obm
Member
- Aug 4, 2011
- 67
- 10
Huyu jamaa ni grat thinker na hapa an prove theory yake mpya kuwa hakuna haja ya kuwa na wakuu wa wilaya kwani ukiwa na mkuu mmoja wa jimbo kama ilivyo kwa mikoa isiyo na wakuu wa mikoa mkuu wa jimbo mmoja anatosha tuliona lindi na dar,(jimbo la dar); morogoro, iringa (jibo la ruaha), tanga, kilimanjaro, arusha na manyara (jimbo la kaskazini) ehee inawezekana hivyo mkuu wa jimbo atasaidiwa na mkuu mmoja wa mkoa kama halima alivyo kusimamia wilaya zote na ya mkoa. Hii imekaa vizuri sana anatekeleza sera za majimbo ila amekosea formula ya cdm kwamba hawa wanachaguliwa na wananchi wa jimbo husika
nawasilisha
nawasilisha