Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Huu sio ushuja hata kidogo; madhara yake ni makubwa kuliko; fikiria mnyama amapige teke litue jichoni!
Teke la Ng'ombe ni balaa kanakufa hapo hapo!
Huu sio ushuja hata kidogo; madhara yake ni makubwa kuliko; fikiria mnyama amapige teke litue jichoni!
..Mkuu achana na Zamani, haya mambo yanatokea mpaka sasa huku kijijini kwetu. Njoo huku kijijini kwetu SITIMBI, Kata ya CHINGURUBILA, Tarafa ya BULENDABUFWE uone.Huyu ng'ombe ugonjwa wowote wa kuambukiza kama upo, huyo dogo lazima aurithi. Well, zamani kufanya vile ilikuwa sio tatizo. Ila sasa tumeanza kuelimika, kwanini mtu anafanya mambo yenye hatari pasipo kuwa na sababu?
mhhhh, mi kupita tu...sasa mambo yenu yale we ulianzia kupata uzoefu ukiwa na umri huo?