MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Couple No.1:
Mume: We mwanamke naona umechoka kuishi na mimi! Huniheshimu kabisa siku hizi
Mke: Nakushangaa wewe mwanaume suruali, mume gani hunijali siku hizi!
Couple No. 2: (Mume wa mtu na kimada/nyumba ndogo)
Mume: Come on baby, wewe uko tofauti kabisa, yule ni mchafu, mkorofi yaani hana faida yoyote naishi naye basi tu kwa kuwa tulifunga ndoa kanisani!
Kimada: Yaani wewe uko tofauti kabisa na wa kwangu ambaye hata hajui wanae wanakula nini! Hata sijui yukoje siku hizi
Hivi hizi blames hizi tunazowatupia wenzi wetu, tuna uhakika gani kuwa hatujazisababisha sisi wenyewe.
Hivi kwa watu ambao mlikuwa wapenzi, marafiki kabla ya ndoa, inapofikia mkaanza kublaimiana baada ya kuoana, sio kuwa kuna namna ambayo wewe unayemblame mwenzio umeteleza ukapelekea mwenzi wako kufanya akifanyacho au kuwa alivyo? Kuna mwanamke/mwanaume anayeamua tu kuwa mume/mke mkorofi bila sababu?
Najiuliza mwenzenu!