Ombi kwa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuipa umuhimu Mechi ya Simba na Al Ahly

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani.

Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni siku muhimu sana kwa wapenda michezo nchini.

Fanyeni kila muwezalo kuhakikisha leo umeme haukatiki. Leo ni siku ya mtoko kwa taifa zima. Najua wakubwa wote mnapita huku!

Nawaomba sana TANESCO tuachieni Umeme.

FB_IMG_1697717670797.jpg
 
Sidhani kama watakusikia. Hawa TANESCO wanakata umeme hata Rais akiwa uwanjani sembuse timu zikicheza
 
Nilipo hadi sasaiv hawajakata watu wanatamani wakate mida hii warudishe baadae lkn hawa wajomba wametuachia sasaiv ili watukatili baadae
 
Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani.

Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni siku muhimu sana kwa wapenda michezo nchini.

Fanyeni kila muwezalo kuhakikisha leo umeme haukatiki. Leo ni siku ya mtoko kwa taifa zima. Najua wakubwa wote mnapita huku!

Nawaomba sana TANESCO tuachieni Umeme.

View attachment 2787020
Basi kali namna hii mnaomba umeme kweli?

Je, hamuoni sasa ni wakati muafaka kuna na moving standby Jenereta moja matata sana, ili kuondokana na wasiwasi wa umeme wa Tanesco na kuondoa hali hii ya kuiombaomba Tanesco badala ya kumuomba Mungu?

Asant mh. speaker.....
 
Halafu ukute wewe ndiyo think tank Ya family wakati akili hata kidogo huna.. Kwa hiyo simba inunulie kila Mtu jenereta nyumbani kwake ili asikose kuangalia mechi za simba!? Kama ww baba ni mjinga kiasi hiki unaongozaje familia yako!? Hiyo Shule yenyewe ulienda kusomea ujinga!??
 
dk ya 20 tutazima umeme
 
Ndugu zangu wa TANESCO na Wizara yenye dhamana ya Nishati nchini leo ni Ufunguzi wa Mashindano ya AFL yanayozinduliwa hapa kwetu Tanzania. Ninyi wote mnaohusika ni wenzetu na tunaishi nanyi mitaani.

Nawaomba kwa heshima na taadhima, waachieni Watanzania wenzenu Umeme Kwa siku ya leo. Leo ni siku muhimu sana kwa wapenda michezo nchini.

Fanyeni kila muwezalo kuhakikisha leo umeme haukatiki. Leo ni siku ya mtoko kwa taifa zima. Najua wakubwa wote mnapita huku!

Nawaomba sana TANESCO tuachieni Umeme.

View attachment 2787020
Hawana adabu na walikata
 
Back
Top Bottom