Ona tabia yako ilivyo Sasa!!

GEOF unafanya nini jukwaa la SIASA rudi nyumbani hm swt hm,kule kuna wenyewe kama sisi tulivyo huku.

heheheehehe!kuna wakati malejendi wanajadili majungu kiasi cha kwamba ninaumia zaidi kukaa kimya
 
27-SEPTEMBER -GEOFF* Suave and compromising* Careful, cautious and organized * Likes to point out people's mistakes * Likes to criticize * Quiet but able to talk well * Calm and cool* Kind and sympathetic* Concerned and detailed * Trustworthy, loyal and honest * Does work well * Sensitive* Thinking * Good memory* Clever and knowledgeable * Loves to look for information * Must control oneself when criticizing* Able to motivate oneself* Understanding * Secretive * Loves sports, leisure and traveling* Hardly shows emotions* Tends to bottle up feelings

hapo je ????????????????????
 
My friend take a look at my signature......
kuna mzee kule kwa ma-lejendi ANAWEWESEKA!

ameitisha presi konferensi kumfikishia mama mmoja ujumbe kwamba YEYE SISIEMU HAKUJIUNGA JANA WALA JUZI1ni wa siku nyingi na anatoa misaada!

kwanini asingemtumia hata ujumbe mfupi wa simu?!:D
 
Attractive, affectionate, shy and reserved, secretive, naturally honest, generous and sympathetic. Loves to serve others, sensitive to others, not easily angered, Trustworthy, appreciative and returns kindness, observant and assess others, Revengeful, loves to dream and fantasize, Loves to travel, loves attention, loves home decors. Musically talented, loves special things, moody............Mh!!

MJ1 hapo je hahahahahah sijui ni za kweli hizi ?
 
kuna mzee kule kwa ma-lejendi ANAWEWESEKA!

ameitisha presi konferensi kumfikishia mama mmoja ujumbe kwamba YEYE SISIEMU HAKUJIUNGA JANA WALA JUZI1ni wa siku nyingi na anatoa misaada!

kwanini asingemtumia hata ujumbe mfupi wa simu?!:D

Unajua umri wa mtukanaji na mtukanwa tuangalie tabia zao hapa?
 
Back
Top Bottom