"Ole wako uzitumie vibaya" haikuwa kauli sahihi kutoka kwa rais kumueleza Meck Sadick hadharani!

Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea![/QUOTE
Kama ni mzee astaafu, kama ukiona kauli imekufedhehesha jiuzulu!!!!!!!
 
Lol, mimi sikumtazama wala kumsikiliza. Lakini kama alitumia lugha hiyo alifanya makosa, si uungwana wala ustaarabu!

Hapa Rais defenetely nia na madhumuni yake ilikuwa ni kuweka msisitizo wa jambo analotaka lifanyike, litendeke kwa usahihi....lakini all in all kuheshimiana ni jambo la lazima, hakuna sababu ya kudharilishana kwa kutukanana.

Otherwise, kama ishu ni kutomuamini huyo mzee, mbona anayo mamlaka ya kulisimamia jambo husika yeye mwenyewe personally au kuweka mtu mwingine anayemwamini!!?

Sijawahi kumtetea kiongozi yeyote wa CCM wakiwemo hawa wa serikalini, lakini kwa hili nimesema!
 
Amemkaripia huyu aliye jirani yake kuonyesha hasira yake kwa HADHIRA NA WOTE WENYE NIA OVU.
-->>AMECHEZA NA AKILI ZA WABADHIRIFU WOTE,NA MLENGWA SIO MECKSADICK KAMA UDHANIAVYO MTOA POSTI.
 
Mkuu kwani ugonjwa ni dhambi? Dawa ni dawa kuna watu wanakunywa dawa maisha yao yote so tatizo ni nini hapa? Kujua ugonjwa au kuanza kumjadili na ugonjwa wake? Tuwe waungwana katika maswala mengine. Ugonjwa si wa mtu mmoja.
Wewe unaona kuugua kwa mkulu no jambo la kawaida kama kuuguwa wewe? Na anaumwa nini? Maisha ya president has a afya yake sio suala la siri ndio maana hata enzi za tezi dume iliitishwa press conference
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!

Bado mnataka kuishi jana! Mmezoea "tunaomba mzitumie vizuri" au "hizi fedha zitumike kwa malengo". Kuna siku mpya; kiongozi mpya na mwenzo mpya. Mambo ya kubembelezana hakuna tena. Kama Mkuu wa Mkoa anaona amefedheheshwa anachotakiw akufanya ni kuandika barua ya kujiuzulu aingie mwingine ambaye hatodhalilika bosi wake akimwambia ole wake azitumie vibaya. Hizi ni Zama Mpya!
 
Kauli ya rais haina tatizo lolote kama hana nia ya kuzitumia vibaya basi awe makini zaidi. Akitaka kubembelezwa sio mda huu.
 
Ameambiwa ukweli, hakuna cha umri wala nini hapa, siasa za kubembelezana ameondoka nazo kikwete.
 
tumezoea lugha za kubembelezana, hiyo ndio lugha ya hapa kazi tuu...
kubembelezana kitandani
 
Wewe unashangaa na hilo mbona dogo hilo alisema akakae leta fyoko fyoko na kusema atakaa kimya kuhusu masuala ya Enji wakati dunia nzima imeshamwambia aingilie kati jama hajui kuongea na watz mtakuja juta
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!

Mmezoea kudekezwa.
 
Niliwahi kusikia kuna utawala wa "carrot and sick". Nafikiri ndiyo huu! Hamna kubembelezana sana.
 
Ukali siyo kuongea hovyohovyo hadharani! Unaweza kuwa na heshima na bado ukali ukawepo palepale! Sijawahi kuona rais yeyote yule duniani akiongea maneno ya hovyo kwa wasaidizi wake ukali siyo hivyo! Staha ni muhimu na kuheshimiana kuko palepale! Hilo naona mnapotoka na kuna siku mtarudi humu! Maneno ya hovyo hadharani ya nini? Ukali uko hivyo???
 
Back
Top Bottom