NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
Of course I couldn't keep up with such witless arguments. Your pseudonym reflects your intelligence, MGUMU SANA KUELEWA NA MWEPESI SANA KUSAHAU. Ndio maana umeshindwa kuelewa nini message ya Mwanakijiji kwenye hii thread, umeshindwa kuelewa ni maana halisi na majukumu ya Wikileaks, unapata shida sana kuona kwamba source ya hizo corruption allegations ni US Diplomatic cables na sio Wikileaks, na unasahau haraka sana pale unapowaponda "wazungu" wa Wikileaks (kwamba tunasikiliza kila wanachosema wazungu) lakini dakika moja baadae unawasifia "wazungu" wengine wa Urusi kuwa ni vichwa kwa sababu tu wanakidhi kile unachotaka wewe kusikia bila kufanya utafiti wa kile wakisemacho kama kina ukweli wowote. Hizo ndio sababu zilizonifanya niconclude kwamba argument kati yangu na wewe haitafika kokote kwa sababu nitalazimika kurudia rudia sana zaidi ya mara mia ili UBONGO WAKO MGUMU upate kuelewa, bahati mbaya sana sina muda huo wa kupoteza. However, I wish you luck in your attempt to become a great thinker.
Peasant kweli unazeeka ninashindwa kupata clue nini hasa una argue, kwa mfano unasema "source ya hizo corruption allegations ni US Diplomatic cables na sio Wikileaks" Tunachojaribu kuweka wazi ni kua wikileaks wanadai kua wanatangaza habari za siri. Hii kwanza tunaipokea kwa mashaka kwa kua hatuna uhakika kua kweli wanafanya hivyo. Point no 2 Tunataka credibility ya wikileaks kwa sababu wao ndio wanaodai kuzipata habari na kuzileta hili nalo pia lina mashaka kua ni kweli kwanini wao tu ndio wapate hizo habari na singiweneo. Sasa peasant ukiletewa habari na mtu huna umuhimu wa kujua kama huyo mtu ni muongo au mkweli? sidhani kua hii imekaa sawa.
Sehemu nyingine unadai kua mimi ninapata tabu kuelewa na ninasahau haraka "unapata shida sana kuonna unasahau haraka sana pale unapowaponda "wazungu" wa Wikileaks (kwamba tunasikiliza kila wanachosema wazungu) lakini dakika moja baadae unawasifia "wazungu" wengine wa Urusi kuwa ni vichwa"
Hii ni kutaka kukudhihirishia kua wazungu ni watu wa maslahi ndio maana nimeleta wazungu kwa wazungu ili nikuweke kwenye mtego uchague kati ya hau wazungu wawili nani sasa mkweli. Sikufanya hivyo kwa ajili ya kusahau
Hapa unanichekesha tena eti unanihimiza kufanya utafiti wakati wewe umepokea habari za wikileaks kichwakichwa, hebu angalia maneno yako "kwa sababu tu wanakidhi kile unachotaka wewe kusikia bila kufanya utafiti wa kile wakisemacho kama kina ukweli wowote".
Hii ya mwisho imenifurahisha sio kunichekesha kua unakubali kua mimi ninakimbilia kua great thinker lakin kwa taarifa yako mimi ni mwanfunzi mdogo tu ispokua mambo unayobishana hata mimi mwanafunzi wa secondary ninaweza kuyafahamu haraka kuliko wewe great thinker.
Sasa ninachokuomba kua makini sana unapojadili mambo na vilevile usieleze vitu vya ajabu au habari yoyote unayoiona bila kua na reliable sources. Hadi leo hakuna mtu yoyote aliepandishwa kizimbani kwa sababu ya habari za wikileakes. Kwa kumbukumbu zaid rudia majibu ya Hosea alivyojibu kuhusu tuhuma za wikileakes kama bado unataka kuendelea rudi tena lakin dalili zote zinanionyesha kua utaingia mitini. bye
bahati mbaya sana sina muda huo wa kupoteza. However, I wish you luck in your attempt to become a great thinker