Elections 2010 Ona njaa na ujinga vinavyowasumbua vijana!

Hivi kwenye hii nchi ni yeboyebo tu ama? Hii inanikumbusha wilaya moja kuna shule wanafunzi hawaruhusiwi kuvaa viatu mpaka wakati wa sikukuu. Na hivi kiongozi unasimama uanacheka na kuutubia watu? Mi badala ya kuhutubia ningeangusha kilio mbaya kabisa
 
dogo kapewa 2,000 tu na akanunuliwa rangi na kuahidiwa kuwa atatolewa kwenye gazeti. Ndo maana CCM hawataki watu waelimike ili wawatawale vizuri
 
Ujinga na umaskini wa M TZ ndio mtaji mkuu wa Kijani - Kama huyo kijani aliyebeba bango, hata ukimuuliza
limeandikwa nini na maana yake hatoweza kutoa jibu.

Ni kama bango tuu - muhimu ni malipo kwa mhusika !!!!

na anaoneka, anawaza mbona muda wa mkutano hauishi ili apate chake, hata hiyo sura yake inasomeka hivyo.
 
Calm down chief. You sound like Urais ni kwa zamu, and you and Dr Slaa are next in line. Look, stop all this abstract reasoning and do not for once assume that just because CCM hasn't delivered that automatically qualify Chadema fit for the office. As the matter of fact Chadema is unfit for governing, and their clueless on masuala ya utawala will create fresh difficulties just because fanatics like you and Slaa wants to re-engineer the society.

The notion that those who oppose Chadema are not patriotic is a fallacy. We love our country as much as you do. We understand there is a need for better governance, stewardship, and improvement of social service deliverance. But we are not going to throw all that has been done to likes of Said Mzee Said, Mbowe, Mabere Marando, au Slaa. These folks will not deliver for us. They can't even choose trustworthy member of parliament candidates.

And as far as fighting till your last blood, chief hapo utakuwa wewe mwenyewe. Uchaguzi utakuja, utapita, and we will all remain Tanzanian under one President. Whoever that might be.

Mzee, unakuwa very unreasonable and illogical unaposema kuwa chadema haistahili kuongoza nchi hii sasa kwa ufupi nataka nikupe logical information kama huijui chadema vizuri, naona una mention people's names based on propaganda but you dont have any facts, especialy convincing facts! all what you have is just hear say, it says a lot about you more than what you wan't us to believe.

THIS IS WHY I BELIEVE CHADEMA DESERVE AND QUALIFY TO BE ELECTED IN POWER THIS YEAR

Ukitafakari kwa makini sana, utaona tofauti kubwa kati ya chadema na CCM.
Moja, Chadema recognizes that there are fundamental problems that are preventing us from achieving our full potential as a nation.
Pili. Chadema has identified a solution.
Tatu. Chadema has proven that it has the willingness, audacity and determination to fully implement the solution, for the benefit of the nation. CCM mpaka leo hawataki kukiri kwamba kuna upungufu ndo maana swala la katiba is not their priority ili mladi it serve on their party interest and small group of people interest, ndo maana hii mandate ya CHANGE hawaiwezi, na wala hawa relate nayo, and that is why mwaka hadi mwaka they keep coming up with half measures and solutions to tackle the problems we have

soma ilani ya chadema na ilani ya ccm. Kuna tofauti kubwa sana, Na Kubwa zaidi ambalo mimi na millions ya watanzania linawagusa, ni suala la kubadilisha katiba. Chadema wana mpango wa kufumua katiba nzima iandikwe upya. This is where CHANGE we desperately need begins kwenye katiba. Everything that is wrong with our country starts with the constitution. Katiba ya sasa, inalea a dysfunctional system of government, ndo maana ahadi nyingi na sera za ccm hazitekelezeki ipasavyo....that is one reason, there are many in CCMs case. Lakini muhimu ni kwamba, CHADEMA has the desire and determination to bring a new constitution to bring about a new system of government. System ambayo italeta ufanisi na uwajibikaji. We know that without an efficient, transparent and accountable system, we will be unable to deliver any meaningful progress which touch a lot of issues affect most wananchi daily life

Hali kadhalika mgombea wetu, Slaa ana rekodi ya miaka kumi na tano, akitetea maslahi ya taifa hili. Miaka kumi na tano, aki simamia maendeleo ya karatu kupitia halamashauri, wananchi wameona matunda ya uwajibikaji wake, utumishi wake kwa wananchi ...wa jimbo lake, na utendaji wake wa kazi bungeni. Katika bunge liliopita, wabunge wa Chadema ingawa wachache, walitimiza kikamilifu kazi ya ya ubunge. Wananchi are witness to this and that is where their faith for the party. They, CHADEMA have proved themselves to masses. You may disagree, but bro millions of Tanzanians agree. It is because of their record CHADEMA have their CLOUT. Hawaja toka hewani hawa. Given their solid record they have every right to contest for the presidency, and bring CHANGE that we so desperately need. Millions of Tanzanians believe that chadema is the alternative, just like millions believed kikwete was the altenative, until he let us down. Kama tulimjaribu kikwete, kwanini tusimjaribu SLAA? Time and time again CHADEMA ni chama makini kwani ukiangalia historia yake hakikuwahi kukurupuka na kugombea uraisi in the past toka kilipo anzishwa, in 1995 hawakugombea walitoa support kwa chama cha NCCR-MAGEUZI, 2000 Hawakuweka mgombea uraisi walitoa support kwa chama cha wananchi CUF, na hata this election kwa upande wa Zanzibar wametoa support kwa chama cha wananchi CUF upande wa Zanzibar kwani kinatambua nguvu ya upinzani Zanzibar, hivyo basi hatujakurupuka mzee, Chadema deserve kupewa ridhaa ya wananchi na CCM wapate nafasi ya kukaa pembeni na to clean up uozo wao.

Na CUF na mgombea wenu Prof. Lipumba has been running for three terms unsucessfuly na bado hana jipya la kumfanya ashinde, uchaguzi huu and he knows that,
 
Ndiyo maana nasema kuwa CCM haijui wanafanya nini.. Na hao vijana haitafika Dec utasikia wameuwawa kwa kupigwa risasi katika matukio ya Ujambazi....

nikiona wamama na vijana wamevaa khanga na kofia napata uchungu sana Moyoni..





Bado ninatafakari, sitaki maswali ya multiple choice!!

Chagua CHADEMA, Chagua Dr. SLAA
 
This elitist attitude ya Chadema ndio inawakosesha kura, and you make fool of yourselves. You are the only party ambayo you feel entitled kupewa nchi. That Sisi Chadema ndio wasomi, tunaojua maslahi ya taifa and anybody else who disagree with us, basi ni mjinga, sio msomi, na fisadi. I don't even know where you get this attitude, unbelievable.

Quite frankly, that is one of the reason a lot of folks aren't going to vote for you. The lack of class and uungwana. The feeling of entitlement and know-it-all. The rest of Non Chadema Tanzanians are useless, clueless, and vibaraka wa ufisadi. And the irony of it all, is you have embraced, Marando, Shibuda, Mbowe (the most incompetent human being in politics), and bunch of CCM sore losers in your party. Hebu kuweni na uungwana kidogo, do not disparage somebody who happened not to agree with your views. That is not how we conduct politics in this country. Vukeni boda muende Kenya, if you inject this kind of attitude in our politics.


Can you quote (please give date, location and time) at least ONE leader from CHADEMA who made such statements as to qualify the party as being ELITIST? I only want ONE! Dont make a claim you cant prove, brother. CHADEMA ni chama cha wote, wenye akili na wasio na akili; waliosoma na wasiosoma. Tukianza kuwabagua wale ambao wana UMASKINI WA AKILI (ambao kamwe hawakutaka kuwa hivyo) tutakuwa hatuwatendei haki Watanzania. CHADEMA haikuanzishwa ili kuweka matabaka, ndio maana hata kwenye uongozi wa CHAMA kuna watu wenye viwango tofauti vya elimu. Huwezi kuwapata viongozi wote wakawa wasomi wa chuo kikuu, NOT TODAY!
 
Back
Top Bottom