Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

def_xcode

JF-Expert Member
Jul 25, 2023
596
1,620
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.

Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.

Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.

Asante
 
Ubora wa mbao zao hauna mjadala ila bei zao sio haba.
Ila ofisi tegeta bunju sidhani.
 
Natumaini buguruni
Screenshot_20240322-133705_Maps.jpg
 
Kweli bei zao sio za kispoti

Mbao za 1.4M Buguruni , Sao hill ilikuwa inafika 5.7 M kwa idadi ile ile na vipimo
 
Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.

Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.

Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.

Asante
Nenda Boko-Magegeni njia panda ya kwenda Mbweni wana ofisi na mbao utapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom