Omg its ma birthday!!!

Happy Birthday Maria Roza wa ukweli, tumia siku hii kutafakari nini umefanya katika siku 365 toka uzaliwe mwaka jana. Samehe wote waliokukosea na uwaombee sana wazazi wako wawe na maisha marefu.

asante san mzee wa Rula kwa ujumbe mzuri nazidi mshukuru Mungu kwa mema yote alionitendea,
wazazi nawaombea na kuwaweka katika sala zangu kila siku
amen
 
happy birthday maria roza !,
kila jema liwe sehemu ya pumzi yako,
upatapo changamoto utumie zaidi hekima na busara ktk kupata ufumbuzi wake.


Aaamen nnunu ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri karibu cake :A S 465::A S 465:
 
Happy Birthday MariaRoza,
God bless you with an everlasting happiness, good health
and may your wishes be granted.:A S 465:

Ohoo asante sna XYLN kwa wishes ubarikiwe sna
nice avatar :A S 465::A S 465::A S 465:
 
Possibly I might be the last, but not the least.
HERI YA KUZALIWA DADA
MUNGU AKUJALIE UMRI MREFU
ULIOBARIKIWA KWA AFYA NJEMA
UPENDO, AMANI, BAHATI, MAPENZI
NA FURAHA TELE.

Happy Birth Day Dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom