Maandamano ya Bobi Wine yazimwa. Wanajeshi wamdhibiti kabla hajatoka nyumbani kwake

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
Bobi-Wine-at-Kavule.png

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na aliyekuwa mgombea urais Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amesema kuwa leo Alhamisi polisi walikuwa wamezingira makazi yake na kumweka "chini ya kizuizi cha nyumbani" kabla ya maandamano aliyopanga

Wanasiasa wa Upinzani nchini Uganda walikuwa wamepanga maandamano leo Alhamisi Januari 18, 2024 kupinga ubovu wa barabara nchini Uganda.

Wine ambaye ni msanii aliyegeuka kuwa mwanasiasa, amesema polisi na wanajeshi wamemzuia kuondoka nyumbani kwake Magere, kaskazini mwa mji mkuu Kampala.

"Jeshi na polisi wamezingira nyumba yetu na kutuweka chini ya kizuizi cha nyumbani, lakini maandamano yanaendelea," kiongozi wa Jukwaa la Umoja wa Kitaifa (NUP) ameandika kwenye mtandao wa X.
---
Ugandan opposition leader and former presidential candidate Bobi Wine said Thursday police had surrounded his residence and put him "under house arrest" ahead of a planned protest.

Opposition politicians had planned demonstrations on Thursday against the poor condition of roads in Uganda, which is hosting two global summits in the coming days.

Wine, a popstar-turned-politician, said police and soldiers had barred him from leaving his home in Magere, north of the capital Kampala.

"The cowardly military & police have surrounded our home and put us under house arrest, but the protest is on," the National Unity Platform (NUP) leader said on X.

"Fix our roads! Free Political Prisoners! Free Uganda!"

Wine, whose real name is Robert Kyagulanyi, challenged veteran President Yoweri Museveni in Uganda's last election in 2021, calling for an end to his iron-fisted rule.

Robert Kyagulanyi, also known as Bobi Wine, explains to media how uniformed personnel entered through a gate of his home in Magere, Uganda, on January 15, 2021.

Former presidential candidate Kizza Besigye of the Forum for Democratic Change opposition party said Thursday that he too was not allowed to leave his house.

"Barricaded at home by the COWARDS! No turning back; we deserve better. Please do what you can, wherever you're, with whatever you have, to show the terrible roads affecting you today," he posted on X.

A police spokesman confirmed the "security deployment" outside the two residences.
 
Wanajeshi wetu ni wapumbavu tu, ngoja watajua nguvu ya umma.
 
Back
Top Bottom