"Ole wako uzitumie vibaya" haikuwa kauli sahihi kutoka kwa rais kumueleza Meck Sadick hadharani!

Nimeishia hapo uliposema...."kwanza...kiumri ni mtu mkubwa sana kwa Magufuli"
Kwenye kujenga hoja huwa tunaanza na strong points...kama point yako ya kwanza ni hiyo, sina sababu ya kuendelea kupoteza muda
 
Huyu babu yako Sadiq mshauri aandike barua ya kujiuzulu kwa kudhalilishwa na boss wake. Hukumsikia akiigiza sauti ya Magu wakati akichomekea kautani kwenye hotuba yake.
 
magu kwa hii tabia ya kuropoka ovyo bila kufikiri ipo siku ataitia Tanzania aibu kwenye mikutano ya kimataifa. kwa hapa nyumbani sio tatizo sana anaweza hata kusema obama ni raisi wa Nigeria na watu tukapotezea tu. ila kwa kina ban ki mon uko itakua tatizo. bora kwenye mikutano mikubwa akubali kuandikiwa speech.
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
M

kuu kwani hukuona alipewa dawa akameza?
 
katika mazingira ya sasa sioni tatizo kwa rais kutoa angalizo la aina ile. hii ni nchi ambayo rushwa na ubadhirifu unaweza kulinganisha na hali ambapo makamanda wanauza silaha wakati wa vita. lugha za kiofisi imefika wakati zinaeleweka kama ni biashara kama kawaida. magufuli ana msimamo thabiti na staili yake.
 
Hao watu fulani ndio kina nani halafu Nani mtu MZIMA na nani MAITI wote kwenye ajira ni watu wazima na asilimia kubwa wanafamilia zao,wacha hiyo kitu.
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Mkuu tuko zama za uwazi na ukweli hakuna ubaya wowote kupigana mabeat hadharani isitoshe kuna faida yake kwani ni ujumbe kwa wote waliopewa dhamana katika kazi za uma, mzee Meck alitajwa kama role model kwenye hiyo issue,kuhusu umri usijali sana kwani bendera ya Rais ikishapepea pale haongei kama mtu binafsi mwenye umri fulani-ile ni mamlaka sasa inaongea,mfano mzuri ni jeshini mwanao akikupita rank ni lazima utamtandika salute bila kujali umemzidi umri kwa kiwango cha kumzaa,lakini pia usisahau Mh.Rais wetu pia ni mtu wa jokes-ila jokes huku anajenga kitu flani.TAKE IT EASY CHIEF.
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!

G.Sam kwann kwani wewe umekua mchambuzi wa hotuba ya Mh Rais kwann unaconcentrate kwenye H.R.C of his excellency president na kwann unadonoadonoa bila kuangalia concept nzima ya hotuba na sio kosa kwa Mh Rais kutoa angalizo la matumizi ya rasilimali kwa lengo la maendeleo, kwann unajaribu kuchafua hali ya hewa? mm mkulima mbona nimetulia niliisikiliza hotuba nzima kutoka hapa kijjn matarawe
 
Mimi naona ni sahihi kwa sababu Meck Sadick alionesha uoga sana wakati anasoma taarifa yake. Yaani hakuonyesha kujiamini bali alikuwa kama anajikomba vile. Nadhani anaogopa asije akapumzishwa
 
Hakuna isiyo na ustaarabu hata kidogo hiyo na haifai, meck ni MTU mzima na family na muheshimiwa kwa watu Fulani kauli kama hiyo haifai kabisa kabisa,
Ni kweli kabisa!mkulu nkama anapenda sifa Sanaa,,anampiga mtu beat hadharani ili wananchi waone yuko serious na kazi;!basi hapo kina mama wanapgaje makofii???utaskia ''hapa kazi tuu na vigelegele vinafuata.
 
HIIZO THIETRE ALIZIKUTA BASI NDIO MAANA HATAJHILOSOMO SIDHAN KAPITIA
 
Jana kwenye hotuba ya John Magufuli (rais wa Tanzania) alitumia kauli isiyo na weledi kutoka kwenye cheo alicho nacho kumueleza mtendaji wake ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Meck Sadick! "Nitakupatia hizo fedha na OLE WAKO UZITUMIE VIBAYA" kauli ya "Ole wako uzitumie vibaya" ingawa hamtasema wala kuongea ila kiukweli ilimfedhehesha sana Meck Sadick!

Kwanza Meck Sadick kiumri ni mtu mzima sana kwa Magufuli! Lakini pia ni aina ya watu ambao wamestaharabika! Ile kauli rais aliitoa kama anamueleza kijana mdogo na au mwanaye!

Pili haipendezi kuanza kujenga malengo hasi na inaonyesha kuwa kuna mashaka fulani!

Rai yangu kwa rais; emb ajifikirie kuwa yeye angekuwa ndiye Meck Sadick kwa kauli ile angeipokeaje? Ndiyo maana vyuo vinafundisha communication skills! Ile CL111 pale thietre za UDSM hiyo ndiyo kazi yake! Uongee lipi ukiwa wapi na kwa nani!

Hizi kauli za kutishana kabla hata kazi haijaanza kwa kweli hazijengi! Zinazaa uoga na kutokujiamini! Magufuli atazame mfano wa mawaziri wake walivyokwama! Hii ni kutokana na uoga aliowajengea!
Watanzania tuna tatizo kubwa la kuoneana aibu. Kwa uhalisia kila sehemu inapokipwa pesa kwa sasa ni highly likely kuwa kuna jipu litafuata kutuma message bila kuangalia usoni kutatuweka Huru watanzania na heshima Za kinafiki zitakoma. Nadhani ni nafuu ya fedheha ya kuwasilisha message kuliko kuambulia majibu tunayo pata kwa watendaji wetu
 
Back
Top Bottom