GJ Mwanakatwe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 241
- 27
Matatizo ya uchumi wetu yanatokana na kutotumia raslimali zetu kwa faida yetu, kutegemea misaada toka nje kuleta maendeleo yetu, kukopi mipango ya kiuchumi toka nje badala ya kubuni mipango yetu ya kiuchumi, na kukaribisha wawekezaji kuwekeza kwetu badala ya sisi wenyewe.
Tukiyaacha yote hayo na badala yake tukabuni mipango yetu ya kiuchumi kwa kutumia raslimali zetu uchumi wetu utanyenyuka ndani ya miaka miwili tu.
Tukiyaacha yote hayo na badala yake tukabuni mipango yetu ya kiuchumi kwa kutumia raslimali zetu uchumi wetu utanyenyuka ndani ya miaka miwili tu.