Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,427
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.
Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.
Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Balozi Omar Ramadhan Mapuri