Ofisi ya Waziri Mkuu yatumia Tsh. Bilioni 6.35 kutoa Mafunzo ya Kunywa Kahawa kwa Vijana

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
1689357515777.png

Kwa mujibu wa Taasisi ya Parliament Watch ya Uganda, Maafisa hao wametajwa na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kuhusika na ubadhirifu huo, hivyo wanapaswa kujieleza kwa Umma juu ya sakata hilo.

Ukaguzi umebaini Maafisa walidai kutumia Fedha hizo katika mafunzo kwa wakulima, kufundisha vijana jinsi ya kunywa Kahawa, Usimamizi Fedha na Biashara pamoja na gharama za jumla za usimamizi wa mradi.

Mkurugenzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Robert Limlim, ametetea gharama hizo akisema zilihusu Elimu na kununua vifaa vya Kahawa pamoja na kushawishi Vijana kuingia katika Biashara ya zao hilo.
=======

Ugandan officials from the Office of the Prime Minister (OPM) have been tasked to explain how $2.6m (£2m) was used on training youth "on how to drink coffee" among other things, according to a parliamentary watchdog.

In a statement on Twitter, the NGO Parliament Watch said that the auditor general noted a number of the coffee shops listed as part of the campaign did not exist.

The contract was broken down into four parts:

Training farmers on the production of coffee
Training youth on how to drink coffee
Providing financial literacy and business management skills
General project administration costs
Director at OPM, Robert Limlim, defended the high costs the campaign saying it was about education and the money was spent on buying coffee equipment as well as bringing the youth into the coffee economy.

Uganda is one of Africa’s major coffee exporting countries, having shipped 5.7 million bags, worth $840m (£641m), in the 12-month period from June 2022, according to the Uganda Coffee Development Authority.

BBC
 
View attachment 2688116

Afrika tunafananafanana tu. Kumbe kweli kwenye kile kisa cha nabii aliyechekwa na mtoto wake akiwa amelewa na kukaa uchi, huyo aliyemcheka ndiye babu yetu Waafrika. Sijui laana hii itatuisha lini.

Hallelujah!
 
Back
Top Bottom