Ona Dogo aliesusa Ziwa la Mama Yake

Kwanini augue? mbona ndama hachemshiwi hayo maziwa na wala hajawahi kuugua?? Si unamuiona Diogo fulll experience, hata shingo haiumuumi kwa kuvuta nyonyo, halafu dogo ana afya ya kutosha kabisa.
 
Huyu ng'ombe ugonjwa wowote wa kuambukiza kama upo, huyo dogo lazima aurithi. Well, zamani kufanya vile ilikuwa sio tatizo. Ila sasa tumeanza kuelimika, kwanini mtu anafanya mambo yenye hatari pasipo kuwa na sababu?
 
Hiyo ndo yenyewe....
Hapa malaria sijui makitu gani, sijui net nayasikia kwenye hotuba ya M.kwere ya kila baada ya miezi mitano.....ile ya kila mwezi hivi bado ipo?
 
Akiibuka na Tuberculosis hapo jirani ataonekana mchawi. Elimu ni muhimu sana kwa kweli.
 
Siyo nzuri hata kama hataki la mama basi akamuliwe apewe. Akilete ujinga unachapa hutwo tu miguu anatia akili mwenyewe. Hivi mtoto mdogo kama huyo anaweza kuwaendesha wazazi wenye akili timamu? Nafikiri wazazi tuwe smart na determined. Excuse me guys!
 
Duuu huyu dogo akikua itakuwa balaa kwenye 6x6. Shingoni naona ametundika MTAMBO wa kutungulia skadi za maadui zake.
 
Siyo nzuri hata kama hataki la mama basi akamuliwe apewe. Akilete ujinga unachapa hutwo tu miguu anatia akili mwenyewe. Hivi mtoto mdogo kama huyo anaweza kuwaendesha wazazi wenye akili timamu? Nafikiri wazazi tuwe smart na determined. Excuse me guys!

Sio kwamba anawaendesha wawazi wenye akili timamu,
huwezi jua labda hata wazazi wake
walipitia enzi hizo, na ndio sababu unaona wanamuacha
dogo ajinafasi kwa raha zake, Dogo wera weraaaaaaa.
 
Back
Top Bottom