Majala Kimolo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 342
- 39
Tatizo hapa hata mie silioni, msiwahukumu kwa kosa la wazazi wao. Lau wangekataa kuongozwa na sisiemu, leo wangekuwa na elimu ya kupambanua mbivu na mbichi.
Imagine, shule ya msingi aliyosoma ilikuwa na walimu wawili, mmojawao ndio mkuu, aliyebakia ni chapombe wanapata maslahi duni, kuna form four failure wawili wanawasaidia kufundisha. Alipofika std seven, akajiunga na shule ya kata, ghafla bin vuu karudishwa nyumbani kisa ada, Diwani kajitokeza (au hata sita - anasomesha watoto 200 huyu) akamlipia na siku ya pili tu ndo kampeni zinaanza, haendi shuleni kwa sababu hana daftari na walimu wamesafiri nyumbani kwao kuna shida, hakuna aliyebakia. Shida zilizomzunguka afanyeje ilhali wenzake wanakula mshiko. Au nyie haujawatembelea? Angali mwandiko utapata taswira ya elimu aliyonayo