On the Brink: What is troubling Tanzanian Economy?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
I have not taken enough time to study or read about the Tanzania economy but few days ago I have been asked to have a look ya ripoti mbalimbali na hasa hali ya kiuchumi. Well..almost everybody is mentioning things in apocalyptic language.. things like "doomed, collapse, disaster"..

So is there anybody who knows and can shade light on the state of our economy? What is going on and is there any reason whatsoever to be concerned at all?
 
1 .. We are facing a very serious FOOD SHORTAGE as a country, although the issue is still being politicised by POLITICIANS!

2 .. We are facing a very serious RAIN SHORTAGE,...

3 .. Number 1 depends on Number 2 and the Economy of our Country depends on both...
 
1 .. We are facing a very serious FOOD SHORTAGE as a country, although the issue is still being politicised by POLITICIANS!

2 .. We are facing a very serious RAIN SHORTAGE,...

3 .. Number 1 depends on Number 2 and the Economy of our Country depends on both...

Sasa rais alipoagiza kutoa chakula kutoka NGR na kukiingiza sokoni itakuwaje huko mbeleni? si kuna uwezekano mkubwa sana wa ulanguzi kurudi kwa kasi mpya? Maana tumeshaona dalili za hoarding lakini tukaambiw ani sehemu ya biashara..
 
i think it because most of tanzania don't like to work, they are extremely lazy people who depend and expects huge from their poor goverment. the Income that is generated by few ones is distributed to many hence ending living below a dola. The other this that of lacking priority as well as poor goverment policies on economy! By Nature Tanzania is RICH...
 
A HUGE budget deficit....

Tumekuwa tukienda kwa mtindo huu miaka nenda rudi kwa mategemeo ya misaada toka nje kuziba pengo hilo, sasa hivi hiyo misaada imepungua kwa kiasi kikubwa. Sioni kama tumefanya jitihada zozote kubwa za kupunguza deficit hii....tunaendeleza matanuzi kama kawa!!
 
1 .. We are facing a very serious FOOD SHORTAGE as a country, although the issue is still being politicised by POLITICIANS!

2 .. We are facing a very serious RAIN SHORTAGE,...

3 .. Number 1 depends on Number 2 and the Economy of our Country depends on both...

4 ..The president has instructed the Strategic Grain Reserve(SGR) to release grain onto the Dar markets 'to help' the businessmen. The responsible minister( a Professor of agriculture) was busy yesterday supervising this. I wonder what is the intention of having an SGR.
 
A HUGE budget deficit....

Tumekuwa tukienda kwa mtindo huu miaka nenda rudi kwa mategemeo ya misaada toka nje kuziba pengo hilo, sasa hivi hiyo misaada imepungua kwa kiasi kikubwa. Sioni kama tumefanya jitihada zozote kubwa za kupunguza deficit hii....tunaendeleza matanuzi kama kawa!!

Hii ndio sababu nimesikia juzi serikali ikijaribu kuwakumbusha wahisani kutimiza ahadi zao? Mbona basi hali inaweza kuwa ngumu sana.
 
Hii ndio sababu nimesikia juzi serikali ikijaribu kuwakumbusha wahisani kutimiza ahadi zao? Mbona basi hali inaweza kuwa ngumu sana.

Tunawakumbusha wahisani kuhusu pledges zao lakini sisi wenyewe tunafanya jitihada gani kupunguza hii deficit?
 
Kikubwa kuliko yote ni kukosa vipaumbele kama Taifa.

Haiwezekani tukawa na inflation inayokuwa driven na food price na kama nchi hatuna jitihada za kukabiliana na hilo.......Haiwezekani nchi ikawa inajua miundombinu (bandari, barabara muhimu mfano Rukwa kwa ajili ya food supply, barabara ya Mtwara -IR etc) yenye kuhitaji serious concentration ili iweze kuleta mchango mkubwa lakini hatu-invest katika maeneo hayo.

...Sasa hv tuna spend pesa nyingi katika kukarabati barabara zinazopitisha magari makubwa ya mafuta na mizigo, gharama hizi zingeweza kuepukika kwa kuboresha reli ya kati na Tazara na hata kuweka pipeline Dar to Kigoma/ Mwaza na kupunguza uharibifu wa njia zetu.....

Haiwezeka mtu mwenye akili timamu ukawa na kipaumbele katika mazingira ambayo wanufaikaji ni wachache......

MKJJ ukianza kuelezea matatizo you can list a lot kulingana na eneo la nchi. ......mfano, Je, ni sahihi kuwa na sera ya kilimo katika mazingira ya wavuvi?

...Tunahitaji kuchambua kwa kina hii issue.
 
Sasa rais alipoagiza kutoa chakula kutoka NGR na kukiingiza sokoni itakuwaje huko mbeleni? si kuna uwezekano mkubwa sana wa ulanguzi kurudi kwa kasi mpya? Maana tumeshaona dalili za hoarding lakini tukaambiw ani sehemu ya biashara..

Kuna meli za mahindi outer anchorage, wanangoja itangazwe kuwa wafanyabiashara waingize chakula utaona bandari itakavyokuwa busy, kila kitu ni calculated sio kama hawajui, wanajua sana ila ni maskahi
 
Tunawakumbusha wahisani kuhusu pledges zao lakini sisi wenyewe tunafanya jitihada gani kupunguza hii deficit?

As a nation sisi ni ponda mali kufa kwaja, Kassimu wa matumizi na keep change wakati hatuna hela tunakesha kuomba na raisi anadiriki kutoa matamko msione sishindi tanzania nazungukuka duniani kuomba misaada.

Tunashangaza kweli, msafara wa mkuu wa kaya sio chini ya magari 23 na mengine yanakuwa matupu tu hayana mtu, kisa eti security, wakati wananchi wako hawana dawa,wagonjwa wanalala chini, madawati hakuna mashuleni, darasa moja wanasoma wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili 2 etc.

Halafu katika mazingara hayo unakumbushia pledge.
 
Mwanakijiji,

Kwa lugha ya kawaida, uchumi unahusu namna unavyoweza kutumia rasilimali zako kwa ufanisi.

Ukiangalia vipaumbele na jinsi yule tuliyempa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu (serikali) anavyozitumia, majibu ya kwanini uchumi wetu unatetereka yanakuwa wazi.
 
Uchumi wa Tanzania uko ktk hali mbaya tangu 2009 Mzee Mwanakijiji.

Tanzania makusanyo ya kodi yanashuka kila siku kuonyesha upatikanaji wa pesa unapungua. Hio ni dalili kuwa either watu hawalipi kodi (tax evaders) au hawana pesa za kulipa kodi.

Pili matumizi makubwa ya serikali yamechangia kukua kwa tatizo. Serikali ya Tanzania haina priorities na instead pesa nyingi zimepotea kwenye utawala na uendeshaji Wa serikali.

Tatu ufisadi pia unalitafuna nchi kama niliwahi kusema kwamba ukitizama kesi za ufisadi na tamko la rais kuwa 30% ya pesa za serikali zinapotea bila ya maelezo husika ni daliliya kuwa nchi inakosa mapato kwa ufisadi.

Nne madeni: Deni la nchi linazidi kukua siku hadi siku kitu kinachoweza kupelekea nchi yetu kufilisika.

Tano kupotea kwa watu wa pato la kati: Hili limechangiwa zaidi na kuendelea kufa kwa viwanda na kilimo nchini.

Sita umeme: Nishati muhimu katika uzalishaji na kupanda kwa gharama zaumeme kumechangia pia.

Kwa hapo mwanakijiji unaona crisis ya Tanzania inaPoenda na mwisho wake ni wapi. Kwani deni la nchi likikua ndivyo tutakavyoshindwa kwenda mbele.

Pia kupotea kwa uzalishaji nchini ndivyo vijana wetu watakavyokosa kazi na umaskini kuongezeka. Kupanda kwa gharama ya umeme ndio kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha na mengineyo mengi!!!

Nilikuwapo!
 
what is huge, big, extreme sounds speculative when there is no one refering numbers or statistics?

Does this mea that we do not have records?
 
Mie nadhani pia tulitengeneza bajeti kubwa na kuweka malengo makubwa wakati uwezo mdogo. Katika kipindi cha miaka mitano bajeti imeongezeka kwa karibu asilimia 100. Pia tunatumia kuliko tunavyokusanya, hakuna usimamizi wa fedha mzuri wa matumizi ya umma nk
 
Kikubwa kuliko yote ni kukosa vipaumbele kama Taifa. Haiwezekani tukawa na inflation inayokuwa driven na food price na kama nchi hatuna jitihada za kukabiliana na hilo.......Haiwezekani nchi ikawa inajua miundombinu (bandari, barabara muhimu mfano Rukwa kwa ajili ya food supply, barabara ya Mtwara -IR etc) yenye kuhitaji serious concentration ili iweze kuleta mchango mkubwa lakini hatu-invest katika maeneo hayo. ....Sasa hv tuna spend pesa nyingi katika kukarabati barabara zinazopitisha magari makubwa ya mafuta na mizigo, gharama hizi zingeweza kuepukika kwa kuboresha reli ya kati na Tazara na hata kuweka pipeline Dar to Kigoma/ Mwaza na kupunguza uharibifu wa njia zetu..... haiwezeka mtu mwenye akili timamu ukawa na kipaumbele katika mazingira ambayo wanufaikaji ni wachache...... MKJJ ukianza kuelezea matatizo you can list a lot kulingana na eneo la nchi. ......mfano, Je, ni sahihi kuwa na sera ya kilimo katika mazingira ya wavuvi? ..................Tunahitaji kuchambua kwa kina hii issue.

uko sahihi sana. nilishakuwa na kizee cha kizungu tukiwa tunakwenda KIA na kabla ya hapo tulivuka reli, kaliniuliza kama inafanya kazi. nikakajibu haifanyi. kaliniambia wazi kuwa hatutakaa tuinue uchumi mpaka mwisgo wa dunia. na hatutakaa tuwe na maisa nafuu bika ya reli. tremi 1 inavuta hadi ton mia 5 na zidi. ton 500 ukigawa kwa ton 20 au fany 40 ni malnri mangapi? nafuu ya maisha ipo wapi? kazitunayo
 
What makes me lose hope sana, ni majibu ya Kikwete. Mtu anaesema hajui kwanini sisi ni maskini kweli tunategemea chochote kwake!!?

If only the President had shown a grain of intelligence akin to the grain of faith Christian are required to have to move mountains, I would have siezed lamenting.

Halafu Mkullo anaulizwa kama kweli serikali ina tatizo la fedha anajibu kuwa hayo ni maneno ya CDM ya mtaani tu. How stupid do they think we are?
They continue politicizing a national problem instead of searching for solutions.

Ukiangalia mentallity ya viongozi wetu (CCM) ni zaidi kulinda nyadhifa zao badala ya kutatua matatizo.

Wanacheza mziki wa CDM wakati wamejiweka madarakani for the next 4 years!! Lakini jinsi wanavyoogopa bado wana fanya mambo as if uchaguzi ni mwezi wa 10.

Na CDM being who they are wanaongeza moto ili kupoteza focus kabisa ya CCM na serikali yake! (Don't ask me when CCM showed FOCUS on development issues.) Lakini kama wangekuwa hawaogopi, sio mafisadi na viongozi wa kweli,wange concentrate kutatua matatizo na sio kutapatapa kulinda matumbo yao.

Sorry for rambling and going off topic.

Anyway in my view our leaders are to blame 100% for the severity of the situation and not really for the situation itself!

Umaskini wetu una sababu nyingi lakini kiwango cha umaskini wetu ni sababu ya Kikwete na uongozi wake.
 
Nchi nyingi za Africa, Tanzania ikiwemo, zinahitaji kujipanga upya vinginevyo itakuwa balaa tupu. Miaka nenda rudi, hadithi ni ileile.

Pamoja na matatizo ya ndani, nadhani tusisahau yanayotokea duniani kwa ujumla kutokana na Globalization. Ukiangalia Bei ya mafuta Duniani ni balaa tupu, na hii imechangia Inflation kwa kias kikubwa na ambayo imeathiri bei za vyakula na mahitaji mengine muhimu.

Demand ya bidhaa nyingi tunazozalisha (kahawa, chai, na Almasi) imeshuka kwa kiwango kikubwa na hivyo kupunguza mapato ya serikali na kupunga ajira kwa wananchi.

Nchi nyingi zinazotufadhili pia zinakumbana na matatizo kama yetu, ingawa wao wana mbinu mbalimbali za kukabiliana na hali hii ikiwemo kukata au kupunguza foreign Aids.

Na mwisho kabisa ni monopoly of Trade kati ya nchi maskini na tajiri. Kwa mfano, nikiangalia bei ya dhahabu duniani mpaka wiki iliyopita, nashindwa kuelewa kwanini Inflation na hali ya maisha ya Watanzania inazidi kuangamia ilihali Wafanyabiashara wa K'taifa wanaendlea kuneemeka.

Hapo ukichanganya na maradhi yetu ya kula mlungula na uvivu, utaelewa kwamba safari yetu bado ni ndefu sana.
 
Back
Top Bottom