweli ni tofauti kabisa. Ukituweka na Dr. Remmy Ongala tunakuwa kama mapacha.

Utafikiri MJJ anacheza Thiller, halafu naambiwa 'good looking'.

mhhhhhhhhhhhhh
 
aaah chaku hapana mie inanisema ni bibi kizee wakati ndio mwenzio nachipukia
tetetetetet
 
FL1

* Ambitious and serious* Loves to teach and be taught* Always looking at people's flaws and weaknesses * Likes to criticize * Hardworking and productive * Smart, neat and organized* Sensitive and has deep thoughts * Knows how to make others happy * Quiet unless excited or tensed* Rather reserved * Highly attentive * Resistant to illnesses but prone to colds* Romantic but has difficulties expressing love * Loves children * Homely person* Loyal * Needs to improve social abilities * Easily jealous
mhhhh wewe chaku wewe
 
inaonekana mimi nitakuwa pilotishiani kwa mujibu wa kalkuleta
 
FL1

* Ambitious and serious* Loves to teach and be taught* Always looking at people's flaws and weaknesses * Likes to criticize * Hardworking and productive * Smart, neat and organized* Sensitive and has deep thoughts * Knows how to make others happy * Quiet unless excited or tensed* Rather reserved * Highly attentive * Resistant to illnesses but prone to colds* Romantic but has difficulties expressing love * Loves children * Homely person* Loyal * Needs to improve social abilities * Easily jealous
mhhhh wewe chaku wewe

Haya sasa niambie kama siyo kweli ukilinganisha na michango yako ya humu jamvini?

hizo zilizo bolded akina Fidel,masanilo watacheka mpaka wakome!!kumbe siyo mwepesi kuingiliwa?

Ila hiyo ya critisim mhhhhhhhhh mbona hatari.

Ila to be honest that is the way you are nikilinganisha na michango yako humu Jamvini
 
shost mie nimejikuta nacheeeeeeeeeka ndo maana carmel kasema ni kama shehe yahya tetetetete
 
27-SEPTEMBER -GEOFF* Suave and compromising* Careful, cautious and organized * Likes to point out people's mistakes * Likes to criticize * Quiet but able to talk well * Calm and cool* Kind and sympathetic* Concerned and detailed * Trustworthy, loyal and honest * Does work well * Sensitive* Thinking * Good memory* Clever and knowledgeable * Loves to look for information * Must control oneself when criticizing* Able to motivate oneself* Understanding * Secretive * Loves sports, leisure and traveling* Hardly shows emotions* Tends to bottle up feelings
 
Back
Top Bottom