Ombi: Nahitaji mwana-JF (KE) wa kubadilishana naye mawazo wikiend hii. Just kubadilishana mawazo!

sasa kubadilishana mawazo ndo hadi kuonana? na ungebadilisha mawazo hapahapa ungepata wigo mpana zaidi kuliko kuji-confine na jf-ke moja tu! ni mtizamo tu. wknd njema
 
Jamani msinibeze hasa nyie wahusika. naombeni mje faragha.
 
kaka chagua warembo ka wa 3 ivi.. Ingawa hatujui kama kweli watakua ni wa dada.. Afu wewe ndo uwa inbox.. Lazma m1 atarespond +vly.
 
na kama wote wa 3 waki respond +vly
 
duh....hata mimi mawazo yangu yamevurugika kweli....nahitaji wa kumbadilishia....upo wapi......?
 
Back
Top Bottom